Love story:ANKO INATOSHA
Mwandishi:JAFARI MPOLE
Sehemu:11
ILIPOISHIA:.
"hapana lazma nijue"alisema
Ruth na kunyanyuka safari moja kwa moja chumbni kwa
mama'ke..
ENDELEA YA 11..
Akiwa chumbani mama
Magreth(mama Rose) akipanga
nguo zake,akasikia mlango ukibishwa hodi,alikuwa Ruth
na kuingia mpaka
ndani,akasogea karibu na
mama'ke na kumsaidia
kukunja nguo huku moyoni
akiwa na lake lililomleta."hii nguo ni muda kweli,inafika
miaka miwili lakini bado
haijapauko"alisema mama
Rose huku wakiendele
kukunja nguo na mwanaye.
"wew mtunzaji sana mama,na vilevile huwaga hauivai mara
kwa mara ndio
maana"alisema Ruth na baada
ya muda kdogo kukatawala
hali ya ukimya,Ruth
akamtazama mamayake."halafu
mama,kuna kitu ntataka
akujua kutoka kwako"alisema
Ruth na kumfanya mama'ke
ageuke kumuangalia.
"ki2 gani hcho mwanangu,niambie"
Ruth akanyamaza kama
sekunde 10 hivi na kuendelea
"hivi kwenye familia yenu
ulisemaga mlikuw
wangapi?"aliuliza Ruth. "umesahau jamani,sisi
tulikuwa watano,wakwanza
marehemu dada yetu,nafuata
mimi wanakuja wajomba
zako mapacha ambao nao
wamefariki ndio wa mwisho huyo anko wenu Tony"alisema
mama Rose kwa kujiamini.
"ahaa kuumbe,dah natamani
ningewaona hao wajomba
zangu mapacha,mungu
awalinde huko walipo,na marehemu baba alikuwepo
mkiwa wote hai?"
"ndio,wote anawajua tena
kama anko wenu huyu Tony
ndio alikuwa karibu nae
mpaka tulipomzika baba yenu"alisema mama
Rose huku Ruth akimtazama
mama yake kwa
dharau"wewe mama mnafiki
wewe yani unaongea hata
hupepesi macho kwa uongo wako,muone vile"alijisemea
moyoni Ruth na
kuendelea."sawa mama
nlitaka tu kujua hivyo,mie
ngoja nkapumzike"
"haya mwanangu"alisema mama Rose huku
akimsindikiza mwanae kwa
macho na tabasamu."hahah
aaa mngejua nyhe watoto
kuwa huyu sio mjomba wenu
hata msingeuliza,haya muacheni arudishe afya
mpenzi wangu Tony mie kwa
raha zake"alisema mama Rose
na kuendelea kupanga
nguo.Ruth bado hakuridhka na
majibu ya mama'ke,akaenda kwa anko Tony na kuingia
mpaka ndani."vipi
Ruth"alisema anko tony.
"safi tu anko naona
umeptmzika mwenyewe"
"eebwana nimetulia hapa anko wangu,naona leo
umeingia kwa adabu kweli ule
2ndu wako wa kuvua kanga
yako ukiwa mlangni leo
vipi"aliuliza anko huku ruth
akikaa karibu yake."ah cyo kila siku unataka kufanya
mapenzi cku nyengne kama
leo mnapiga stori za maisha
tu"alisema ruth.
"mh sawa anko
wangu"alisema anko. "hivi anko,katika familia yenu
mlikuwa wangapi"aliuliza
ruth na kumfanya anko Tony
aanze kuumiza kichwa
kudanganya."ah eh
dah...hahaha..ahaa sisi bwana,sisi kiukweli sisi..kama
alivyosema cku ile mama yenu
kuwa mimi ni mdogo
wake..eee ndo hvyo"alisema
anko tony bila kueleweka
maneno. "mimi nataka kujua mlikuwa
wa ngapi"alisema rut huku
akimkazia macho anko wake.
"ah hehe..ah sisi bwana
tulikuwa wanne wakwanza
mama yako,wapili marehemu kaka,watatu mimi na
wamwisho ni mdgo wangu
wa kume aliefariki
nae"alisema anko kwa
kujifanya anajiamini, Ruth
akabaki akimtazama tu."mmeona sasa
mmejichanganya wenyewe
mama anaxema la kwake na
wewe bwana wake unasema
la kwako,waone vile"alisema
ruth huku akinyanyuka."haya nashkuru kwa kuniambia
kwaheri anko"alisema ruth na
kuondoka zake.
Mida ya jioni anko tony akiwa
bdo yupo chumbni kwake
ametulia hana habari,anashangaa mlango
wake unafnguliwa anatokea
Rose na kumsogelea anko
wake na shda yake haswa ni
kutaka kufanya mapenzi na
anko,kama kawaida yake anko wa watu anajisogezea tu
na kujilia vyake huku
wakisahau kufunga mlango
kwa ndani,nae Eliza baada ya
kuoga na kuangalia huku
nakule hakuna mtu,akanyata na kuelekea kwa anko
tony...NINI KITATOKEA
HUKO,JIBU LIPO NAFASI YA
12.TUKUTANE..
No comments:
Post a Comment