JAMANI MAMA MARO! Mama Maro alikuwa ni mwanamke mrembo sana, alitingisha mitaani mpaka ofisini, hali hii ilimpa tabu sana mme wake ambaye ndio mzaa Maro mwenyewe sasa. Ilikuwa kila sehemu akienda sehemu na mkewe watu hawaishi kuwaangalia. Mzee maro wakati akiwa kijana alikuwa akiifurahia sana hali hii huku akijua kuwa anapata sifa na lazima watu watakuwa wanamuonea wivu kwa jinsi alivyo na mwanamke Bomba. Kwakuwa alikuwa ni kijana na kila alipokuwa akimtazama mkewe alikuwa anammezea mate utadhani sio wake mara kwa mara alikuwa akifanya nae ngono. Wakati mwingine mama maro akiwa jikoni anapika mzee maro alikuwa anaita…. Mama Marooooooooo Abee mume wangu Njoo mara moja Subiri nakuja namaliza kuunga mboga, Mama maro unanibishia mimi hizo mboga si nanunua mimi, acha ziungue Duh mume wangu, haya nakuja baba Mama maro akiingia chumbani anamkuta mmewe kawasha AC kajikunyata kwenye shuka huku mtarimbo wake ukiwa umenyanyuka na kulenga juu. Hakuna kitu kingine ambacho anafanya zaidi ya kumkamata mkewe kwa nguvu na kumkumbatia huku akimhemea sehem mbalimbali hasa masikioni na shingoni na kumpapasa kisha anamsaula na kumuweka mikao mbalimbali ya kumpa dozi. Mzee maro alikuwa anampa dozi mkewe mpaka anapitiwa na usingizi na hatimaye kujikuta anasahau kabisa kupika. Kwakuwa walikuwa wakiishi wawili tu na mtoto mmoja na Housegirl ilikuwa sasa wanalazimika kwenda kula hotelini. Hii ni kwasababu housegirl kazi yake ilikuwa ni kumhudumia mtoto tu na kufanya usafi huku jukumu la kupika likiwa la mama maro mwenyewe. Siku zilizidi kwenda huku mzee maro akiwa hataki kabisa kumruhusu mkewe apate ujauzito kwani alihofia kuwa endapo akipata mimba basi atazikosa burudani ambazo huwa anazipata. Ilikuwa ni lazima kila anapoenda mzee Maro na mkewe yumo, alikuwa hataki kumuacha nyuma hata kidogo. Ilifika wakati mama Maro alikuwa anaona kero kwani alijhisi anakosa uhuru na kuwa anabanwa sana lakini wakati mwingine ilikuwa ni burudani kwani alikuwa akikatwa kiu kisawasawa na pia alikuwa anapata kila alichokuwa anataka. Jambo jingine alilokuwa anafurahia ni kwamba walijihakikishia kuwa yuko mwenyewe kwani kila kona mmewe alienda nae, hivyo wazo la kuibiwa na vibinti vya mtaani halikuwepo kabisa akilini mwake, aliamini yeye ni tiba pekee kwa kijana wake ambaye kwasasa anafahamika kama mzee Maro. ……………………………………. Kwakuwa mzee Maro alikuwa ni bosi ofisini alilazimisha kwa kila namna sekretari awe mke wake na hivyo kufanya kila kona awe na mkewe, iwe nyumbani mpaka ofisini. Walikuwa asubuhi wanaamka pamoja wanasaidiana baadhi ya kazi za nyumbani na kuoga kisha wanaingia kwenye gari wanaelekea ofisini. Wakifika ofisini mwanamke anamuandalia mumewe kila anachopaswa kufanya na kisha anamuacha akifanya majukumu mengine huku na yeye akifanya yakwake. Mda wa chakula walikuwa wanatoka wote na kuelekea kwenye mgahawa maarufu uliokiwa karibu na ofisini ambapo wanakula pamoja na kisha kurejea ofisini. Walikuwa na kawaida kuwa inapotimia saa 11 jioni wanatoka ofisini wanaingia kwenye gari na kuelekea moja kwa moja bar ambapo wanapata mbili tatu kisha wanarudi nyumbani. Wakifika nyumbani kabla ya kitu choochote mzee maro ilikuwa lazima ampe dozi mkewe. Kwakuwa wote wanakuwa wameshtua kwa vinywaji basi walikuwa wakibiringishana weeeee mpaka wanakuwa hoi kabisa. Wakishamaliza wanaoga kisha wanavaa nguo za nyumbani na kutoka sebuleni ambapo wanatazama taarifa ya habari na kukaakaa na familia kisha wanarudi kulala. Huko kwenye kulala pia mambo yalikuwa ni yale yale, dozi kwa kwenda mbele kisha wanalala usingizi mzito unaokatika alfajiri na kuwafanya wajiandae kwa kwenda ofisini. Huyu ndio kijana Maro na Mkewe mama Maro ambapo kwasasa Maro tayari anaitwa ni mzee Maro. ………………………………………. Kwa taarifa yako mama Maro sio mtanzania, yeye ni mzaliwa wa Rwanda huko kwa Rais Kagame, kwa mara ya kwanza anajikuta anaingia Tanzania ni kipindi kile cha machafuko ya huko kwao ambapo anafaniKiwa kutoroka akiwa na baba yake huku ndugu zake wote wakiwa wameuawa. Alipofika karibuni kabisa na mpaka wa Rwanda na Tanzania waliwaona wanajeshi wa Kihutu wakiwafwata kwa nyuma na mapanga. Japo walikuwa wamechoka lakini iliwabidi wajikaze kwa kukimbia sana huku baba yake akichukua mizigo yote aliyokuwa ameibeba ili kumpunguzia uzito na kuweza kukimbia vizuri. Kitendo hicho kilimfanya mzee wa watu azidiwe na mizigo huku binti yake Rozina akiwa mwepesi sana na kufanikiwa kukimbia kumzidi baba yake. Ndani ya mda mfupi tayari baba yake Rozina alikamatwa na vijana hawa na bila kusita walimlaza chini na kumchinja kama kuku kisha kichwa chake walikiweka kwenye begi na kuanza kumkimbiza Rozina. Bahati nzuri ni kwamba wakati huu tayari Rozina alikuwa ameshavuka mpaka na hapa alikuwa kwenye barabara kuu ya kuelekea kwenye mji wa Ngara. Huku akiwa anakimbia na Vijana hawa wa kihutu wakiwa wanamfwata kwa kasi alisikia kwa mbali mngurumo wa gari na makelele ya watu wakiimba. ….hata watoto wanajua.. …ccm namba wani… …na vijana wanajua… ...ccm namba wani…. ….nambari wani eeee…. …nambari wani ni cc-emu… Huu ulikuwa ni msafara wa kampeni za urais uliokuwa unaenda katika mji wa Rusumo uliokuwa mpakani mwa Tanzania na Rwanda ambapo vijana wawili kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam (Ansbert Maro na Oscar Mchome) walikuwa wamepewa kazi ya kukisaidia chama cha mapinduzi kwenye kampeni zake na siku ya leo walikuwa maeneo ya mipakani. Wakiwa njiani kwa mbele walimuona mtoto wa miaka kama sita hivi akikimbia huku akipiga makelele, walipoangalia vizuri waliwaona watu wenye silaha wakijificha nyuma ya kichaka. Kumbe nia yao ilikuwa ule msafara upite kisha waendelee kumfukuza Yule mtoto wamkamate na hatimaye wamuue. Oscar hakukubali, japo msafara ulikuwa na ulinzi wa polisi lakini aliamuru usimame. Askari walimsihi sana asishuke kwani eneo hilo halikuwa salama. Oscar alikuwa hataki kuelewa hata kidogo alivyomuona Rozina alihisi huruma na upendo wa ajabu kwa Yule mtoto . Aliamua kuruka kutokea kwenye kioo cha gari na hatimaye akaenda mbio kule aliko Rozina ambaye nae alianza kumkimbilia akiamini ni mtu salama kwake anayeweza kumnusuru na wale wauaji wa kabila la kitutsi. Wakati Oscar anashuka na kumuendea Rozina gari za msafara wake zilikuwa zimemuacha zikiendelea na safari. Oscar alikuwa karibu kabisa na Rozina lakini kabla hajamchukua alishtuka akipigwa na kitu kizito kichwani kiasi cha kumfanya aanguke chini na kumshuhudia Rozina akichukuliwa huku akilia na kupiga makelele. Alijizoa zoa pale chini na kujitahidi kuamka kisha akawafwata kwa nyuma kule walikoelekea, alipata nguvu na kukimbia kwa kasi ya ajabu na kufanikiwa kuwafikia. Aliokota jiwe akampima askari mmoja wa kihutu aliyekuwa amembeba Rozina na kuliachia kwa nguvu likapiga kwenye kisogo cha Yule jamaa ambaye alianguka chini puu…..! TUKUTANE KESHO! #sory_jaman_Imejipost

at 3:16 PM

Bagikan ke

Lintaskan

0 comments:

Copyright © 2025 Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top