Home → simulizi
→ NO 1
JIMAMA JIRANI
SEHEMU YA KWANZA
STORY : 🅱
Jastin kijana mwenye miaka ishirini, nimpole sana kumsikia anaongea ninadla sana, ata uongeaji wake niwataratibu sana, tena uonge mala chache na kwasauti yachini, ata huko shuleni alikokuwa anasoma, wenzake walikuwa wanamwita paroko,
Kwa sasa Jastin alikuwa amemaliza kidato cha sita, katika shule ya sekondari ya luhuwiko huko mkoani Ruvuma, kipindi cha kusubiri matokeo alienda dar es salaam, kumtembelea kaka yake mkubwa Higno, ambae alikuwa akifanya kazi kwenye kampuni moja yausafirishaji, kama dereva wa magari makubwa yamizigo, yanayo safari kwenda mikoani na nje ya nchi, kupeleka mizigo mbali mbali, kipindi Jastin anafika Dar es salaam, shemeji yake yaani mke wa kaka yake, alikuwa ameenda kwao Morogoro kujitazamia kwaajili yakujifungua, yaani alikuwa mja mzito, Higno alikuwa anakaa Dar es salaam mbezi, mtaa wa makondeko, unaingia ndani kidogo ukiihacha barabara kuu iendayo morogoro, nje kidogo ya jiji, Higno alipata eneo dogo nakujenga chumba kimoja na sebule, mtaa huo ulikuwa ni mtaa mpya wenye nyumba chache tu! kubwa sana zenye fensi na mageti makubwa na nyumba ndogo kama ya Higno kaka yake Jastin, nyumba za mtaa huu mpya zilikuwa zimeachiana nafasi, kubwa kati ya nyumba na nyumba,
Shuguli za Jastin kila siku, tokea ameingia Dar ni kuweka mazingila safi nakujipikia, kisha anachukuwa simu yake nakufungua face book, hapo ushinda mpa anaingia kulala, siku moja moja alikuwa akienda na kaka yake ofisini kwao, mwenge huko alimsaidia kaka yake shuguli za ufundi wagari analotumia kwa safari za kupeleka mizigo mokoani na nje ya nchi, kama service za kawaida za gari, maana alikuwa nafahamu ufundi wa magari, kutokana na baba yao kumiliki garage japo siyo kubwa huko nachingwea lindi, lakini kwa na chingwea magari mengi sana yanatengenezwa pale, ndipo yeye utumia kipindi cha likizo kusaidia kazi ndogo ndogo za kiufundi,
Sikumoja Higno alisafiri kwenda nchini congo DRC, akipitia Rwanda, kupeleka magari ya u,oja wa mataifa, angetumia wiki mbili, kwenda na kurudi, huku nyuma Jastin alibaki peke yake, haikuwa tatizo kwake, siku yapili toka kaka yake asafiri, Jastin aliamka mapema sana, akiwa amevalia track suit nyepesi, akaanza kufanya shuguli zake za kila siku ikiwa pamoja na mazoezi ya viungo kidogo, tena ufanyia ndani kwao, kisha akatoka nje akawasha jiko la mkaa kwaajili ya kutengeneza kifungua kinywa, wakati jiko linakolea akaanza kufagia, wakati anaendelea kufagia akaona geti la nyumba ya jirani yao linafunguliwa, mfunguwaji alikuwa mama mmoja alievalia gauni fupi kidogo lililokamata mwiliwake vyema, kiasi kwamba Jastin aliweza kushuhudia umbile zuri la yule mama, yaani vizuri kabisa, kiukweli hakuwai kumwona yule mmama zaidi ya binti mmoja ambae kama sikumbilisasa hajamwona, wakati akiendelea kumwangalia yule mama, akamwona amefungua geti kisha akarudi ndani, hakuweza kumwona tena sababu ya ukuta mkubwa ulioizunguka ile nyumba, mala akasikia mlio wa gari likitoka kwenye lilegeti, ni prado nyeusi, likasimama nje kisha akashuka yule mama akaenda kufunga geti, wakati anafunga geti gari likajizima, Yule mama alipomaliza kufunga geti alirudi kwenyegari nakujaribu kuliwasha tena, lakini alikuwaka, alijaribu mala tatu zaidi alikuwaka, akamwona akishuka na kutazama huku na huko, alipotazama upande aliopo Jastin, hapo Jastin akajifanya anaendelea kufagia, lakini aliendelea kumtazama kwa macho ya wizi “we! anko, we! anko unaefagia” yule mama akaita, huku akitazama kule alipo yeye, Jastin akasimama na kujionyeshea kifuani kwamba “unaniita mimi?” “ndiyo anko, samahani nakuomba mala moja”
Jastin akaweka mfagio chini kisha kamfuata Yule mama, huku akiuangalia ule mwili wakipekee wa yule mama wajilani, kila alipozidi kumsogelea ndipo alipoanza kugundua kuwa, licha ya umbile linalo lenye kutamanisha, pia huyu mama alijaliwa sura nzuri na ya kuvutia “shikamoo mama” Jastin alisalimia yule mmama wajilani baada tu! yakumfikia “marahaba mwanangu, samahani kwa kukukatisha shuguli zako” aliongea yulemama huku akionyesha uso wa tabasamu, nakufanya midomo yake yenye lips pana zilizopakwa rangi nyekundu ya midomo, kumchanganya Jastin, japo kwa umri huyu mama ni nimkubwa sana kwake, lakini alionekana bado wamoto “husijari mama” alijibu Jastin kwa sauti yake yaupole huku akijitaidi kuyakwepa macho mazuri yaliyo kolea wanja ya yule mama, “wewe ni ndugu wayule kaka anaekaa pale?” aliongea yule mama huku akionyesha kwa kidole nyumbani kwakina Jastin, hapo Jastin alipata nafasi ya kushuhudia pete na bagili za dhahabu, zilizo jaa mkononi kwa mama huyu, “ndiyo ni kaka yangu mimi ni mdogo wake wa mwisho” alijibu kwasauti yake ya upole “ok! naliacha hapa nje gari langu, naomba uniangalizie, maana limezima ghafla” aliongea yule mama akionyesha kupendezwa na upole wa Jastin “kwani linatatizo gani?” aliuliza jasini kwa sauti ileile ya upole, akiligeukia gari la mama wa jilani “kwakweli mimi ata sijuwi, yani limezima lenyewe ghafla, nitachukuwa gari jingine hili nalihacha hapa” hapo Jastin akazunguka kwenye boneti “ebu fungua boneti niangalie kama litawaka” hapo mama jilani akashangaa kidogo, “he! kumbe wewe ni fundi?” aliongea Yule mama huku anafungua mlango wagari kisha akalifyetua boneti “hapana nina ufahamu mdogo tu! wa magari” Jastin aliinua boneti alafu akalizuwia na kifimbo chake chachuma, kisha akaanza kukagua uku akilekebisha kila alipoona panafaa kulekebishwa, lakini kwa macho ya wizi, hakuacha kutazama maumbile yamama jirani, yalivyo jichora kwenye kile kigauni matata.
NAAM KAZI NDIYO, IMEANZA MAMA JIRANI NDO HUYO AMEKUTANA NA JASTIN JE? GARI LITAWAKA, TUENDELEE KU LIKE NA KU COMMENT ILITUWEPAMOJA MAONI KARIBU IN BOX
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: