Home → ushauri
→ JIFUNZE HAPA JINSI YA
KUMUANDAA MWANAMKE KABLA YA KUANZA KUFANYA TENDO LA KIKUBWA.
Kumuandaa mpenzi kabla ya kung`atana ni jambo
muhimu sana na ambalo halikwepeki kabisa kwa
wapendanao.
Hata hivyo, kitendo cha kumuandaa mpenzi
mpaka aandalike si shughuli nyepesi sana kwani
kunahitaji ufahamu, sanaa na ustadi wa hali ya
juu.
Kwa kuwa hili ni jambo nyeti sana na ambalo kila
moja wetu anapaswa kulielewa, mimi Mzee wa
Uhondo nimeamua kuliweka katika hatua moja
hadi tano kama ifuatavyo:
1: Potezeni saa moja mkiwa katika maongezi ya
kimahaba huku mkiwa 0 distance, yaani mkiwa
mmekaribiana sana.
2. Taratibu mikono yenu ianze kutembelea
kwenye mwili wa kila mmoja wenu. Hakikisha
inafika kila sehemu ya mwili wa mpenzi wako,
hasa sehemu zile ambazo akishikwa hulainika
mapema.
3. Kutanisheni midomo yenu mpaka pale ndimi
zeni zitakapokutana na kugusana. Taratibu
nyonyaneni kwa zamu.
4. Kila mmoja apenyeze mkono wake taratibu na
ashike sehemu za siri za mpenzi wake kwa
dakika kama tano hivi.
5. Penyeza ulimi wako masikioni mwa mpenzi
wako. Tarakibu uuzungushe ulimi masikioni huku
ukimpumulia hewa polepole.
5. Shika chuchu za mpenzi wako kwa ncha ya
kidole chako, taratibu zifinyefinnye bila
kumuumiza. Unaweza pia kutumia ncha ya ulimi
wako kugongagonga hizo chuchu.
N.B
-Hautakiwi kuwa na haraka katika kumuandaa
mpenzi wako.
-Hakikisha umeona macho ya mpenzi wako
yakikuambia, 'ninataka ningatwe ama nikungate
kwa sasa'.
-Pia matendo, maneno na sautui yake idhihirishe
kuwa anataka kugaragazwa au kukugaragaza
sasa.
-Matendo yote utakayoyafanya yaambatane na
maneno matamu ya kumsifia mpenzi wako na
kukiri kutokujiweza juu yake. Pia yanaeza yakawa
maneno ya kujisifu kuwa siku hiyo ni lazima
UMKOMESHE!
Team Brayton Offical Love
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: