*LEO TUNAANZA MADA YA KUSASAMBUA BEGI LA BIBI HARUSI*
ππππππππππ
*LIWAA*
: liwa hili unamsingia bwanaa upoo so unamueka na uchafuu shoga mume anasingwa ukikaa wee hujamsinga wenzako watakusingia njee ukoo hahahahaha wareeeeee sasambureeeeee bwana hutunzwaa kama mtoto bibiweee msinge bwana kila wikiii pia singo humfanya bwana kua fresh kugara tenaaa mpaka ndizii iyo unaisinginga upoo unaikanza moto kama mtoto mchangaa heeeeee sasambureeeeππππππππππππππππππππ
: ππππππππππ
*KITAULO*:
ivi vitaulo mwari hutumika kumfutia bwanaaa ukimaliza kufanya mautamu shoga ndizi ikitoka njee unaifuta upoooo aibu bwana kujifuta mwenyewe unaifuta pole pole tena weee unatumia vyako na bwana vyake upooo umeniskiaa haaaaaaa tenaaaa sasambureeeeee ukimaliza unaviosha unavifukiza tenaa havianikwi njee upooo aibuuu ππππππππππππππππππ
: πππππππππ
*KIWEMBEE*
kiwembe ichi cha kumnyolea bwanaa upo mwanaume kama mtoto kila kitu umfanyiee shoga usipo mnyoa heeee utayafunga na kala uko hahaha tenaaaaa umnyoe bwanaa tenaa so unamyoa bwana na uko mchafu umevaa madira ya kupikia unamnyoa inahusuuu siku ya kumnyoa bwana unakoga unanukia maana ukimaliza kumyoa mwana anataka kitumbua sasa ukimnyoa unanuka aibuu iyoooo tenaaaa upooo unavaa kanga moja ya kifua ata kama una kimtandio tuu ujifunga so lazima kanga heeee na mashanga yako ya kiuno apo ndo unamnyoa bwanaaaππππππππππππ: ππππππππππ
*SHANGA*:
bibie shanga izii unavaa ukifanya mambo na mwanaa upoo aibu mtoto wa kike kulala na bwana kiuno cheupee kiuno cha mwanamke na mwanaume lazima kiwe tofauti upooooo pia shanga zinampa mshawasha bwana wa kuzidi kukupa raha vile ukikatika na akizichezea zikimgusa gusa hahahaha tenaaaaa mizuka inazidi kupandaa shanga iyooooππππππππππππππππ
πππππππππππ
*UDII*
:
udi huu mwari chumba kinukie nguo za bwana zinukiee upoo kanga unazo lalia na bwana zinafukizwa upooo pia udi huu husaidia kupana ukee ukimaliza kukoga chukua kietezo chako tia udi wako jifukize uko moshi uingie ndanii ukoo tenaa aibu kupanda kitanda unalala na mumeo unanuka moshii inahusuuu hahahaha upoo fukiza nyumba nguo zako chupi votee kufiza chumba cha mke na mume kila wakati kinatakiwa kinukieeππππππππππππ
πππππππππππ
*MSWAKII:*
mswakii huuu upo mwanake aibu kunuka mdomo ukinuka mdogo utamkosesha bwana kukupoa romace upoo na romace ndo mautamu yenyewe ayooo tenaaaaa jitahidi kila ukitaka kulala lazima ipike mswaki ukikaliza tafuta pipi au ubani ili kuondosha ile harufu ya dawaa upoo bwana akila romace ajione kama anakula pipi tenaaaa utamuuuu wenyewee bila romace utakua tendo hulioni rahaa yakeee upooo πππππππππππππππ
No comments:
Post a Comment