Love story:ANKO INATOSHA
Mwandishi:JAFARI MPOLE
Sehemu:12
Wadau wangu naomba
niwaeleshe ki2 kimoja,humu
kwenye hili group nafanya kupost story hii bure kabisa
lakini kama kuna anaetaka
ku2miwa full story mpaka
mwisho kwa inbox ni
gharama(pesa),na naomba
ieleweke cyo lazma kwakuwa m2 anapenda mwenyew,xaxa
wengne wanataka nianze
kuwatmia full story
bure,hapana cfanyi kaz hyo
kama hauko vzur,subiri 2 ya
bure kwenye group,..nadhan imeeleweka,..OK
ILIPOISHIA..
...nae eliza baada ya kuoga na
kuangalia huku na kule
hakuna m2,akanyata taratibu
kuelekea kwa anko Tony... ENDELEA SASA..
Taratibu eliza akausogelea
mlango wa anko na kupeleka
mkono kutaka kufungua lakini
akahisi kitu kupelekea asite
kuingia mule chumbni,zilikuw a sauti na miguno ya watu
zhkitokea mule chumbani kwa
anko,akatega sikio lake
kusikiliza.
"anko jamanii,unanipa raha
siyo kifani,aah anko...anko nakupenda uh...hahaha..shika
na huku ank..oh ehee"
"nishike hapaee...si ndio
rose..aah joto lako la kipekee
wewe mtoto jamani..oh"
"hata wewe anko,unaniwezea ,ndio maana siishiwi hamu
kuja humu ndani,najua wew
ndo unauwezea huu mwili..ah
jaman ankoo,mamaweee"
zilisikika zike sauti mule
chumbani,sauti zilizomfanya eliza pale mlangoni abaki
ameduwaa na kuziba
mdomo,hakuamini kile
anachosikia."ina maana ni rose
ndho yupo humu ndani
anafanya mapenzi na anko tony?"alijiuliza mwenyewe
Eliza,kwakuwa mlango
haukuwa umefungwa
akapeleka mkono kwa
taratibu na kuufungua bila ya
wao kujua,akawa anashudia live akimuona Rose akiwa juu
akisakata kabumbu,alikasirika
sana na bila kuwashtua
akatoka taratibu na kurudi
zake chumbani huku akijitupa
kitandani."anko jamani hana hata aibu,yani
anatuchanganya mimi na
ndugu yangu!mh anania gani
huyu mama akajua je
itakuwaje!malaya mkubwa
yule na watakuwa wameanza huu mchezo siku nyingi,na
huyu rose nae..ah"alisema
eliza akiwa mwenyewe mule
chumbni,ikapita nusu saa Rose
akarudi chumbni kwake na
kuwakuta Eliza na Ruth wamekaa kitandani
wakiangalia muvi.
"haya mwenzetu umetoka
wapi saivi na haka kagiza
kanaingia?"alisema eliza
kumwambia Rose. "nmetoka dukani kwa mangi"
"eh makubwa,tangu lini
wewe huko kwa mangi
ukaenda na kanga moja,au
ndo wataka kumtega huyo
mangi" "na wewe huna dogo,nimevaa
mara moja kwenda kuchukua
vocha hapo ila nimefika kwa
mangi nkakutana na Zuhura
ndo tukaanza kupiga domo
pale mpaka muda huu ndio narudi"
"au mwenzetu ulikuwa kwa
shemeji huko unajibebisha!"a
litania Ruth.
"aka mwenzangu cna mchezo
huo mie,hapa ninazo kibao mwilini zimenijaa sijapata
wakuzitoa."alisema rose kwa
kujiamini.
"ah wewe nakukubali
mwenyewe unajiita "mke wa
padri" hutaki zambi"alisema ruth.
Eliza akamtazama Rose huku
akikunja mdomo,"wewe ruth
ungejua hapo mwenzetu yupo
mwepesi hana hata nyege ya
mguu usingethubu2 kumsifia huyu mpuuzi,mie kaniboa
kama nini leo hajui tu"alisema
eliza moyoni mwake.
* * * * *
Ikapita wiki 2 nyumbani kwa
mama Zuhura na mwanae hawaelewani,usiku huo
ulikuwa ni kutupiana maneno
tu mtu na mwanae."wewe
mtoto ckuhizi umelishwa jini
la kiburiee,mbna huna hata
adabu,hujui unaongea na nani hapa"alisema mama Zuhura.
"eh eh eh samahani mama
nakuheshmu kama mama
yangu.na hilo jini kama
unalosema kama ninalo basi
umenipa wewe"alijibu zuhura kwa dharau.
"jaman jamani wewe mwana
unavuta bangi nini ckuhizi?
sikia nikwambie sasa usione
nakuchekea ukadhani mimi ni
malaya mwenzako huo umalaya wa kunijibu mimi
huko peleka gukohuko kwa
wavuta bangi wenzako"
"hehehee hapo ndhpo
nilipopataka,mimi siyo malaya
kama unavodhani,wewe ndio malaya,tena narudia kwa
msisitizo mama wewe ni
malaya"
"MUNGU WANGU...unaniambia
nini, mimi nani?"
"hujasikia masikio umeweka pamba,kwa mara ya tatu
narudia mama wewe ni
malaya,hivi mama huoni haya
mama umri umekwenda huo
ukae utulie,unikanye mimi
mambo mabaya lakini wapi,wewe ndio umekuwa
wa kunishawishi mimi kila
kukicha,mbaba wa watu
anatoka kwa akina mama rose
kwa siri huko cjui kila kukicha
unamwambia aje humu chumbani kwako tena
unampitisha mlango wa uani
ili mimi nisiöne uchafu
unaofanya,sawa sitaona na
hyo miguno na kelele
mkifanya mambo yenu pia nizibe masikio?"alisema
Zuhura na kumfanya mama
yake awe mpole akose neno la
kusema mtda ule.
"wenzenu wanaendaga gest
wakiona sehemu wanapokaa hapaeleweki,sasa gu unaingza
mwanaume na mimi nipo
humu humu tena cku nyengne
nakaa sebuleni kab..."
"eh wewe koma usinifundishe
sehemu ya kustarehe,hapa kwangu na muda wowote
nkiamua kufanya jambo langu
nafanya,kwani wewe mtoto
kipi usichokijua,muingize
wewe basi,kama imekuuma
kashtaki kwa mjumbe"alisema mama
Zuhura na kuondoka
zake."ahaa sasa ngoja
tuonjeshane ubuyu"alisema
Zuhura,akarudi chumbani
kwake...NINI KITATOKEA
No comments:
Post a Comment