Love story:ANKO INATOSHA. Mwandishi:JAFARI MPOLE Sehemu:14 ILIPOISHIA.. "pumbavu huyu mtoto,kashaingiza wanaume humu,subiri sasa"alisema mama zuhura.. TUENDELEE.. Akaingia chumbani kwake na kubadilisha nguo zake harata na kutoka akiwa amevaa dela na kuelekea chumbani kwa mwanaye zuhura,bahati nzuri mlango wa chumba ulikuwa umefungwa kwandani na kumzuia yeye kuingia,akabaki akisikia miguno ya raha wanazopeana anko tony na zuhura mule ndani.Mama zuhura akashndwa kujizuia na kujikuta akigonga ule mlango mfululizo kiasi cha kumfanya anko tony asimamishe kumpatia zuhura huduma."eh nani tena huyo?mama yako huyo?"aliuliza anko kwa wasiwasi. "ah atakuwa ndio yeye ila achana naye tuendelee kula raha bwana"alisema zuhura huku akimpapasa anko kumtoa wasiwasi,na kweli wakaendelea kubanjuka wakimpuuza mama zuhura ambaye hakuchoka kugonga mlango,safari hii ikawa kero sasa na kumfanya zuhura kukereka,akashuka kitandani kwa hasira na kuvaa kanga yake akaenda kufungua mlango akamkuta mama'ke amesimama."hivi wewe mtoto mbna huna adabu jamani,kugonga kote huko uniambie ujasikia au kiburi!"alisema mama zuhura kwa ukali."haya na hiyo tabia ya kuleta wanaume ndani ya nyumba yangu tena mmevvana nguo sebuleni mlivokuwa hamna haya mpaka humu chumbani imeanza lini hyo tabia?" "imeanza tangia wewe ulianza kuingza wanaume" "usinijibu hvyo mshenzi wewe,unaona unaongea na shoga yako hapaee,ntajaza watu humu ndani liwe fumanizi na hako kamwanaume kako humo ndani"alisema mama zuhura,anko tony akayasikia yale maneno akabaki amepoa huku moyo ukimdunda."mh za mwizi arobaini,najuta mie"alijisemea anko tony. "hahahaaa haloooh,unataka kuita watu!haya waite,waite hata sasa hivi na mie napiga hodi moja kwa moja kwa mama rose nkamwambie ushenzi unaufanya na niwaambie watu hadharani litakavo kushuka"alisema zuhura na huku mama'ke akitikisa mdomo kwa hasira. "mama wewe tulia na mie leo zamu yangu ukitaka ondoka ukitaka ukae hapahapa mlangoni usikie nyimbo nzuri tunazoimba humu chumbani na huyo unaemwita wewe kamwanaume,utachagua mwenyewe kwaheri"alhsema zuhura na kufunga mlango akarudi kitandani alipo anko."ehe vpi huko?"aliuliza anko. "nshampa vidonge vyake yupo hapo mlangoni anajishauri" "kwahyo sasa!" "kwahyo nini tena anko,huyo muache asimame kama ana moyo mgumu,tena saivi ongeza kasi i5i asikie makusudi ninavyopata jnto lako,sogea bwana huku"akisema zuhura na kumvuta anko kifuani kwake na safari ikaanza upya huku mama zuhura akiwa amesimama tu pale mlangoni na hasira zake,na kwa makusudi zuhura alitoa sauti za mahaba kwa nguvu ili tu amchome rohn mama'ke,zoezi lake hilo likafanikiwa kwani mama zuhura hakuwa na moyo wa chuma."mshenzi wewe subiri c unaona umeshinda hapa,ngoja sasa"alisema mama zuhura kwa sauti ilisikika mpaka mule chumbni,zuhura akamjibu kwa kuzidisha nae kelele za mahaba na kumfanya mama'ke aondoke kwa hasira. Wakiwa wote mezani kwenye chakula cha usiku,huku watoto wnte wa mama rose wakiangaliana kwa kejeli bila ya mwenzake kumuona n wote huo ulikuwa ni wivu wa kugombania penzi la anko wao huku kila mmoja akijua hakuna mwenzake anaejua kama anafanya mapenzi na anko wao ingawa kwa eliza kwake hakuna siri tena maana wenzake washajua uchafu wake.Na baada ya chakula kila mtu akaenda kupumzika,mama rose alipo hakikisha wanae wote wamelala ndipn akatoka chumbni kwake huku akiwa ameshka mfuko mdogo wenye vitu ndani yake na kuelekea kwa anko Tony ambapo alimkuta anko yupo macho ametulia kitandani."vipi tony"alisema mama rose na kusogea pale ktandani alipo anko na kukaa huku akiufungua ule mfuko. "ah kama nlivokutumia msg,mwili nauona mzito halafu nahisi baridi,itakuwa homa." "mh pole mpenzi,lakì zile dawa si unakunywa kwa wakati?" "ndio yaani mda ukifika tu nakunya kila siku" "haya sawa.nimekulete a na hii ya kuondoa uchovu na hii zawadi yako"alisema mama rose na kutoa kibox cha pafyumu pamoja na nguo,anko akazipokea."asante mpenzi wangu" "poa usijali,.sasa leo vipi" "kuhusu nini tena mpenzi!" "si yale mambo yetu mpenzi au ndo kusema unaumwa hutaweza?" "ah sijisiki vizuri mpenzi nisije kukupa kesi ya kufa kifuani mwako bure na ulivyokuwa na pumzi utasema mwana riadha"alisema anko tony na wote wakatabasamu. "haya basi poa lala salama mpenzi"alisema mama rose na kumpiga busu la shavuni anko na kuondoka. Eliza akaagizwa kwenda kumuamsha anko wake asubuhi kuja kunywa chai,akaingia mpaka kwa anko na kumkuta bado amelala huenda ni kutokana alizokunywa usiku kuwa na nguvu.Elisogea mpaka alipolala anko wake huku akimtazama na kukumbuka siku ile alipomkuta na rose mule chumbni bila ya wao kujua,akabaki akitingisha kichwa huku akiangalia mezani na kuona dawa zimezagaa,akapekeka mkonö na kunyanyua moja ýa kichupa cha dawa zilizokuwa mezani na kuisoma,gafla sura yake ikaanza badilika huku akitoa macho vzuri kuisoma tena na tena,loh mwili wake ukakosa nguvu gafla baada ya kufahamu maandishi ya Antiretrviral Therapy(ARV) yaliyokuwa kwenye kile kichupa,akajikuta akidondosha chozi huku akigeuka kumtazama anko ambaye bado alikuwa anakoroma usingzini.. NINI KITATOKEA??? USIKOSE SEHEMU YA 15..

at 10:51 PM

Bagikan ke

Lintaskan

0 comments:

Copyright © 2025 Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top