M๐
ฐ๐๐
ฐ๐๐๐๐PR๐
พFESSI๐
พN๐
ฐL๐๐๐
๐ธ๐JINSI YA KUMTULIZA MWANAUME KICHECHE๐๐ธ
.
iyo yuleyule mfundaji wako. Nitakuwa hapa kila siku kwa uwezo wa Mungu ili kukupa somo, vilevile kujibu maswali yako. Lengo langu ni moja tu, kukuwezesha wewe mwanamke mwenzangu kutulia kwenye ndoa au penzi lako.
⏩๐Mwanamke ndiyo dira ya mwanaume. Ukiona mumeo hatulii, mwanaume wako anakuwa na hulka ya kurukaruka, jiangalie mwenyewe mara mbili๐
❤❤❤
⏩๐Katika kila uhusiano wenye migogoro, ukiuchunguza kwa makini unabaini uwepo wa upungufu mkubwa wa mwanamke katika ‘kumhendo’ mwanaume wake.๐
❤❤❤
⏩๐. Shoga yangu, nataka kuanzia leo utambue kuwa mwanaume si malaika. Kwa maana hiyo, unatakiwa ujue jinsi ya kucheza naye kama binadamu.๐
❤❤❤
๐MAMBO YA KUACHA UNAPOTAKA MUMEO ATULIE๐
๐ธKIBURI
Kuna baadhi ya wqnawake wqna viburi kwa waume zao,ujue shoga angu mwanaume afanyiwi kiburi mwanaume ni kama mtoto unatakiwa umpe heshima ya kiume shoga๐
๐ธDHARAU
binadamu yeyote hapendi kudharauliwa๐sasa shoga ukimdharau mmeo ndio unampa chance ya kutafuta mwanamke atakaempa heshima zote kama mume kwako atakua anarudi tu kutimiza wajibu wa mume lkn uanaume wake wote atauacha nyumba ndogo upoo๐๐๐๐๐limewachoma eeh๐๐๐๐
sizubae, msome vizuri kisha mpatie. Atatulia tu.Mikononi mwako๐๐๐
❤❤❤
⏩๐๐ธShost, kumbuka kuwa unatakiwa kumbembeleza mumeo kwa njia yoyote mpaka atulie. Mwanaume hauzwi dukani, ‘supermarket’ wala hana bei. Ingekuwa anauzwa na bei yake inajulikana, kila mtu angekuwa naye. ๐Angetumia jeuri ya fedha kumpata anayemtaka upo๐
❤❤❤
⏩๐๐ธ shoga yangu kaa na mshangao sasa, wanawake wengi tu tena wana fedha nyingi, wanaumia upweke, hawana waume wa kutulia nao. Kama wewe unaye wako, tena bahati nzuri mmefunga ndoa, hakikisha unamtuliza ili ufurahie maisha yako ya kimapenzi.๐๐๐๐๐
๐TUMIA NJIA HIZI KUMWEKA SAWA MWANAUME WAKO๐
⏩๐นKwanza kabisa, unapoona mwanaume wako amekuwa kiguu na njia, yaani hatulii, tafuta sababu zinazomfanya awe hivyo. Je, sababu ni wewe mwenyewe? Una wivu sana, una mdomo mchafu, kiburi, huelekei anavyokuelekeza? Labda una roho mbaya kwa ndugu zake. Tazama mambo hayo.
❤❤❤
⏩๐๐นhatua ya pili; Ukishajichunguza, muombe mwanaume wako kikao ili mzungumzie matatizo yenu. Usikae kimya wala usimwogope. Katika kikao hicho, mwache aongee ya moyoni, nawe sema yako, mwisho utajua nani mwenye matatizo. Baada ya hapo, fanyeni masahihisho. Ulipokosea omba msamaha.
❤❤๐
⏩๐๐ทHatua ya tatu; ikiwa katika mazungumzo umegundua mwanaume wako ndiye tatizo, mweleweshe taratibu mpaka aelewe makosa yake. Achana na maneno ya watu wasiojua thamani ya mume ambao hudiriki kusema: “Atajijua akitaka atasema na mimi asipotaka aache mimi nd’o mkewe.”
❤❤❤
⏩๐Kasoro nyigine ni kwamba wapo wanawake hutaka kuishi kwa mashindano na wanaume zao. Nawaombeni mashoga zangu msifanye hivyo, mwanamke akiwa kicheche /kiguu na njia, aibu yake ni kubwa zaidi ya mwanaume. Uchafu wako, utamfanya yeye aonekane Msafi
e wakati ukweli naye hajatulia.
❤❤❤
⏩๐pengine mwanaume wako hatulii nyumbani lakini si kwa sababu ana wanawake wengine. Inawezekana ni mtu wa kuwaendekeza marafiki, kwa hiyo wanakaa baa au maeneo mengine, wanazungumza mpaka usiku wa manane ndiyo anarudi nyumbani.
Sasa ikiwa nawe utaanza kuzurura halafu mna watoto, mtawalea saa ngapi? Nani atamrekebisha mwenzake? Nakuhakikishia shoga, wewe ukiamua, mwanaume wako atatulia nyumbani. ๐
❤❤❤
⏩๐Maneno yako mazuri na tabia yako njema, ni silaha kubwa kwa mwanaume kicheche mpe maneno mazuri ya kumtoa nyoka pangoni๐
⏩๐Mpe mapenzi motomoto tenga mda kwaajili ya mmeo weka ratiba nyumbani kwako ya kumfanyia mambo adimu mumeo nakwambia shoga ukifanya hivyo hatobanduka ๐utakua ushamtia kwapani๐hafurukuti,maana akitoka kazini lazima arudi home kwa mcheouko ataenda mda gani kila kitu wamfanyia?๐๐๐
❤❤❤
๐WANAWAKE TUNAPOTEA๐
Bibie, sisi wanawake wa siku hizi ni tatizo. Angalieni ndoa za zamani zilikuwa zinadumu kwa sababu wanawake walikuwa wakifuata taratibu. Mke anamuomba mume wake wakae na kutafuta suluhu pasipo hata jirani kujua. Siku hizi, rafiki au shoga ndiyo wa kwanza kwenda kumhadithia na kumuomba ushauri na mashoga wengi wa town utaadhirishwa mchana kweupe navmmeo atabeba๐ndio atambeba si ushamuadisia mapungufu ya mmeo?ye atayarekebisha ili ammiliki vizuri ๐
❤❤❤
Ikiwa mtaweka vikao, hamtapigana hata kama mmoja wenu atakuwa na jazba. Vizuri pia kuweka vikao kipindi ambacho kila mmoja hasira zake zimepungua.
Bila mazungumzo hamtapata ufumbuzi, wanaume wengine siyo waongeaji ila akishakasirika utaona tu amebadilika. Sasa basi, kwa nini usimshawishi akwambie? Hiyo ni kazi yako, atakwambia tu. Ukienda kumsimulia rafiki ndiyo utapata jawabu?Ongea na mmeo taratibu uliza nini anakikosa kwako kama mwanaume muelewa atakwambia mapungufu yako kazi yako kuyalekebisha tu ๐
๐๐๐
๐MWANAMKE NDIYO SERIKALI YA MWANAUME ๐
๐⏩Mwisho kabisa nakutaka mwanamke ujitambue na uelewe nafasi yako ndani ya nyumba.
๐๐๐
๐⏩ Mwanamke ndiyo serikali ya mume, usijaribu kukaribisha shetani ndani ya nyumba. Endapo utampa maneno mazuri mumeo, wazimu wake wote utaondoka๐๐
๐๐
⏩๐Shoga mwanaume ni kama mtoto. Ukimdekeza atadeka, ukimbembeleza anabembelezeka, ukimchapa, atakuchukia.๐
๐๐
⏩๐Hata kama una kazi, jaribu kupanga muda wa kumpikia mumeo,๐
kumfulia nguo na kumwandalia mambo megine muhimu ili ajisikie raha na ajivune kuwa na mwanamke mzuri๐
๐๐๐
⏩๐๐. Ukimwachia kila kitu afanye dada wa kazi, matokeo yake hali ya hewa kuchafuka ndani ya nyumba๐
Hakuna mtaalamu wa mapenzi kukuzidi shoga ni mbinu na ujuzi tu๐๐mwanaume ukimjulia hakupi tabu๐๐
๐๐๐๐๐๐๐๐Mahaba profesional๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
No comments:
Post a Comment