JIMAMA JIRANI
SEHEMU YA PILI
STORY : 🅱
ILIPOISHIA SEHEMU YA KWANZA: aliongea Yule mama huku anafungua mlango wagari kisha akalifyetua boneti “hapana nina ufahamu mdogo tu! wa magari” Jastin aliinua boneti alafu akalizuwia na kifimbo chake chachuma, kisha akaanza kukagua uku akilekebisha kila alipoona panafaa kulekebishwa, lakini kwa macho ya wizi, hakuacha kutazama maumbile yamama jirani, yalivyo jichora kwenye kile kigauni matata. ENDELEA...
Wakati Jastin akiendelea kulekebisha gari lamama jirani, kwa macho ya wizi alitazama miguu mizuri ya mama jirani, iliyobeba mapaja manene yaliyotuna vyema na kubana kigauni chake, kilicho sababisha kuonekwana kwa makalio makubwa ya huyu mama, mwenye kiuno chembamba natumbo dogo, kifuani sasa ndo balaha, aliweza kuona maziwa yaliyo jaa vizuri yakionekana kidogo kwa juu, nakutengeneza kitu kama makalio, uso wake kwakweli huyu dada amejaliwa uzuri wakipekee, pia mwili wake ulipambwa nabangili ‘ear ring’ (heleni) na chain shingoni iliyo lala mpaka kwenye minyonyo yake, vyote vikiwa nidhahabu tupu, nywele zake za hasiri zilikuwa nyeusi na ndefu mpaka kwenye mabega, “ aya mama,jaribu kuwasha sasa” aliongea Justin, ilikuwa ni baada ya kumaliza kulekebisha, mama jirani alipojaribu kuwasha gali likawaka, “asante sana mwanangu” yule mama wajilani alimshukulu Jastin,akitoa noti ya elfu tano nakumpatia “hapana mama husijari” Jastin alikataa, hapo wakaagana na yule mama akaondoka zake kuwai kazini, akimwacha Jastin akimsindikiza kwamacho mpaka gari lilipopotelea mtaani, kisha akarudi nakuendelea na kazi yake yakufagia, huku kichwani akivuta picha ya umbo la yule mama wajilani, “duu! watu wanafaidi” alimalizia kwa kunong’ona
Huyu ndie jimama la jilani, jina lake anaitwa Selina, ni mmama mwenye miaka selathini nasaba, kabla yakuanza kazi kama mhasibu bandarini, ambako anafanyia mkasasa, alikuwa anafanya kazi Benk ya biashara ya taifa, ndipo alipokutana na bwana wake wakwanza bwana Kubelwa, huyu alikuwa mfanya biashara, waliishi pamoja kimara kichungwani, kwa miaka saba, kama mke namume, bila kupata mtoto wala mimba, kabla ya kuachana kwa kashfa na matusi, yule mume alikuwa anamshutumu Selina kuwa nimgumba, mala tasa na maneno kama hayo mengine mengi sana, baada ya mwaka mmoja wa miangaiko, Selina alipata mume mwingine alie fahamika kwa jina la Ponela, hukiachilia mabwana watatu aliokuwanao hapa katikati, kila mmoja kwa kipindi chake’ huyu bwana mwingine ambae naye alikuwa mfanya biashara pia, alimwachisha kazi ya benk nakumfanya kuwa mama wanyumbani, waliishi kwenye nyumba ya huyu jamaa huko kinyelezi, walikaa miaka mitano wakionyeshana mapenzi mazito, bila kupata mtoto, licha yakuzunguka kila kona kusaka tiba yakushika mimba, wkitumia fedha nyingi sana, lakini hapakuwa na mafanikio, ndipo visa vilipoanza, siku ambayo Selina aliamua kuondoka nakwenda kuanza maisha mapya, ilikuwa ni ijumaa usiku saa saba, ndipo mume wake alipoingia nyumbani akiwa namwanamke mwingine, wote wakiwa wamelewa,aliingia nae moja kwamoja nakwenda kulalanae chumbani, ambako analala yeye na mke wake Selina, wakimtimua Selina kwamba aenda kulala kwenye chumba kingine, Selina hakuwa na ujanja aliingia chumba cha wageni na kulala mpaka asubui, nipo alipo kusanya kilicho chake nakuachana na Ponela, nakwenda kuanza maisha mapya, ukweli nikwamba, wale wanaume wote wawili walioa wanawake wengine, na wamejariwa kupata watoto, kwa matukio haya Selina hakutaka tena kujiusisha namapenzi, hakutaka tena kupenda, licha yakusumbuliwa na wanaume kila kukicha, lakini akutaka mazowea kabisa na mwanaume yoyote, tena unekuwa adui yake endapo ungeonyesha kumtamani, hakutaka tena kuumia, na kuusu uzazi alishakata tamaha, zaidi alifanyakazi kwa bidii na kuwasaidia wazazi wake, waliopo Mbeya nyumbani kwao, alishapoteza matumaini ya kuitwa mama, alikuwa amepata kazi bandarini, na mpaka sasa nimiaka mitatu toka aanze kazi bandarini, akitegemea mshahara wake na pesa nyingine alizozipata kama asante, kwa kuwasaidia watu kupitisha mizigo kwa njia zisizo alari, alishafanikiwa kujenga nyumba kubwa yakisasa, yenye kila kitu ndani, pia alimiliki magari matatu ya kifahari, kwsasa alikuwa anaishi yeye namschana wake wakazi, baada ya mgodo wake aliekuwa anaishinae,kupata mume na kuolewa huko Tanga, pia binti wake wakazi alienda Iringa kusalimia wazazi wake, angekaa huko mwezi mmoja, kwahuyo tika juzi mama huyu alikuwa peke yake,
Zilikuwa zimepita siku tatu toka Jastin amwone mama jirani na kumtengenezea gari lake, siku hiyo ilikuwa jumamosi, mida ya saa sita mchana, ambapo Jastini alikuwa sebuleni, amejilaza juu ya kochi dogo la watu wawili, akiperuzi mtandao wa face book kama kwaida yake, wakati mwingine akichati na rafiki zake waliomaliza shule pamoja, na wengine alio waacha shuleni, leo Jastin alikuwa amevaa tisheti na bukta moja kubwa kidogo, inaweza kufikia magotini kwa urefu wake, asa anapo simama, wakati anaendelea kupeluzi, mala akasikia mlango ukigongwa, ikimaanisha mtu anapiga hodi, alishangaa kidogo maana toka amefika pale, sasa nimwezi umekwisha, lakini hakuwai kusikia hodi katika nyumba ile, akasikilizia mala mbili “hodi wenyewe” ilikuwa sauti yakike, akainuka haraka na kwenda kufungua mlango, naam akakutana uso kwa uso na mama wa jilani, “karibu mama” Jastin macho yalimtoka, maana japo leo mama wawatu alikuwa amevaa gauni jepesi sana kama lakulalia, lakini kiunoni alijifunga kanga ambayo ilisalimu amri kwenye mahips, na kusababisha itengeneze kitu kama ‘v’ iliyogeuzwa nakusababisha mapaja kuonekana kidogo, kutokana naufupi wakigauni “asante mwanangu, ujambo lakini?” alisalimia mama jirani, baada yakuona mwenyeji wake ameduwaa, huku mama jilani, tabasamu likishamili usoni mwake, nakumfanya azidi kuwa mzuri zaid kama binti wa miaka kumi na tisa, “me! sijambo, shikamoo” alisalimia Jastin huku akiwaza nini shida ya yule mama, mpaka aje pale nyumbani, maana kaka yake aliwai kumdokeza kuwa kuna mama mmoja anakaa pale, akimaanisha yule mama wajilani, kuwa huwa hataki mazowea na mtu, yaani akisha kusalimia tu! anatambaa na mia, sasa leo vipi, mlangoni kwa Justin?
NAAM AYA SASA JIMAMA LIPO MLANGONI KWA JASTIN, ILIKUJUWA AMEFWATA NINI, TUWEPO PAMOJA SEHEMU YA TATU YA KISA HIKI, ENDELEA KU LIKE COMMENT, KAMA UNALOLOTE LA KUTUAMBIA KARIBU IN BOX
No comments:
Post a Comment