Home → ushauri
→ *KINACHO MVUTIA MWANAUME*
Kuna aina za wanawake ukijiuliza kwann wanaume wanapagawa hal ya kua mwanamke sio mzur wala hana kalio kubwa lakin mwanaume anakufa anaoza kwa mwanamke huyo
ukichunguza utaona mwanamke huyo ana sifa flan ambazo humfanya mwanaume kumpenda
*TABASAM*
mwanamke anapo tabasam huvutia mno kwan huzun na uoga wa mwanaume unayeyuka kuna kua na harufu ya aman tofaut na mwanamke alie nuna na yupo serious mda wote huvunja hamasa ya mwenzie hata kama unazawad mfukon unaweza usiitoe
*WANAO JICHUNGA*
kuna wanawake wapole sana na hawafungui miguu yao kwa kila mwanaume tatizo hua mwanaume akisha tembea na mwanamke huwa mwepes kuwaambia wenzie kua hadija nimeshapita
binafs yangu nampenda sana mwanamke alie tulia hata awe mbaya vip ila akijua kutunza zawad yake na kunipa mim tu ntampenda sana
*MWANAMKE* ndio mwanaume humpenda mwanamke sana yaan mwanamke ni yule
mwenye huruma kwake haswa akiwa katika kipind kigumu
mskivu kwakua anajua mwanaume ni kiumbe mtawala kutokana na nature ya dunia bas anampa nafas yake kama kiongoz yeye anakua mshaur na mskivu
anae pendeza wanasayans wanasema mwanamke anae vaa _NGUO NYEKUNDU_ huvutia sana lakin ni kwel wanaume weng hatupend makeup sana kama mwanamke akiwa natural haswa uson na anae nukia kama ua
Mwanamke ni yule anae jua mume nyumban ni sehem yake ya kupata utulivu sio sehem ya maneno ya kwann hukufanya haya na midomo kuandamana
*KIUNO*
wanawake weng hudhan wanaume hupenda makalio makubwa kumbe sio kwel tunacho kiangalia mara nying ni kiuno kiwe ratio na makalio
mfano wa kiuno cha nyigu hii hutupa tafsir ya hali yako ya uzaz na utunzaj wa mimba na mtoto kama vile tunavyo angalia nywele za mwanamke kujua kuhusu habar zake za uzazi
💕💕 *ILINDE NDOA YAKO* 💦💐
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: