Thursday, November 23, 2017

SUBIRA YANGU SEHEMU YA 17 “Mama mim ndoa na frank basi sitaki tena” nilimwambia mama Unasemaje wewe? Mama alihamaki Ndo nishaamua mama mi sitaki kuja kuteseka kabisaa” nilimwambia mama huku nikiangalia pembeni “Hee love nakwambia ndoa si lelel mama inahitaji uvumilivu usione mimi na baba yako mpaka leo tupo wote ukadhani labda hatujawahi kukoseana au kugombana lakini yoote tunasamehe na maisha yanaendelea” mama alinisisistiza “Sasa ukigombana na mwenzio si utakuwa unarudi nyumbani wewe kila siku?” mama aliniuliza Siyo hivyo mama frenk hanifai japo amenifanyia mabo mengi mazuri…alifanya vile kuficha makucha yake nahisi akija kunioa ndo atayatoa sasa makucha yake ila si mume wa kunioa kabisa nishaona” nilimwambia mama “Hivi mwanangu unajua kupenda wewe au unaongea ongea tu” mama alinuiliza na kunifanya nikae kimya “Usitake kunambia Joshua ndo anakufanya ufanye yote haya umkatae mtoto wa watu” mama alizidi kunipa kichambo “Mama lakini sasa Joshua anahusika na nini hapa hadi uanze kumlaumu,mimi mwenyewe kwa akili zangu bila kushauriwa na mtu yoyote nimeamua” “We Joshua si alikukimbia hapa na kwenda kwa wazungu wake” mama alionesha kukereka sana Mama nimekwambia sitaki umuongelee Joshua “Sasa naomba uolewe na frenk” mama alinambia huku akiinuka na kutaka kuondoka “Sawa mama nimekuelewa” nilimjibu mama Mama hakuchelewesha akampigia frenk na kumwambia “kila kitu kipo sawa ndoa ipo mwanangu” mama aliongea kwa tabasamu Dah asante sana mama nakuja na zawadi ya mke wangu kwa ahsante” Baada ya muda kidogo ilikua tayari giza linaanza kuingia akaja frenk, mama akaja kuniita chumbani “Haya mumeo kaja vaa vizuri ukamsalimie” mama aliniambia huku akitaka nivae vizuri nipendeze “Mama nawe sasa nipendeze nini kwani naolewa leo?” nilimjibu huku nikiinuka na kwenda sebleni vile vile “Helo beby” frenk alinisalimia huku akiinuka mikononi mwake alibeba maua na kuja nayo huku akinikabidhi lakin sikupokea nilibaki namtizama tu “Yaweke mezani” nilimjibu na kuketi “ Mmh mke wangu mbona kama una hasira bado” aliniuliza huku akinisogelea Sina hasira” nilimjibu huku nikiwa nimenuna kweli kweli, kanikabidhi ki box kidogo “zawadi yako mpenzi wangu” alinambia huku akinipa sikupokea nilibaki namtizama tu “Mke wangu jamani si nimeshakuomba msamaha jamani” frank aliongea huku akifungua ki box hicho na kutoa cheni ya dhahabu yenye kidani cha almasi na hereni zake na cha mkononi, akawa ananivalisha cheni huku akinikiss shingoni badae akanivisha vyote “Ahsante nashukuru” nilimjibu huku nikionekana sijafurahia zawadi ile jambo lililomuhuzunisha frenk “Mke wangu basi naomba nikutoe diner leo” aliniomba huku akinishika mikono yangu “Hapana nimechoka leo siku nyingine” nikainuka na kuelekea chumbani frenk akanivuta mkono “Mbona haraka hivyo hata huniagi jamani’’ frenk alinambia huku akinivuta karibu yake kama mtu anataka kiss lakini nikagoma kabisa anikiss ‘’Basi mama nisikulazimishe, haya kwa heri naomba niitie mama nimuage” alinambia na kuketi chini..baada ya muda mama akaja na kuagana na frenk na kundoka zake, Siku zikasogea hatimae mimi na frank siku ya ndoa ikawadia,shamra shamra zilitawala pande mbili kwetu na kwa kina frank lakini kwa upande wajoshua ilikua ni majonzi na simanzi tele ndipo aliamua kuongea na mama yake anavojisikia vibaya kunikosa katika maisha yake “Mama kama unavojua leo ndo siku ya ndoa kati ya frank na love” Joshua alimwambia mama yake “Nafahamu mwanangu na nimealikwa” mama yake aliongea pia kwa majonzi “Ila mama mimi nimeamua kurudi marekani kuanza maisha yangu upya kwani love nishamkosa sina budi kuondoka zangu” Joshua aliongea kwa huzuni sana “Sasa tiketi umeshakata?”mama yake alimuuliza “Ndiyo mama naondoka na ndege ya saa nane mchana” Joshua alimjibu mama yake “Mwanangu ntakumiss sana mtoto mwenyewe ni mmoja tu jamani” mama yake aliongea kwa huzuni “Usijali mama yangu ntakua nakuja kukusalimia hata ivo naenda kwa mda mpaka akili yangu itulie nipate mke ndo nitarudi” Joshua alimwambia mama yake na kumpa moyo Sisi mda wa kwenda saluni ulifia tukawa saluni na kuendelea kurembwa mpaka mida ya mchana inakaribia kuingia kanisani nikamuuliza Yule binti wa saluni anionyeshe chooni ni wapi nikajisaidie “Dada toilet ni wapi?” nilimuliza akanielekeza nikabeba pochi yangu na kuelekea zangu chooni, akili mwangu tayari nilishapanga mpango wa kutoroka sikutaka kabisa kuolewa na frenk kwani katika uchunguzi wangu nilikuja kugundua mambo mengi sana kuhusu yeye na tabia ya kulete wanawake ndo ulikua mchezo wake tena wasichana tofauti tofauti…Yule dada wa kazi aliniambia kila siku baada ya kumbana sana…..nilipanga nitoroke niende kwa Joshua wangu mwanaume wangu wa pekee niliempenda tangu utoto na nilipanga tuhame ata nchi tukaanze upya maisha yetu Nikavua lile shela na kuvaa suruali ya jisi na tisheti huku nikinawa uso kutoa make up usoni na kuvaa miwani na mtandio, lile shela nikaliacha mule mule chooni, baada ya kumalza nikachukua pochi yangu huyooo nikakimbia moja kwa moja hadi kwa kina Joshua…..ITAENDELEA!! SUBIRA YANGU SEHEMU YA 18 niliiamua kuchukua usafiri wa boda boda kwani niliona ndo itakuwa rahisi mimi kuondoka haraka eneo lile na gari niliacha gari yangu saluni, nilimwambia dereva anipeleke masaki haraka sana nilifika huku tayari simu nikiwa nimeshzima kuepusha usumbufu, niligonga geti na kuingia moja kwa moja ndani na kumkuta mama akila chakula cha mchana lakini alikua maeshavaa vizuri nikahisi nayeye anaenda kwenye harusi yangu “shikamoo mama” nilimuamkia mama huku nikiwa nahema kweli kweli, mama alionesha mshituko kwani hakutegema kuniona pale mda ule “Marhaba vipi si unatakakiwa uwe kanisani vipi?” mama aliniuliza huku akiacha kuendelea kula “Mama Joshua yuko wapi?” nilimuuliza huku nikikwepa swali lake “Love hebu subiri mda huu si unatakiwa uwe kanisani na mimi ndo najiandaa hapa sasa sielewi navokuona hapa” mama bado alizidi kunihoji “Mama mi nampenda Joshua siwezi kuolewa na frank mama,,Joshua yuko wapi mama” nilimjibu huku nikiwa na haraka ya kujua Joshua alipo “Mmh sasa mwanagu Joshua hayupo yani kama mmepishana kama dakika30 hivi” mama alinijibu “Basi mi nitamsubiri hapa hapa haina shida ” nilimjibu na kuketi “Mmh mwanangu Joshua harudi tena” mama alinijibu na kunifanya niinuke haraka kwenye kochi huku moyo wangu ukifa ganzi Anaenda wapi wapi?” nilimuuliza huku moyo ukienda mbio na kujikuta machozi yananilenga lenga “Anaenda marekani kuanza upya maisha yake baada yaw ewe kumkataa na kuamua kuolewa na joshua” mama alinijibu huku nikiwa siamini ninacho kisikia “Mama kweli?” nilimuuliza tena mama kwa huzuni “Ndiyo ila unaweza kumuwahi, nenda airport ila sijui kama utawahi maana anaondoka na ndege ya saa9” mama alinambia huku akinionea huruma “Hebu mpigie basi mama kwanza”nilimwomba mama ampigie Joshua huku nikicheki saa ilikua ni saa nane na nusu Mama alipiga bila mafanikio simu haikuwa ikipokelewa tena, nikatoka mbio na kutafuta boda boda tena aniwahishe airport huku matumaini ya kumpata Joshua yakiwa asilimia chache sana……. Kwa upande wa saluni kulizuka taharuki baada ya mama na msimamizi kunitafuta kila mahali bila mafanikio na muda ulikua umeshaenda kwani frank alikua ashasubiri kanisani mpaka basi Jamani sasa uyu mtoto atakua wapi mbona anataka kunitia aibu mimi, simu nayo kazima ” mama aliongea huku jasho jingi likiwa linamtoka mara frank akawa anapiga simu kwa mama tena “Mama vipi mbona hamfiki jamani padre ana ratiba zake tunamchelewesha mnajiremba masaa?”frank aliongea huku akiwa amekasirika “Tunakuja mwanangu sasa ivi” mama alimpa moyo frenk bila kujua mimi sipo Hapa inabidi twende kanisani tukaseme kuna emergency sina jinsi”mama aliwashauri ndugu huku akifuta jasho na woote wakapanda kwenye gaari kuelekea kanisani…walivofika vigelegele vilitawala na kumfanya frenk aanze kutabasamu lakini mama hakuonesha furaha alijawa huzuni sana “Vipi mama mbona love hashuki kwenye gari tuanze ibada?” frenk alimuuliza mama “Mwanangu samahani sana kuna tatizo” mama alimwambia frenk na kumfanya ashituke “Tatizo gani” frenk aliuliza kwa shauku kutaka kujua Love ametoroka tumemtafuta sana bila mafanikio na simu kazima shela katupa chooni Whaaat?....frank alishuka mpaka akkanguka chini na kuzimia, ikawa taharuki tena kwa ndugu na jamaaa huku wakishangaa nini kimempata bwana harusi, wakambeba na kumkimbiza hospitali na kuwekewa dripu huku arusi ikiwa haipo tena ……. Kwa upande wangu nilijaribu kumwambia afanye haraka kwani nilibaki na dakika 15 tu huku moyo ukienda mbio hatari nilitamani nipae kwani dereva niliona anachelewa , hatimae nilifika airport huku nikitoka mbio kuelekea kwa wageni wanaosubiri kuondoka na ndege ya saa9 nachek saa ilibaki dakika3 Nilisindwa nianzie wapi maana watu ni wengi na wengi wapo kwenye foleni ya kuelekea airport kwenye kupandia ndege nikaamua kuita tu kwa sauti “JOSHUUA PLZ USIONDOKE BADO NAKUPENDA” niliongea kwa sauti hadi watu woote wakawa wananishangaa wakajua labda nimechanganyikiwa mimi sikujali niliendelea kuita huku nalia tu nakungoja labda Joshua atatokea lakini hakutokea mpaka watu woote wasafiri wakapanda ndege na kushuhudia ndege iyo taratibu ikiacha ardhi nilijikuta nakaa chini huku nalia kwa uchungu sana Why me love?...i lost everything,no frenk no Joshua, no one is by my side(kwanini mimi love nimepoteza kila kitu hakuna frenk,hakuna Joshua hakuna alie upande wangu)..niliongea huku naendelea kulia bila kunyamaza “Love!” niliitwa jina langu huku nikishikwa began a kunifanya nigeuke haraka, sikuamini kumuona Joshua mbele yangu na mabegi yake,hata sijui nguvu nilitoa wapi na kujikuta nimesimama na kuanza kumwangalia Joshua mara mbili mbili ndo yeye au naota …nilimvamia kwa spidi na kumkumbatia kwa nguvu zangu zote huku nikilia kwa furaha nae Joshua alikua anatoa machozi “Siamini macho yangu” nilimwambia Joshua huku bado tukiwa tumekumbatiana na kufanya kila mtu atushangae “Ndo mimi mke wangu” Joshua alinijibu huku akizidi kunikumbatia sana “Pls Joshua don’t live me I still love u so much(nakuomba Joshua usiniache bado nakupenda sana)” “Siwezi kukuacha mpenzi ndo mana sijaenda popote na niko hapa na wewe mda huu” alinijibu huku akitabasamu..tukawa tunatoka kuelekea nje na kuanza kumuuliza imekuaje hadi hujasafiri?” nilimuuliza na kutaka kujua “Nilikusikia unavoongea pale nikatoka kwenye mstari na kubaki pembeni japo sijaamini nilichokisikia” “Daah baby nilijua ndo umeshaniacha nimeumia sana jamani nilijua sitakuona tena sijui ingekuaje maisha bila wewe” nilimwambia kwa huzuni “Love nakupenda sna mke wangu ila sijajua leo si ndo harusi yako imekuje?” Joshua aliniuliza “Nitakuadisia kila kitu twende kigamboni hoteli tukaongee kila kitu mpenzi ila nataka tuhame nchi tukaishi mbali kabisa” nilimwambia Joshua na kufanya asiamini kile anachokiona…………..ITAENDELEA SUBIRA YANGU SEHEMU YA 19 Tulichukua taxi mpaka kigamboni huku kila saa Joshua akiniangalia usoni mwangu na kua mwingi wa furaha “Vipi baby mbona unaniangalia sana?” nilimuuliza Joshua baada ya kuona ananiangalia “Hamna beby nafurahia uwepo wako maana mpaka sasa nahisi naota” Joshua aliongea akinivuta karibu na kumfanyia nimlalie kifuani mwake huku kila mmoja akionesha furaha moyoni mwake Tulifika hotelini hapo nakulipia kila kitu tukachukua room na kuingia ndani “Baby tukaoge kwanza alafu tule maana mi tangu asubuhi niko saluni sijatia kitu mdomoni” nilimwambia Joshua huku tukivua nguo na kwenda kuoga, tulipomaloza tukaagiza chakula na kula baada ya hapo tukajipumzisha kitandani “Haya niambie love ilikuaje hadi kukimbilia airport badala ya kuolewa na frank?” Joshua alikua na shauku ya kutaka kujua kilichotokea Niliamua kumwelezea kila kitu na kumfanya ashangae sana “Mmh love wewe ni jasiri sana” Joshua alinipongeza “Kwanini baby unasema ivo?” nilimuuliza Kufanya mchezo kama huu mgumu wa kumwacha frenk kanisani?” Joshua alinambia “Joshua nakupenda sana wewe ndo mwanaume ulienifundisha nin maana ya mapenzi japo ulikua mbali na mimi na nimejua kua nilikukosea kwa kufanya uamuzi wa haraka kua na frank bila kumfahamu vizuri kumbe hajatulia anapenda wanawake” nilimwambia Joshua huku nikimtizama “Najua ulifanya vile kwani najua hukua na matumaini ya mimi kurudi, ila sikulaumu wewe ni binadamu si malaika”Joshua alionesha kunielewa “Kwaiyo baby nawewe hukunisaliti uko uko kwa wazungu?”nilimuuliza huku nikimpapasa mgongoni “Hapana mke wangu sijawahi kukusaliti ata siku moja apa nilipo na hamu sana na wewe” Joshua aliongea hukuakiendelea kutalii mwili mwili wangu “Mmh beby kweli usemayo au unanidanganya?” nilimwambia huku nikimwangalia usoni “Niamni mpenzi siwezi mimi date na wazungu” alinambia huku akinivua nguo taratibu “Mmh taratibu beby” nilimwambia Joshua maana alinivua nguo haraka haraka “Tulia beby leo ndo utaona jinsi nilivyokumis” Joshua alinambia huku akinipapasa kwenye maungo yangu ya mwili huku midomo yetu ikikutana na kupeana romance matata sana nilisisismka sana “Mmh baby naona mwili wako una motoo kama mgonjwa vile” Joshua alinambia huku akiendelea kuninyonya shingoni taratibu huku akiamia kifuani mwangu na kuzinyonya chuchu zangu lakini nilihisi maumivu flani na kumwambia asiendelee kunyonya akaamia kiunoni na mapajani na kupata msisimko wa ajabu “Mmh…baby..nakupenda..”niliongea na sauti ya kukwama kwama kwani nilikua sijielewi baada ya kuona nipo tayari kwa mchezo akaniweka vizuri ili aanze kunipa mashuti ya haraka haraka tena kwa spidi na kunifanya niheme kama mwanariadha Alinipa style ambazo mimi sijawahi kuzifanya na kupata raha zaidi hadi nikaanza kutoa machozi hata sijui yalitoka wapi mda ule…tukamaliza round zetu tatu mim nilikua hoi sana lakini Joshua bado alionekana yuko fiti “Mmh baby utaniua mwenzio” nilimwambia kwa uvivu sana “Mbona bado sana baby nahamu sana na wewe yani” alinambia huku akinibeba kuelekea bafuni na kuniogesha ili nichangamke tuendelee na mchezo wetu….nikaanza kumnyonya koki yake taratibu huku nikimuangalia na kuona anavosikia raha baada ya kumaliza nikamlaza kitandani na kumkalia kwa juu huku nikimpapasa kifua chake na kunyonya ndimi zake huku mkono ukiwa sehemu nyeti baada ya kuona yuko tayari nikaiweka koki vizuri na kuikalia na kuanza kucheza sindimba la maana huku Joshua akiwa ameshika kiuno chako jambo lilizidi kunipa raha za ajabu na kujikuta tukifunga goli kwa haraka zaidi….. Nilimaliza na kujitupa kitandani na kupumzika ila Joshua aliniuliza “Love una mimba?” Joshua aliniuliza swali lilinishitua moyo wangu “Mimba?...sina mimba mimi kwanini umeuliza?” nilimuuliza “Naona changes nyingi sana kwenye mwili wako baby hata the way tulivokua tuna sex nimeona kabisaa wewe ni mjamzito” Joshua aliongea kwa kujiamni kabisa utadhani amenipima “Baby bwana sina mimba” nilimjibu Joshua huku nikaanza kuona kihefu chefu cha gafla na kuinuka na kukimbilia chooni kutapika, nilitapika sana hadi nikaishiwa nguvu kabisa, ila Joshua alikuja kuniangalia na kunibeba na kuniweka kitandani “Baby nasikia vibay,a kizunguzungu nahisi ” nilimwambia huku nikiwa nimeshika kichwa “Ngoja nikutafutie dawa kwanza alafu kesh o twende hospitali” Joshua alinambia huku akiinuka na kwenda famacy huku akiniacha na mawazo mengi sana Kwa upande wa hospitali frank aliamka na kuanza kushangaa mazingira aliyokuepo “Niko wapi hapa jamani…’’ aliuliza ndugu zake “Upo hospitali ulizimia jana kanisani” walimjibu huku wakimwambia aendelee kupumzika “Namtaka love wangu jamani yuko wapi mke wangu naomba nimuone” frenk aliongea huku akitaka kuua nilipo “Atakuja usijali mwanangu” mama ake alimjibu Hapana mwiteni saivi namtaka nimuone plz alionge hukuakilia akiinuka na kutaka kuondoka wodini

No comments:

Post a Comment