Monday, September 16, 2019

πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’• *MWALI WANGU UKIKOSA CHEKA UKIPATA CHEKA MPAKA JINO LA MWISHO* πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’• πŸ’•mtu wa kwanza kumfariji mumeo ikiwa amerudi nyumbani bila kitu Ni WW mwali wanguπŸ‘Œ πŸ’•sio mumeo anarudi nyumbani bila kazigo mkononi unavuta Domo linarefuka km __-_-_ ya kobeπŸ‘ŒπŸ˜ πŸ’•Siku mumeo akikosa ndio siku AMBAYO unatakiwa umpe Raha zote za dunia mpaka apate akili mpya za kutafuta kesho yakeπŸ‘ŒπŸ‘Œ πŸ’•siku hiyo ukampe hate juu ya kabati au uvunguni. Na umbebe mgongoni alale upooo mwaliπŸ˜€πŸ”₯πŸ‘Œ.. πŸ’•Ukiwa mtu wa tabasamu muda wote kwa mumeo utamfanya awe na afya nzuri na anenepe. Ukiwa na tabia ya visirani na dharau utamuua mapema mumeo na utabaki mjane manina wwπŸ‘ŒπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’™

No comments:

Post a Comment