SUBIRA YANGU SEHEMU YA 24 nilimkaribisha joshua ndani kila mtu hakuamini alichokiona mbele yake zaidi ya kutaka kukimbia lakini niliwasihi wasikimbie na kuwasihi watulie joshua awaadisie kila kitu "mama zangu mimi sijafa tafadhali msinikimbie" joshua alijaribu kumwambia mama yake na mama yangu ingawa mioyo yao ilionekana kutoamini wanachokiona "joshua mwananangu ni wewe?" mama yake joshua aliuliza huku akiwa bado haamini huku machozi yakimtoka " ni mimi mama" joshua alimwambia mama yake huku akimsogelea mamam yake aweze kumgusa "mwanangu siamini jamani"mama yake alimkumbatia joshua huku akilia kwa machozi ya furaha na kufanya wote tufurahi kwa kitendo kile "mama ni story ndefu ntakusimulia yote yaliyonisibu'' joshua alimwambia mama yake n kufanya afute machozi huku wakiketi chini na kuanza kumsimulia mwanzo hadi mwisho na kufanya kila mtu pale ndani kustaajabu "pole sana mwanangu umepitia maswahibu mengi bado ukiwa mdogo sana" mama alimwambia joshua kwa huzuni "usijali mama yangu cha muhimu niko hai" joshua aliwaambia na kufanya tufurahi kwa uwepo wa joshua tena kwenye maisha yetu "baba yako huko alipo akisikia atafurahi sana maana kile kifo chako kilimuathiri sana" mama yake alimwambia joshua huku bado mama yake akionekana haamini "nimemkumbuka sana baba sijui atarudi lini" joshua alimwambia mama yake "akisikia upo hai atarudi haraka kukuona" mama alimjibu na kufanya nitabasamu kuona familia imekua ya furaha tena "uyo dada uliesema alikusaidia ana ushahidi wa kutosha maana kesi ni kesho inaendelea na hukumu inaeza kua keasho sasa kaama tutakosa ushahidi frenk ataachiwa huru" mama alimuuliza joshua "msiwe na shaka usahidi upo wa kutosha wala msihofu wazazi wangu" joshua aliwaambia na huku tukila chakula cha jioni pamoja na mda ulipofika wakina joshua waliaga na kuondoka huku tukisubiri kesho mahakamani ilipofika mda wa kulalajoshua alinitumia text na kunambia "usiku mwema mke wangu nakupenda sana" nilitabasamu na kumjibu" nakupenda pia mme wangu ulale salama" asubuhi na mapema tuliamka na kujiandaa kwenda mahakamani kusikiza kesi inavoendelea, tulifurahi kumuona clara akifika mapema sana na kumtambulisha kwa mama na mama yake joshua huku wakimshukuru kwa wema wake... hatimae kesi ilianza na mimi nilipanda kutoa ushahidi wangu na joshua alipanda kutoa ushahidi wake na kufanya frenk ashituke kwani alijua joshua alishakufa siku nyingi, jambo lile la kumuona joshua ililmnyima raha kabisa, nilifurahi joshua alitoa ushahidi wake vizuri sana, mwisho alikuja clara kupanda kizimbani lakin frenk alivomuona clara alishituka sana na kumuita jina lake "clara" wakawa wanaangaliana kwa sekunde kadhaa, kitendo klie kilitushitua kwani tulishangaa sana imekuwaje clara na frenk wanajuana "mmh baby kwani clara anamjua frenk na mbona hakuwahi kutuambia?" nilimuuliza joshua na kumfanya yeye kushangaa "hata mimi hakuwahi kunambia kitu chochote'' joshua nae alionesha kushangaa clara alijitambulisha na kuanza kutoa ushahidi wake pale mbele "naitwa clara ni mchumba wa zamani wa frenk...tulikaa kwenye mahusiano miaka 5 lakini frenk alikua na pesa sana jambo lililokua linanipa mashaka kwani kipindi hiko alikua chuo lakini alikua anamiliki majumba na magari ya kifahari bila kujua kazi yake, nilipoamua kufanya uchunguzi nilikuja kugundua naishi na jambazi kwani alikua na mambo ya ajabu sana lakini nilivomuuliza alikua ananipa kipigo na kunambia haya mambo hayanihusu kwani kama pesa napata nilivoamua kudadisi akagundua na kunikodia majambazi wenzake na kunifanya vibaya na kuagiza niuawe ili nisitoe siri hii" clara aliongea huku akifuta machozi, kiukweli tulishanga sana kwani katika sikuwahi kuwaza kama frenk anaeza kuwa mtu wa aina ile nilijiinamia na kuanza kulia "love mpenzi naoba usilie sawa mama huna haja ya kula leo ndo mwisho wake tutaishi kwa amani" joshua alinibembeleza na kunifanya nitulie kidogo japo moyo uliniuma sana tena sana, clara alieleza mambo mengi sana ya kutishahadi nikawa na sisismka mwili, "sikuwahi kuwaza kama nilikua naishi na mtu wa aina hii"nilimwambia jshua na kumfanya aniangalie na kunituliza nitulie nisikilize kule mbele, basi clara alitoa CD na kuomba mahakama iangalie ile CD na kufanya kila mtu awe na shauku ya kujua kuna nini mule ndani ya CD......ITAENDELEA SUBIRA YANGU SEHEMU YA 25 Tulikodolea macho kwenye screen huku frank jasho jingi lilikua linachuruzika pia alionesha kutetemeka huku macho yake yakiwa kwa clara CD ilionesha jinsi Joshua alivokua anateswa na kuchimbiwa shimo huku akifukiwa na frenk akishirikiana na vijana wake jambo lililowaacha midomo wazi baadhi ya ndugu zake na frenk kwani hawakuamini walichokiona na kuwafanya waanzee kulia kwa uchungu nilipomtazama frenk nilimuona anatokwa na machozi huku amejiinamia chini Baada ya kumalizika kwa CD clara alishuka kizimbani na kuja kukaa na hakimu alitoa hukumu yake “Tumesikiliza ushahidi pande mbili na kuona frenk ana hatia ,kutoka kifungu no123 cha mwaka 2009 kime prove frenk unahatia ya utekaji nyara, kifungu no99 cha mwaka1987 kime prove frenk una hatia ya uhalfu wa kutumia silaha ya moto, na kifungu no 66 cha mwaka2007 kime prove frenk una hatia ya kukusudia kuua sisi kama mahakama tunakupa adhabu ya kwenda jela miaka30 na faini ya shilingi milion5 na viboko 12…”hakimu alimaliza kusoma hukumu watu wote tulisimama na kesi ikafungwa, kwa upande wangu mimi na Joshua tulifurahi sana “Finally we made it” nilimwambia Joshua huku tukiwa tumekumbatiana kwa furaha “Nina furaha sana kwani tunaenda kishi kwa amani sasa”Joshua alinambia huku nikimgeukia clara na kumshukuru “Asante sana clara bila wewe sijui ingekuaje”nilimwambia huku nikimkumbatia kwa furha “Usijali my dear ni wajibu wangu” clara alinambia huku nae akitabasamu “Pole sana kwa yaliyokukuta” nilimpa pole kwa unyama aliofanyiwa na frenk “Ahsante sana” clara alinjibu huku akimgeukia Joshua na kumkumbatia kwa furaha pia “Clara sijui nikupe nini mama yangu..ahsante sana” Joshua alimwabia clara huku clara akiweka mdomo wake kwenye sikio la Joshua na kumnong’oneza “Nahitaji penzi lako kama shukrani” kitendo kile kilimshitua Joshua na kufanya ajitoe mwilini mwa clara kwani bado walikua wame kumbatiana Joshua alivosikia ile akaondoka huku nikimtafuta nikatoka nje huku nikijaribu pepesa macho nikamuona ashapanda kwenye gari ana tusubiri “Vipi baby umetoka ndani hata ujaaga mbona umepooza gafla?” nilimuuliza huku na mimi nikipanda mbele “Wapigie kina mama tundoke” Joshua alinambia huku bado nikiwa simwelewi “Sawa lakini naona hauko sawa jamani’’ nilimwanbia huku nikimwangalia “Love mke wangu nielewe waite twende mi niko sawa mbona” Joshua alinijibu na kufanya niwapigie simu wakina mama wakaja na kuondoka huku kila mtu akionekana kufurahi sana siku hiyo Tulifanya sherehe kwa kujipongeza na kualika ndugu na jamaa huku Joshua akinivisha pete ya uchumba na kusema ndoa lazima iwe ya haraka sitaki kupoteza tena muda maana nimesubiri sana tuliendelea kunywa na kucheza huku mimi nikichez na mume wangu mtarajiwa taratibuu “Love mke wangu ukumbuka siku yetu ya kwanza kua inlove?” Joshua aliniuliza “Mmh baby sikumbuki ni siku nyingi sana”nilimjibu “Ukisikiliza hii nyimbo unakumbuka nini?’’ Joshua alizidi kunipa maswali Daah jamani mi sikumbuki”nilimjibu kwani sikuweza kukumbuka kitu Mi nakumbuka the first time na kutoa out tulicheza blues nyimbo hii hii na tulimake love siku iyo…nakumbka ulilia sana first time nakutoa bikra”Joshua alinambia huku akitabasamu na kunifanya nicheke sana “Yani baby husahau?”nilimjibu kabla hajanijibu mama alikuja upande wetu na kumwambia Joshua “Yule rafiki yako clara kalewa sana hawezi hata kuendesha gari naomba mpeleke kwake akapumzike” mam alimwambia Joshua na kufanya kama calivoagizwa na kumbeba clara na kumuweka nyuma safari ya kumrudisha kwake ikaanza Walipofika akamshusha yani alikua hawezi kutembea na kulazimika Joshua ambebe hadi chumbani mwake akalale,alivomfikisha chumbani akambwaga hadi kitandani na kumvua viatu vyake virefu alipomaliza Joshua alinuka pale kitandan ili atoke lakini clara alimzuia “Joshua unaenda wapi bwana mi naogopa kulala mwenyewe” clara aliongea kilevi levi “No clara we pumzika mi natakiwa nirudi kule”Joshua alimjobu clara lakini clara hakuelewa “Joshua mi na hamu sana na wewe na unafahamu hilo plz naomba unikate kiu yangu japo kidogo”clara alionga na kumsogelea Joshua “No clara wewe umelewa sdaivi hujielewi namba niachie niende”Joshua alijaribu kujitetea kwani alikua ametegwa balaa “Joshua ni mara ngapi nakwambia nakupenda lakini hunielewi jamani nimejotolea kwaajili yako mbona na mimi hutaki nisaidia”clara valiongea huku akitoa machozi Clara si unajua nina mchumba lakini?”Joshua alimwambia huku akijaribu kuinuka Najua ila hawezi kujua plz Joshua nipe kidogo mwenzio sijawahi kufurahia mapenzi kabisa”clara alimwambia Joshua huku mkono wake ukianza kutalii kwenye suruali ya Joshua na kumfanya Joshua asisimke wakaanza kupeana kiss taratibu huku clara akivua nguo zake na kumlaza Joshua ili amvua nayeye suruali yake kwani clara tayari alionekana kuzidiwa kabisa…. SUBIRA YANGU SEHEMU YA 25 Tulikodolea macho kwenye screen huku frank jasho jingi lilikua linachuruzika pia alionesha kutetemeka huku macho yake yakiwa kwa clara CD ilionesha jinsi Joshua alivokua anateswa na kuchimbiwa shimo huku akifukiwa na frenk akishirikiana na vijana wake jambo lililowaacha midomo wazi baadhi ya ndugu zake na frenk kwani hawakuamini walichokiona na kuwafanya waanzee kulia kwa uchungu nilipomtazama frenk nilimuona anatokwa na machozi huku amejiinamia chini Baada ya kumalizika kwa CD clara alishuka kizimbani na kuja kukaa na hakimu alitoa hukumu yake “Tumesikiliza ushahidi pande mbili na kuona frenk ana hatia ,kutoka kifungu no123 cha mwaka 2009 kime prove frenk unahatia ya utekaji nyara, kifungu no99 cha mwaka1987 kime prove frenk una hatia ya uhalfu wa kutumia silaha ya moto, na kifungu no 66 cha mwaka2007 kime prove frenk una hatia ya kukusudia kuua sisi kama mahakama tunakupa adhabu ya kwenda jela miaka30 na faini ya shilingi milion5 na viboko 12…”hakimu alimaliza kusoma hukumu watu wote tulisimama na kesi ikafungwa, kwa upande wangu mimi na Joshua tulifurahi sana “Finally we made it” nilimwambia Joshua huku tukiwa tumekumbatiana kwa furaha “Nina furaha sana kwani tunaenda kishi kwa amani sasa”Joshua alinambia huku nikimgeukia clara na kumshukuru “Asante sana clara bila wewe sijui ingekuaje”nilimwambia huku nikimkumbatia kwa furha “Usijali my dear ni wajibu wangu” clara alinambia huku nae akitabasamu “Pole sana kwa yaliyokukuta” nilimpa pole kwa unyama aliofanyiwa na frenk “Ahsante sana” clara alinjibu huku akimgeukia Joshua na kumkumbatia kwa furaha pia “Clara sijui nikupe nini mama yangu..ahsante sana” Joshua alimwabia clara huku clara akiweka mdomo wake kwenye sikio la Joshua na kumnong’oneza “Nahitaji penzi lako kama shukrani” kitendo kile kilimshitua Joshua na kufanya ajitoe mwilini mwa clara kwani bado walikua wame kumbatiana Joshua alivosikia ile akaondoka huku nikimtafuta nikatoka nje huku nikijaribu pepesa macho nikamuona ashapanda kwenye gari ana tusubiri “Vipi baby umetoka ndani hata ujaaga mbona umepooza gafla?” nilimuuliza huku na mimi nikipanda mbele “Wapigie kina mama tundoke” Joshua alinambia huku bado nikiwa simwelewi “Sawa lakini naona hauko sawa jamani’’ nilimwanbia huku nikimwangalia “Love mke wangu nielewe waite twende mi niko sawa mbona” Joshua alinijibu na kufanya niwapigie simu wakina mama wakaja na kuondoka huku kila mtu akionekana kufurahi sana siku hiyo Tulifanya sherehe kwa kujipongeza na kualika ndugu na jamaa huku Joshua akinivisha pete ya uchumba na kusema ndoa lazima iwe ya haraka sitaki kupoteza tena muda maana nimesubiri sana tuliendelea kunywa na kucheza huku mimi nikichez na mume wangu mtarajiwa taratibuu “Love mke wangu ukumbuka siku yetu ya kwanza kua inlove?” Joshua aliniuliza “Mmh baby sikumbuki ni siku nyingi sana”nilimjibu “Ukisikiliza hii nyimbo unakumbuka nini?’’ Joshua alizidi kunipa maswali Daah jamani mi sikumbuki”nilimjibu kwani sikuweza kukumbuka kitu Mi nakumbuka the first time na kutoa out tulicheza blues nyimbo hii hii na tulimake love siku iyo…nakumbka ulilia sana first time nakutoa bikra”Joshua alinambia huku akitabasamu na kunifanya nicheke sana “Yani baby husahau?”nilimjibu kabla hajanijibu mama alikuja upande wetu na kumwambia Joshua “Yule rafiki yako clara kalewa sana hawezi hata kuendesha gari naomba mpeleke kwake akapumzike” mam alimwambia Joshua na kufanya kama calivoagizwa na kumbeba clara na kumuweka nyuma safari ya kumrudisha kwake ikaanza Walipofika akamshusha yani alikua hawezi kutembea na kulazimika Joshua ambebe hadi chumbani mwake akalale,alivomfikisha chumbani akambwaga hadi kitandani na kumvua viatu vyake virefu alipomaliza Joshua alinuka pale kitandan ili atoke lakini clara alimzuia “Joshua unaenda wapi bwana mi naogopa kulala mwenyewe” clara aliongea kilevi levi “No clara we pumzika mi natakiwa nirudi kule”Joshua alimjobu clara lakini clara hakuelewa “Joshua mi na hamu sana na wewe na unafahamu hilo plz naomba unikate kiu yangu japo kidogo”clara alionga na kumsogelea Joshua “No clara wewe umelewa sdaivi hujielewi namba niachie niende”Joshua alijaribu kujitetea kwani alikua ametegwa balaa “Joshua ni mara ngapi nakwambia nakupenda lakini hunielewi jamani nimejotolea kwaajili yako mbona na mimi hutaki nisaidia”clara valiongea huku akitoa machozi Clara si unajua nina mchumba lakini?”Joshua alimwambia huku akijaribu kuinuka Najua ila hawezi kujua plz Joshua nipe kidogo mwenzio sijawahi kufurahia mapenzi kabisa”clara alimwambia Joshua huku mkono wake ukianza kutalii kwenye suruali ya Joshua na kumfanya Joshua asisimke wakaanza kupeana kiss taratibu huku clara akivua nguo zake na kumlaza Joshua ili amvua nayeye suruali yake kwani clara tayari alionekana kuzidiwa kabisa…. SUBIRA YANGU SEHEMU YA 27 Nilimpgia na kumuomba aje nyumbani tuongee, baaada ya muda Joshua alikuja huku akiwa bado mnyonge sana nilimshika mkono na kumwambia “Am sorry beby’’ lakini Joshua hakunijibu alibaki akinitizama machoni kam mtu anaetafakari jambo “Joshua nisamehee nimegundua makosa yangu plz” niliendelea kumwomba msamaha “Love wala hujanikosea kitu najua ni wivu tu wa kimapenzi ndo ulikufanya uwe vile jana lakini nikuombe mimi radhi kwa niliyokufanyia jana kwani clara alinilazimisha nilale nae lakini…” nilimkatisha maneno yake “Wala usiali clara ameshaniadisia yote so am sorry baby” nilimwambia Joshua na kuinuka huku nikumuinua na kumkumbatia huku furaha ikirudi upya Mikakati ya harusi ilipangwa vizuri na hatimaye tukafunga ndoa na Joshua mwanaume wa ndoto zangu,mwanaume niliempenda tangu utoto wangu leo hii amekua mume wangu nifuraha ilioje kwangu, tukiwa kwenye sherehe tuliandaliwa wimbo maalum kwaajili yetu maharusi na kuanza kucheza taratibu “Joshua mume wangu nakupenda sana finally we made it..umekea mume wangu rasmi leo sitasahau hii siku’’ nilimwambia mume wangu taratibu hku tukiendelea kucheza “Nakupenda pia mke wangu, hakika wewe ni mwanamke wa pekee sana kwenye maisha yangu” Joshua alizidi kunisifia “Ahsante mume wangu nakuahidi kua mke mwema siku zote za maisha yangu, shida na raha tabu na magonjwa” nilimwambia Joshua huku tukitabasamu “Tumepitia mambo mengi sana, majaribu mengi, pamoja na misukosuko lakini hatukukata tama tuliendelea kupigania penzi letu basi naomba hata kwenye ndoa yetu iwe hivi hivi no kukata tama”Joshua alinisihi “Wewe ndo kila kitu kwangu mume wangu nakupenda leo kesho na hata milele ur the love of my life” nilimjibu huku tukikutanisha midomo yetu nakupena mabusu moto moto huku kila mmoja wetu machozi yalikua yanatoka hata sijui yalikua ya furaha ama ndo nini…nilijikuta natabasamu huku nikmfuta machozi mume wangu nae akaanza kutabasamu , nikabebwa juu juu huku akinipeleka kwenye gari na safari y honey moon ikaanza Furaha niliyonayo haielezeki mda wote nilikua na tabasamu tu huku nikimbusu mume wangu kila wakati….tulipata hoteli moja kubwa sana kwaajili yaku enjoy mimi na mume wangu “Leo nataka nkupe mimba mke wangu kwa mechi ya leo” Joshua alinmbia huku akiwa amenibeba kwani tulitoka kuoga “Ha ha ha haaa baby bwana una vituko” nilimjibu huku nikicheka “Kweli mke wangu tena ya mapacha kabisa” Joshua aliniambia huku akizima taa na mchezo ukaanza wa kikubwa huku kila mtu akifurahia mchezo ulee kwani kila mtu alike na hamu na mwenzie sanaa…………MWISHO 🅱 official love top intown

at 10:06 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top