Home → simulizi
→ Love story:ANKO INATOSHA
Mwandishi:JAFARI MPOLE
Sehemu:16
ILIPOISHIA:.
...hii ni kutokana na kujua siri
ambaya tulikuwa tukijidanganya wenyewe
rose"alisema eliza
"siri?siri gani hyo?"
TUMALIZIE LEO..
Eliza akatazama chini huku
chozi likimdondoka,moyo ulisita kusema kitu akabaki
akiangusha machozi na
kuwafanya wenzake wazidi
kuwa na simanzi,akajaribu
kujikaza huku akimtazama
ndugu yake rose."rose..tum efanya kosa ambalo hata
mungu hapendi..amini
usiamini rose kwa mdomo
wangu nasema nimezini na
anko wetu tony na siyo mara
moja." "atiii..?!"alihamaki rose.
"haaaaa"wote hawakuamini
kwa kile kisemwacho na eliza
ambaye machozi yalizidi
kutiririka mashavuni kwa
kilio. "amini hvyo rose,nimefanya
mapenzi sana na mjomba,na
ndio cku nkashangaa usiku
mmoja nkitaka kwenda
chumbni kwake nkakukuta
nawewe kwa anko mkiwa mnazini,nliumia sana na ndipo
ukawa mwisho wa mimi
kujisogeza kwake,nlijuta
sana,lakini haikusaidia kitu
kwan asubuh moja nlipoenda
chumbni kwake kumuamsha ndipo..."alishi
kwa na kwikwi
kwa jinsi alivyokuwa
akilia."ndipo nkakuta mezana
dawa za ARV zitumikazo kwa
m2 aliyeathirika"alisema eliza
na kumfanya rose azidi kuangua kilio na baadae
akatubu kweli alitenda zambi
hyo.
"jamani siyo nyie tu,nahisi
anko wenu atakuwa
amedhamiria kuondoka na watu humu duniani...shetani
alinijaa mwili mzma hiyo cku
anko wenu akitoka chumbani
kwa mama yangu kwani
walikuwa wakifanya mapenzi
mule ndani na kupelekea nishikwe na hamasa ya
kufanya zambi ileile,na tangu
hapo nikawa na sauti ya
kumuita tufanye tena na
tena,najuta mie zuhuraa,"
"jamani zuhuraa"alisema eliza akiwa haamini.
"mpaka sasa namchukia anko
na umalaya wake kama
nini,kumbe hata zuhura!hata
mama yako!loh najuta mie
rose"wote wakawa hawana la kusema na kubaki kimya kila
mtu akiwaza la kwake. Tangu waondoke hospitali
asubuhi akina rose na eliza
mpaka saa 8 mchana
hawakuweza kutokea,ndani
alibaki ruth na anko tony
ambaye muda wote alikuwa akitegemea huenda ruth akaja
chumbani kwake wakafanya
mambo yao lakini haikuwa
hvyo kwa ruth,yeye alikaa
muda wote chumban kwake
akitazama muvi.Dakika 10 baadae waliwasili akina eliza
huku macho yao yakiwa
mekundu kwa kulia muda
mrefu,wote wakaenda mpaka
chumbni kwa ruth na kuanza
kumsimulia yote yaliyotokea.Ruth kwa hasira
akatoka mbio mpaka
chumbani kwa anko wake na
kumkuta akiangalia
tv,akasogea mpaka pale na
kuizima."hivi wewe umekuja humu ndani kuiteketeza hii
familia,huoni aibu wewe?
malaya mkubwa wewe
ambaye hujui kukataa,ona
sasa familia nzima inakufa
kwa gonjwa lako hata kwa majirani umeupeleka,ah una
zambi wewe sijawahi
kuona,sasa hii nimeambiwa
tu,naenda mwenyew kupima
na ole wako nikute na mimi ni
muathirika,heee utanifanya niende jela wewe malaya
mkubwa!"alisema ruth na
kuondoka kwa hasira mule
chumbani kwa anko huku
machozi yakimtoka,anko tony
akabaki ameduwaa tu bila kusema lolote. Zuhura na mama'ke wote
wakiwa sebuleni huku wote
wakiwa wamekaa chini ya
kapeti na kuyaacha
masofa,mama zuhura
akionekana kububujikwa na machozi muda wote."maskini
mwananguu,tumefanya nini
sisi jamani,zuhura
mwanangu...tushaathirika siye
ni kusubiri muda tuzikwe 2
sasa."alisema mama zuhura,alikua tayari
kashaambiwa kuhusu
msururu ule wa ngono
ulivyozunguka.
Ruth baada ya kuchukuliwa
vipimo vyake akakaa kusubiri. "Ruth "
"ndio dokta"
"vizuri, kwanza nakupa
hongera vipimo vinaonesha
unaujazito miezi miwili.,lakini
pia vipimo vinaonesha wewe ni muathrika wa virusi vya
UKIMWI na cyo mwisho wa
maisha haya bado una nafasi
hata ya kujifungua mwanao
akiwa yuko salama bila ya
kuambukizwa virusi hivi,nakuomba usichukue
uamuzi wowote mbaya
utakao sababisha kupoteza
uhai wako na wa
mtoto"alisema dokta huku
ruth akibaki akilia tu.Baadae ruth akarudi kwao huku
akiwa na uhakika wa afya
yake,kutoka hospitali mpaka
kwao ni kama robo saa tu
lakini yeye alitumia lisaa
lizima kutokana na mawazo kwa kile alichoambiwa na
daktari,alianza kumfikiria
anko tony,yeye ndio
kasababisha mpaka yote haya
yanatokea,hakuamini kama
ataweza kushika mimba ya anko tony hata cku
moja,akajuta kwanini ile siku
ya kwanza alivua nguo zake
na kumuachia mwili anko
tony aufanye
anavotaka,machozi yalimtoka kila akikumbuka ya nyuma
aliyokuwa akifanya na anko
tony kwa siri,sasa cyo siri
tena,yote haya alikuwa
akiyakumbuka huku
akiukaribia mlango wao wa nyumba,akashika kitasa na
kufungua mlango,alitaharuki
baada ya kuingia tu
sebuleni.Mama rose,anko
tony,mama zuhura,rose,zuh
ura na eliza wote walikuwa pamoja pale sebuleni huku
wakimtazama yeye ambaye
alikuwa ameduwaa."njoo tu
mwanangu usishangae"alis
ema mama zuhura huku
akitokwa na machozi,rùth akasogea mpaka pale walipo
huku akianza tena kulengwa
na machozi.Kimya kikatawala
kama dakika 5 ndipo mama
rose akanyanyua kinywa
chake na kuanza kuwaeleza ukweli huku machozi
yakilowanisha dela lake
."kwanza kabisa niwaombe
msamaha wanangu kwani
mimi ndio chanzo cha yote
haya,leo naomba muelewe huyu siyo anko wenu,huyu ni
mtu ambaye nilikuwa nae
baada ya baba yenu
kufariki,nikawa nimejenga
mahusiano nae ya gafla na
kuanza kumhudumia kwa kila kitu,mahusiano yetu yalidumu
tangu cku hyo mpaka leo
mnapotuona,samahanini sana
wanangu kwa
kuwadanganya,najuta
miyee!"alisema mama rose huku akiangua kilio huku
wanawe wakishangaa
wanachoambiwa na mama
yao,wote wakabaki mdomo
wazi na kikatawala kama
dakika 5 hivi,anko tony akawatazama wote huku
machozi yakimlenga.
"hivi kuna anaejua ni kwanini
mimefanya dhambi híi?
alisema anko tony.
"tena usithubutu kuongea upuuzi wako,hujui jinsi gani
ninavyokuchukia!"alidakia
mama zuhura kwa hasira,anko
akatabasamu,tabasamu lenye
kinyongo ndani yake.
"najua hakuna asiyenichukia kati yenu,ila ni bora niweke
wazi jambo hili,siku ya
kwanza kukutana na mama
rose nlikuwa kwetu
Tanga,nilikuwa nina mke na
hali ye2 ilikuwa duni sana, lakini cku hiyo nilipoonana na
mama rose akanipenda
ingawa ckuwa najua
mapema,akanilaghai kwa
kusema atanipa kazi nikirudi
naye mjini,nikamshkuru kwa msaada wake na
nkamwambia mkewangu
kuwa naenda mjini kufanya
kazi,hiyo siku 2lingia mjini
usiku 2kafikia hotel moja hivi
na kuanza kupata kula, akaagiza vnywaj vikali na
kunilazimisha kunywa,na
haikupita hata dakika 20
nkawa sijielewi..Nakuja
kuzinduka najikuta nipo
kitandani uchi wa mnyama na yeye yupo pembni yangu
amelala,nkamuuliza
imekuwaje? ndo akanambia
ananipenda ndio maana
kafanya vile.,nlikasirika sana
nkavaa nguo na kuondoka kurudi kwetu
tanga,nkamweleza ukweli
mkeangu kwakuw nlimpenda
akanielewa 2karudia mapenzi
yetu,miezi ilienda na mke
wangu akapata ujauzito.nkampeleka zahanati
kupima 2kaambiwa
anamimba ya watoto
mapacha na cha ajabu eti
amekutwa ameathirka,ikan
ibidi na mie nipime na kweli wote tumeathrika,wiki 2 bdae
mkewangu alijiua kwa
kuhofia aibu,ndipo mama rose
alikuja tena na kunambia
ukweli kuwa yeye ndio
alieniambukiza,niliumia sana na sikuwa jinsi tangu cku ile
nkawa naye kimapenzi lakini
moyoni nkaweka dhamira ya
kulipa kisasi ambacho leo híi
kimetimia,amesababisha kifo
cha mke wangu na viumbe vilivyo tumboni mwake na
mimi nateketeza familia
nzima,mama zuhura alitaka
kùvujisha siri kwa kuwa
aliniona nikiwa na ruth
chumbani usiku mmoja,kwa tamaa zake yeye mwanaye
zuhura ndo zikanifanya
nifanye nao mapenzi ili tu
wasivujishe siri kama
alivoahidi mama
zuhura"alisema anko na kufanya kila mtu ajue
ukweli,mama rose alilia sana
na akiwaomba wote
msamaha na haikuwa jinsi
tena wakasameheana na
maisha yakaendelea na wakawa wanamuangalia ruth
kwa ujauzito wake.
Miezi 6 mbele mama zuhura na
mwanawe walifariki kwa
kunywa sumu kwa fedheha
waliyopata,akafuata rose kwa kuwa na msongo wa mawazo
huku kifo cha eliza cha
kugongwa na gari kilimfanya
mama yake apate presha
iliyomsababishia kifo baada ya
mwezi1. Ruth na anko,wakawa pa1 na
wakaishi kama mume na mke
wakimlea mtoto wao Janeth
ambaye hakuweza kuwa na
maambukizi ya virusi vya
UKIMWI.Hakika Ruth na mumewe Tony walipenda
sana kwani ule usemi wa
YALIYOPITA SI NDWELE
TUDANGE YANAYOKUJA
ulikuwa moyni
mwao,walimaliza tofauti zao na kurudi kama mume na mke
***
*****@ M W I S H O @*****
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: