Ulishawahi kuhisi kwamba haujui kinachoendelea tena, ni Kama haujali chochote tena, Umepoteza uwezo wa kufanya chochote? Akili yako imejiweka kwenye vitu vingi vinakukanganya hisia zako na huwezi kuelezea unavyojisikia, Hisia zako zinainuka na kupotea, kila ukihitaji pumziko na kupata joto la MAPENZI unajikuta Uko peke yako wala hakuna aliyepo kwa ajili yako... Ni kama moto uwakao pasipo na mzimaji basi hisia zinakutesa wala hakuna anayekuelewa tena! Umekuwa kama Uko nyikani pasipo na maji wala utomvu uweze kukata kiu, USIMFIKIRIE ALIYEONDOKA BALI MUOMBE MUNGU ALIYEKUUMBIA HISIA HIZO AKULETEE MTU ATAKAYE HESHIMU HISIA ZAKO.

at 10:58 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top