πΈπΈπΈπΈπΈπΈπΈπΈ
π±TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA JINSI YA KULITIBU ππππ
Wanaume wengi wanasumbuliwa na
tatizo la upungufu wa nguvu za
kiume, hali inayo afanya washindwe
kufurahia tendo la ndoa na wenzi
wao wa kike. Hizi ni baadhi ya
sababu zinazo sababisha upungufu
wa nguvu za kiume kwa wanaume.
1. Msongo wa akili.
2. Ulevi kupita kiasi.
3.Kupooza kwa mwili
4. Presha na ugonjwa wa kisukari.
5.Wasiwasi wa kutekeleza tendo la
ndoa
6. Uoga wa kufanya tendo la ndoa.
7.Uzoefu wa kukatisha tamaa wa
siku za nyumaa
8. Mazingira yasiyoridhisha wakati
wa tendo la ndoa.
10.mahusiano mabaya na mwenza wako
Zipo sababu nyingi sana
πππππππππππππππππππππππππππππππ TIBA MBALIMBALI ZA ASILI ZA KUTIBU TATIZO LA NGUVU ZA KIUMEπππππππππππππππππππππππππ
1. MLONGE/ NAZI. Chukua nusu
kikombe cha unga wa maua ya mlonge,
ongeza kijiko kimoja cha chai cha
vumbi la machicha ya nazi. Chemsha
katika nusu lita ya maji kwa muda
wa dakika 15, kutengeneza aina ya
supu. Chuja na baada ya kupoa kila
jioni kunywa nusu glasi, saa moja
kabla ya kwenda kulala. Endelea na
tiba hii kwa muda wa mwezi mmoja.
π΅πΏπΏπΏπΏπΏ
2. KITUNGUU MAJI/ASALI. Ponda
ponda kitunguu maji cheupe cha
ukubwa wa kati ( gramu 50) .
Kaanga ndani ya mafuta ya samli,
baada ya kupoa changanya na
kijiko kimoja cha asali.
Kula nusu saa kabla ya kwenda
kulala. Endelea na tiba kwa muda
wa mwezi mmoja.
π΄πΏπΏπΏπΏ
3. ZABIBU NYEUSI ( BLACK
RAISINS ). Chukua zabibu kavu
nyeusi. Zioshe vizuri na maji ya
moto. Kula gramu 40 za zabibu
ikifuatiwa na glasi moja ya maziwa.
Fanya hivyo mara tatu kwa siku.
Endelea na tiba kwa muda wa
mwezi mmoja.
π΅πΏπΏπΏπΏπΏ
4. TANGAWIZI/ ASALI. Chukua nusu
kijiko cha chai cha juisi (au unga)
ya tangawizi. Changanya vizuri na
kijiko kimoja cha asali.
Tumia pamoja na nusu yai
lililochemshwa kila jioni kabla ya
kwenda kulala. Endelea na tiba
kwa muda wa mwezi mmoja.
π΄πΏπΏπΏπΏ
5. KAROTI. Saga au pondaponda
gramu 200 za karoti. Weka asali.
Changanya kwa pamoja. Kula nusu
saa kabla kwenda kulala . Endelea
na tiba kwa muda wa mwezi mmoja.
π΅πΏπΏπΏπΏπΏ
6. MIZIZI YA BAMIA
Chukua
gramu kumi za unga wa mizizi ya
bamia.
Chemsha katika glasi moja ya
maziwa kwa muda wa dakika tano.
Kunywa asubuhi na jioni saa moja
kabla ya kwenda kulala. Endelea na
tiba hii kwa mwezi mmoja.
Hii ni tiba rahisi ya vyakula kwa
wale ambao wana tatizo la upungufu
wa nguvu za kiume
7.MCHELE, MAZIWA, TENDE NA SAMLI
Ikiwa utapikwa mchele kwa maji ya tende (yaani tende zilowekwe ndani ya maji), na ikiwa zitalowekwa zikiwa zinapondwapondwa kidogo ni bora zaidi,, tende hizo kiaasi cha robo kilo zilowekwe kwenye maji kiasi cha masaa 12, yachukuliwe maji hayo yachanganywe na maziwa flesh ya ng’ombe jazo sawa na ndio yafanywe maji ya kupikia mchele huo na mafuta yake ni samli, basi chakula hicho kikiliwa kutwa mara moja kwa muda wa siku kumi na tano basi huongeza manii kwa kiwango cha juu kabisa.
πΎππΎπΎ
8ANISUNI
Chemsha Anisuni kiasi cha gram 100 kwa maji lita moja na nusu, hakikisha nusu lita inapotea kwa kuchemsha. Matumizi ni ujazo wa kikombe cha kahawa moja kutwa mara 2 hadi maji hayo yaishe. Inshaaallah hii ni dawa nzuri sana.
πΎπΎπππ
9.MBEGU ZA TIKITI MAJI
Chukua mbegu za tikiti maji kisha zikaushe kwa jua, baada ya kukauka zisage vizuri kabisa hadi upate unga wake, upime una huo upate gwam 100, unga huo uchanganye na asali ya nyuki kiasi cha lita moja. Matumizi ni kijiko kimoja cha chakula asubuhi kimoja, jioni kimoja hadi dawa yote iishe. Inshaallah ni mujarabu.
ππΎππΎ
10.HABBAT THUFA
Chukua habbat thufa unga kiasi cha gram 100 changanya na unga wa hina kiasi cha gram 50 kisha changanya na asali kiasi cha lita moja. Dawa hii iache juani ichanganyike vizuri kwa masaa 24 ndipo uitumie.
Matumizi: Vijiko viwili vya chakula kutwa mara tatu au mbili hadi iishe, Inshaallani mujarabu.
ππΎππΎ
11UWATU
Chukua uwatu kiasi cha gram 100 kisha chemsha kwa maji lita moja na nusu, hakikisha nusu lita inaisha kwa kuchemsha, kisha iondoe kwenye moto, baada ya hapo changanya na asali lita moja na nusu.
Matumizi: Vijiko 3 vya chakula asubuhi, mchana na jioni.
ππΎππΎππΎ
12HIMSWI (AL-HAMZA)
Chukua Himswi (al-hamza) kiasi cha gram 100 kisha changanya na maji kiasi cha lita moja na nusu, chemsha hadi nusu lita ipotee kw kuchemsha, kisha toa kwenye moto, changanya na asali lita moja na ziada kidogo.
Matumizi: Vijiko vitatu asubuhi na jioni hadi dawa iishe utaona ajabu yake.
πΎππΎ
13.KITUNGUU THAUMU
Ponda robo kilo ya kitunguu thaumu kisha kichemshe kw litamoja ya maziwa ya kondoo na nusu lita ya mafuta ya samli kisha baada ya kuchemka ondosha kwenye moo kisha utie asali kiasi cha lita moja.
Matumizi: Kijiko cha chakul kimoja kutwa mara tatu, Inshaallah dawa hii kwa habari hizo hailinganishwi na dawa zingine.
ππΏπ΄ππΏππ·ππΏπ΅πππ·π΅π΄ππππππππMahaba proffesionalπππππππΏπΏπ΄π΅ππΏππΏππ΄
No comments:
Post a Comment