Love story:ANKO INATOSHA
Mwandishi:JAFARI MPOLE
Sehemu:09
ILIPOISHIA:
..kitendo cha yeye kutoka
mule chumbani mwa mama Zuhura alishangaa kuona
anashikwa mkono,akageuka
nyuma kutazama..TUENDELEE..
Loh..alishangaa kumuona
Zuhura akiwa mtupu huku
macho yake yakionekana kulegea sambamba na mwili
wake mzima huku akimtama
anko Tony kwa huruma ya
mahaba..
"mungu wewe
mbon..."alizibwa mdomo kwa kidole anko Tony akitaka
kusema jambo.
"nakuomba nakuomba na nipo
chini yamiguu yako unisaidie
haja yangu mmenipandisha
hisia zangu ukiwa ndani mama,sasa mwili wangu
unawashwa hatari,naomba
walau dakika 3 tu
jamani"alisema Zuhura huku
akimshika miguu anko huku
akitetemeka kwa hisia kali. "Zuhura,kitendo unachotaka
tufanye ni hatar kwako na
kwangu pia,mama yako akijua
humu itakuwa kesi juu ya kesi
maana nimetoroka kwangu
huko na wakisikia mzozo tukifumwa na mama yako
ndio kabisaa,tafadhari"
"hebu nionee huruma
jamani,ona nipo mtupu hivi
kuonesha nimezidiwa na
hisia,usiogope kuhusu mama nisaidie mie nilale kwa amani
na usiku wote huu!"alisema
Zuhura taratibu na kumfanya
anko Tony abaki akimtafakari
akaangalia saa ya ukutani na
kuona imexhatimu saa 6:38 za usiku,akiangalia toto kweli
limejaariwa huku chuchu zake
ndogo kama apple bichi
zilianza kumvutia anko,huku
akiendelea kutafakari
akajikuta akivamiwa na Zuhura na kuanza kuonjana
ladha ya mate
yao,hawakuchelewa na
dakika 5 tu mbele wakajirusha
kwenye sofa sebuleni na
kuanza kupeana utamu.** Siku 3 baadae kupita,Rose na
Eliza wakiwa chumbani
wamepumzika wakipga stori
za hapa na pale,huku
mwenzao Ruthy
akiwachugulia na kuona hawana habari,taratibu
akataka kuingia chumbani
kwa anko Tony akasogea
mpaka mlangoni mchana ule
na kufungua mlango lakini
alishangaa umefungwa lakini kwa mbali alisikia sauti ya
watu wawili wakicheka na
kutaniana."sikufich mpenzi
tangu uje hapa cjapata muda
wa kufaidi penzi letu maana
nilikuwa bize,ila leo usiku nakuja tena tutakuwa wote
ucjali"ilisikika sauti ya
mwanamke
"sawa karibu ntakuwa
nakusubiri"alisema anko,
Ruth alishndwa kuelewa,akarudi kwa akina
Rose na moja kwa moja
akaingia chumbni kwao na
kuwakuta wakicheza
karata,akabaki na
mshangao.."mh sasa anko atakuwa nanani chumbani
kwake?au ndo kaanza kuleta
wanawake humu ndani?ngoja
sasa"alisema Ruth na
kufungua mlango na
kuutazama mlango wa anko wao mara gafla akatoka mule
chumbani mwa anko na
kumuona mtu ambye
hakutegemea kumuona
kutokea mule ndani",haraka
akarudi tena chumbni kwa wenzake na kuwafanya
washtuke.
"wewe vp mbna
mbiombio"alisema eliza huku
akimtazama ruth akiwa
anahema,hakuwez kuamini ikambidi awadanganye tu.."ah
nimeangalia sebuleni nkaona
mtu anatisha huyoo"alisema
ruth na kuwafanya wenzake
waangue kicheko.
"hebu 2tokee huko na uwoga wako wakati nyumb yetu
inalindwana yesu,ushindwe"a
lisema Rose huku akiendlea
kucheka,Ruth nae akajifanya
kucheka huku akitoka nje na
kuwacha wenzake wakicheza karata,akarudi chumbani
kwake na kujibwaga ktandani
huku mawazo
yakamuandama kichwani.
"hivi ni macho yangu ama
naota?mh hapana ngoja nisubiri hyo usiku"alhjisemea
mwenyewe mule chumbni
kwake na kujilalia.
Baada ya chakula cha usiku
kila mtu akaenda kulala baada
ya wote kuagana,lakini kwa Ruth haikuwa hvyo akasubiri
muda muafaka aend kujua
ukweli kwa anko Tony,na
kweli akasubiri mpaka masaa
saa 6 usiku ndipo alipotoka na
kuelekea kwa anko Tony..,.NINI ATAONA? NINI
KITATOKEA?MIMI NA WEWE
HATUJUI...TUKUTANE SEHEMU
YA 10 YA STORY HII
No comments:
Post a Comment