πŸŽ€MVUMBIKO WA KITUMBUWA πŸŽ€ Mwanamke mvumbiko bibi πŸ‘ŒπŸΌ Unapomaliza period ukiosha ushapanga leo ni siku ya shoo unatakiwa kuvumbika KITUMBUA chako na Vitu Vya asili ili kuiweka k yko ktk mvuto wa hali Ya juuπŸ‘ŒπŸΌ πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€ Matayarisho ya mvumbikoπŸ‘‡kwanza unatakiwa Usafishe k vzr kisha uwe na kitambaa cheupe kisafi kwa ajili ya kuekea mvumbiko wakoπŸ‘ŒπŸΌ πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€ Unatakiwa uwe na mpachor,mpompia,asmin,maward,sio miti mizima Mizima jmn hapana,kisha unachukua kitambaa Chako unaweka mchanganyiko wako kisha unavaa km pedi,lkn kabla ujaweka mchanganyiko wako kile kitambaa ukifukize vzr Ndio unaweka na kuvaa, πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€ Lkn kama shoo usiku unaweka mcha na ili harufu ikolee vzr,ikifika usiku unatoa unajitayarisha kwa shoo mtoto wa kike na mnukio wako wa kitumbuwa uone bwana anavoila nyama yako rahaaaaaaa thannaaaaaπŸ‘ŒπŸΌ Mwanamke mvumbiko. Mpo hapo? πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€πŸŽ€ IMETOKA MWANAMKE NDOWA

at 5:32 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top