*_♨JINSI YA KUFUKIZA UDI♨_* *♨KUFUKIZA UDI KWENYE CHUMBA♨* _Unachukuwa ubani wako unaweka ndani ya moto kisha unafukiza kwenye madirisha baadae mwaga moto wako ulotumia kwa ajili ya KUFUKIZA ubani unaweka moto mwengine kisha unachukuwa *UDI* wako unaweka kwenye moto_ *HAPO CHUMBA CHAKO KITACHEREWA KUTOKA HARUFU YA UDI* _mwanamke udi upooo nyonyo_ *_♨NJIA YA KUFUKIZA UDI KWENYE NYWELE ZAKO♨_* _Ni vizur zaidi ukiwa umeziosha upoo bibie unachjkuwa udi unaweka kwenye moto kisha unainamiia huo udi ila usije ukajiunguza jifukize taratibu uenee vizuri *HAPO NYWELE ZAKO ZITANUKIA VIZURI* mwanamke udi mupo mashotiti?_ *_♨JINSI YA KUFUKIZA UDI KWENYE (K) 🙈 PAMOJA NA MWILI MZIMA♨_* _Ukimaliza kukoga unachukuwa taulo uanajifuta maji kisha una chukuwa maduta ya mgando/lotion/ama mafuta ya nazi kama huna hata ya kula 🙈usipitwe: ILA kwa mimi bora ya mgando nahisi ndio mazuri ukisha jipaka vizuri mwili mzima unachukuwa udi wako kisha unatia kwenye chetezo unajifukiza ila vizur zaid ukichukuwa shuka ukajifunika vizur ili ukienee vizur ila utakuwa wajifunua kidogo kwa ajili ya kupata hewa usije ukafa🤔 HAPO NADHANI bwana atatamani kutokwenda kazini kwa kunukia_ _mwanamke udi upoooooo👌_ *_♨YA MWISHO HIYO JINSI YA KUFUKIZA UDI KWENYE NGUO♨_* * _Unachukuwa KIETEZO unaweka udi wako kisha unachukuwa KIETEZO unaweka juu yake hiko ndio ile stend kisha unaweka nguo unazo taka kufukiza unazifukiza *NA HAPO UTAFUKIZA NZUO ZAKO VIZURI BILA YA KUUNGUZA* mwanamke udi_ _mamboo ayoooooo_ *_HIVYO NDIVYO JINSI YA KUFUKIZA UDI KWA NJIA ZOTE_* 🌷🌹🌷🌹🌷🌹 🌹🌷🌹🌷🌹🌷

at 4:28 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top