ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»MWANAMKE PENDEZA NDANI KWA MMEO
Haya Leo Ni Michambo
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»Siku hizi dada zangu mmekuwa na kasumba moja ambayo mimi inanikera sana hata katika jamii mambo hayo siyo kwa wasioolewa tu hata kwa walio olewa
Mpoooooo
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»Pia jingine hamjuw hivyo vipodozi vimekuja kwa ajiri gani hilo nyie hamlitambui yaaani ndo unakuta mwanamke unajipodoa hadi podo linapita kipimo loh!!!!!
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Mpk anakuwa km misiuka
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»Mtu unakuta akitaka kwenda sokoni unajipodoa unajipodo unajinyunyizia marashi mazuuuuri yenye kunukia ila ukiwa ndani unatema harufu za makwapa sasa huko nje unamnukisha Nani???????
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Tubadilke Wanawake nyumban tunashnda wachafu Kwel Ngoja mtu atake kutoka utafikilia mwana sesele
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Mwanamke unatakiwa uwe msaf kila dakika sio mpk utoke na hzo make up utafikilia lijn Kabura hamjuag tuuu
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»Hayo mavipodozi unapaswa uvitumie ukiwa kwa Mme wako sasa mtu unakuta ukiwa ndani kwa mmeo mdomo umekauka kama unanjaa ya miaka mitano ila ukitaka kwenda sokono unajipodoa midomo inabadilika je unajipodoa kwa kumtamanisha Nani???????
Leo mtaniambia vizuri
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Sjui nan kawaambia ndan mkae wachafu wachafu ebu mtajen nkampgeππΏkaen tuuu kimya lkn nawape vdonge vyenu mbadilke
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Ndo kila sku mwanaume anamafua kumbe uchafu Wa kwapa wa mkeo kuoga shda had out wanaume muwe mwawatoa out wake zenu waoge mtaumwa mafua mpk mtakomaa pua
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»Unakuta mwanamme anajitahidi kukununulia vipodozi viiiingi ili afurahi kukuona unapendeza ila unavitumia ukitaka kutoka je unajipodoa kwa ajiri ya nani wakati ukiwa ndani hautamaniki ila ukitaka kutoka njiani watu unawatia dhambini je unajipodoa kwa ajiri ya nani????au unamtamanisha Hamza kwa kuwa hajaoa?????? Hahahahaaaa
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Leo mniambie kabs nskie ndan matenet nje lol twasahauliana km n Mwana fulan
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Wanawake bhana ntawapiga ngumππΏmichezo ya upatu mwacheza alf mwalalamika ooh mume Wangu anitunz ndo maana spend haya kalien hvyo hvyo wapo watu wanashda na ndz tuuu wala hawana shda na nguo zubaen sasa sunnah ztapitilza Sio mathna sasa
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»Mwanamke unakuta ukitaka kutoka unajipakaa rangi za midomoni hadi mdomo unabadilika unakuwa kama DEGE ila ukiwa ndani kwa mmeo mdomo unakuwa kama mpuliza vuvuzela huo mdomo huko nje unampakia Nani wakati mdomo ni wa mmeo????
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Mkiwa ndan midomo mikavu utafikilia vbambalala aibu mbadilke
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Alf mkipendeza ndo mnapiga picha kumbe wachafu sasa ntaanza kuwa baloz wa nyumba kum nakuja tuuuu vuuu hod niwaone huko majumban Je mnaoga
ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
No comments:
Post a Comment