Love story:ANKO INATOSHA Mwandishi:JAFARI MPOLE Sehemu:04 Bado kuna nafasi ya kuomba kujiunga na whatsap group la BOYZ&GIRLZ 2KUTANE tuweze kuchat na mastori mengne kbao ya maisha ye2 vijana,fanya kama unatuma msg kwenye namba 0672003836 ili nipate wepesi wa kukuweka kwa group,karibuni wote.. ILIPOISHIA.. ..alisema Ruth huku akimenya ndizi na kuipeleka mdomoni kwa kuiingiza na kuitoa kama ishara ya tendo fulani huku akimtazama anko Tony.. SONGA NAYO... Rose mwenyewe alikuwa hana habari huku akiona aibu hata ya kunyanyua sura yake kumtazama anko Tony. Jioni kabisa Eliza na mama yake waliweza kurudi wakiwa wamechoka kwa matembezi yao na kukuta akina Ruth na Rose wakimalizia kuandaa chakula cha usiku.Muda wote huo anko Tony alikuwa chumbani kwake amepumzika mpaka wakati wa chakula cha usiku familia ikakaa mezani kwa pamoja."anko wenu itakuwa kapitiwa na usingzi,Eliza hebu kamu nenda kamshtue tuje kula."alisema mama mtu na mwanaye akafanya hivyo,huku akitabasamu akaufungua mlango wa anko wake na kuingia ndani bila hodi,na kweli anko alikuwa amelala hana habari.Mazoea yake mabaya yalimfnya Eliza amuone anko wake kama ndio bwana wake,akamsogele a palepale kitandani alipo anko Tony na kupeleka kinywa chake kwenye mdomo wa anko na kuanza kumla mate na kumfanya anko akurupuke ktandani."hah we Eliza!vipi?" "vipi nini?" "hebu acha hicho kitu unachotaka,siyo sasa" "sio sasa?saa ngapi" "hata baadae,eee badae njoo"alisema anko Tony huku akiwa na wasiwasi kuona El4za amejiamini kiasi kile,taratibu Eliza akamsogelea tena anko Tony na kumnon'goneza." UNASUBIRIWA WEWE MEZANI CHAKULA TAYARI"alisema Eliza na kumbusu shavuni na kuondoka na kumuabha anko Tony akihema tu."hili toto cjui lina laana?"alijisemea mwenyewe. Eliza akarudi mezani huku sura yake imenuna. "haya umechelewa unakuja umenuna"aliuliza mama mtu. "ah..mpaka kaniboa anko,we mtu unaitaee lakini haamki nkajua amekufa" "kwahyo ameamka?" "ah ndio kaamka saivi" "basi usimseme vbaya anko wako"alisema mama mtu na punde tu akatokea anko Tony na kukaa pamoja nao wakaendlea kula. Baada ya chakula cha usiku kila m2 akaenda kwenye chumba chake kupumzika.Rose na mwenzie Eliza kama kawaida yao wakawa kwenye chumba chao wakifanya ya kwao huku akili ya Eliza ilikuwa ikisubiri mwenzake alale ili apate nafasi ya kwenda kwa anko Tony.usiku huo Ruth nae alikuwa akipanga jinsi ya kuanza kumuweka kwenye mtego anko Tony na bada ya dakika 10 akapata wazo baada ya kujua wake alikuwa bafuni anaoga,akamsubiri mpaka alipomaliza na kuingia chumbani kwake na yeye akamfuata taratibu,akaufu ngua mlango wa anko Tony na kuingia hadi ndani,palepale akafunga na funguo mlango huku anko Tony akishangaa."heh ruth n..." "shhhhhhhhhhhhhh"alidakia Ruth na kumfanya anko wake anyamaze huku akiwa amejifunga taulo lake alilotoka nalo bafuni."Ruth unataka kufanya nini?"aliuliza anko Tony kwa sauti ya chini kabisa. Ruth akatabasamu huku akiidondosha kanga yake na kuuacha mwili wake kama ulivozaliwa."nataka penzi lako"alisema Ruth kwa sauti laini huku akimsogelea anko na kumsukuma kitandani na kuanza kufanya yao."subiri nikazime taa basi"alisema anko huku akiwa tayari kashamlegeza mtoto wa watu hajitambui. "no..nooh..uzime taa ya nini? mie sijazoea kiza,nataka tuonane tukifurahia penzi,hebu njoo bana"alisema Ruth na kumvuta kifuani anko Tony,taratibu kipenga kikapulizwa na mechi ikaanza.Raha ya penzi ilizidi maradufu Ruth kwa mambo anayopewa na anko."ankoo..ankoo..ah naapa ntakuwa nakuja kila cku humu..ah an..ko inatosha,usiongeze tena mautundu hapohapo inatosha"alisema Ruth kwa raha anazopata huku akiendlea kupiga kelele.Kelele ambazo zilimshtua jirani yao mama Zuhura kutoka usingzini,akaamka na kufungua dirisha lake,mwanga wa taa uliokuwa ndani ya chumba cha anko Tony ulimfanya mama Zuhura aweze kuona yote wanayofanya mule ndani."mh..watu tumelala zetu kumbe wengne wanatoana ny...e,kumbe kwa mama Rose ndani kuna mwanaume mie najua anakaa na wanae wakike tu,duh ni sheeda,ngoja nijilalie zangu mie nisije kuziamsha za kwangu zilizolala bure"alisema mama Zuhura naa kurudi ktandani kulala. Huku chumba cha pili Eliza baada ya kuhakikisha mwenzake Rose amelala fofofo tarathbu nae akatoka na kuelekea chumbani kwa anko Tony,alipofika kwenye ule mlango alishangaa kuona umefungwa kwa ndani,akakasirika kudhani kafanyiwa makusudi na anko Tony,kwa unyonge akageuza na kutaka kuondoka lakini akasita gafla baada ya kuhisi miguno ya mahaba,akarudi tena pale mlangoni na kutega sikio kkwa umakin...NINI KITATOKEA MIMI CJUI,TUKUTANE KESHO SEHEMU YA 5 YA STORI HII KUSISIMUA..USIKOSE.

at 10:46 PM

Bagikan ke

Lintaskan

0 comments:

Copyright © 2025 Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top