Friday, July 14, 2017

๐Ÿ’•๐Ÿƒ๐Ÿ’•๐Ÿƒ๐Ÿ’•๐Ÿƒ๐Ÿ’•๐Ÿƒ๐Ÿ’•๐Ÿƒ๐Ÿ’• Tega sikio dear, nakupenda sana, ukweli wa ile sms uliyoifuma kwenye simu yangu, haikuwa yangu bali mtumaji alikosea kwa bahati mbaya! Nipo tayari tumpigie tukiwa pamoja tumuulize, kweli niamini dear! Naomba usiniache maana maisha yangu bila wewe ni sawa na giza nene! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• ๐Ÿƒ๐Ÿ’•๐Ÿƒ๐Ÿ’•๐Ÿƒ๐Ÿ’•๐Ÿƒ๐Ÿ’•๐Ÿƒ๐Ÿ’•๐Ÿƒ

No comments:

Post a Comment