🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻🔻 *💞JINSI YA KUMCHANGANYA MWANAUME MPAKA AKIKUFIKIRIA JINA LAKO AKUWAZA NA KUTABASAMU HATA AKIWA KWA OFISI💞* 🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺🔺 _✍🏾Unajua mwanaume ni kiumbe *weak sana* inapokuja Kwenye swala la mchochomeo sasa hivi ni vitu ambavyo ukifanya Kama mke sio girlfriend, mume wako atakuwa na *kiwewe cha maisha akitembea atakuwa anashikilia suruali kwa mbele ya zipu muda woote, heheee*_ _✍🏾Be the queen *( yaani usafi nyumba*) well decorated na uchafu si mzuri your house inatakiwa kuwa *so lovely romantic na sio mambo ya jiko la mkaa ndani na mnaishia kuumua mafuta ya taa .*_ _✍🏾Rafiki zake usiwageuze maadui *( wapende .wa entertain na accommodate )*_ _✍🏾Mapishi *(pika Kama Leo mwisho wa dunia chakula kitamuuuuuu)*_ _✍🏾Learn how to swim, guitar, piano, fishing na football *(Wanaume Wanapenda challenge ukipenda mpira mbona atafurahia atakaa ndani)*_ _✍🏾swala la chumbani *(yaani Huko inabidi m practice TANTRIC sex)* humo ndio uwe malaya wake na usiogope si mmeoana kanisani au msikitini mungu Anashuhudia_ _*Namalizia kwa hili*_ _✍🏾Hakikisha Mumeo *ANALIA* kwa tendo la ndoa na kokote atakapoenda hakuna tena *(ushauri wangu viuno vimepitwa na wakati jaribu kumchanganya ya Brazil, Urusi, Kiarabu na kizunguzungu)*_ ```Usiku mwema na endeleeni na mengineyo``` _©brayton official love _ 🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚

at 2:44 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top