JAMANI BABA Sehemu 15 ILIPOISHIA: “Nitatumia baba ,” alisema Mwaija huku akichanganya makiki ya karibukaribu mpaka Masilinde akajikuta tayari mambo yako njiani . .. “U .. .u .. .uta .. .a .. .nza li .. .li ?” Maneno hayo ya Masilinde yalimshtua mama Mwaija kule nje , akakimbilia mlangoni na kuzama ndani. .. SASA JIACHIE MWENYEWE .. . “Haa! Mume wangu jamani ?!” alisema kwa mshtuko mama Mwaija na kupiga mwereka . Hakuamini macho yake kwani alimkuta mumewe akiwa uwanjani kabisa na akicheza mechi sawasawa. .. “Mwaija ,” aliita Masilinde akitoka uwanjani . “Baba , mama kafa. ..mama kafa,” alisema Mwaija huku akitoka kitandani na kuanza kulia kwa sauti.. . “Nyamaza Mwaija , mama hajafa , amepoteza fahamu tu na ataamka muda mfupi ujao, ” alisema Masilinde akiwahi kumziba kinywa ili asiendelee kulia. “Kweli baba mama hajafa?” Mwaija alimwuliza Masilinde baada ya mzee huyo mkware kutoa mkono kinywani mwake . “Mwaija naomba yaamini maneno yangu , mama yako hajafa!” Masilinde alimwambia Mwaija . “Kama hajafa itakuwa afadhali, ila sijui nitamwambia kitu gani anielewe baada ya kutufumania,” Mwaija alimwambia Masilinde ambaye alimweleza asiwe na wasiwasi kwa hilo . Kwa mbali , mama Mwaija alichezesha mguu wa kulia kisha akakohoa, kidogo Mwaija akapata amani ya moyo ... “Lakini baba unadhani mama akiinuka atanifanya nini mimi?” “Usiwe na wasiwasi Mwaija, nitazungumza naye, atakuelewa tu.” “Mh ! Ataniua , mi namjua vizuri mama. ” “Hawezi kukuua Mwaija, hata mimi namjua vizuri mke wangu. ” Wakati wote huo , si Mwaija wala Masilinde aliyekuwa amevaa nguo. Hakuna aliyekumbuka kwamba walikuwa kama walivyozaliwa. Mama Mwaija alifumbua macho , akaangaza kulia , kushoto na kujishangaa. Aliinuka na kukaa kwa muda kisha macho yake yakatua kwa Mwaija ... “Mwaija mwanangu ,” aliita mwanamke huyo na kuanza kulia huku akiendelea kusema ... “Nimekukosea nini mimi mama yako mpaka kunitenda vile mwanangu jamani ?” “Mama nisamehe... ” “Nikusemehe nini Mwaija , hukujua kama huyu ni baba yako ? Hata kama hajakuzaa lakini ni baba yako maana ni mume wa mama yako. ”“ Mke wangu ungesimama kwanza twende chumbani kwetu,” alisema Masilinde. .. “Sitaki , kwanza naomba unipe talaka yangu. Unatembea na mwanao Masilinde?” “Twende tukaongee sasa mke wangu. ” “Nimesema sitaki .” “Mama msikilize baba, ” alisema Mwaija ... “Mwaija tulia. ..kwanza nataka kukuuliza, umeshatembea na baba yako hii leo mara ya ngapi?” “Ni leo tu mama.” “Siyo kweli. Naanza kuhisi hata kule gesti mlikuwa wote . Yule mwanaume wa gesti ni wewe Masilinde.” “Si mimi mke wangu. ” “Ni wewe bwana, unabisha nini ? Huyu binti ni mgeni kabisa mtaani, kusema amepata mwanaume mara hii, mimi nakataa.” Masilinde alibaki kimya. Aliona kimenuka. Alianza kujutia kitendo chake cha kutembea na binti yake huyo hali akijua ni mtoto wa mke wake .. . “Masilinde,” aliita mama Mwaija. “Naam.” “Nini kimekuvutia kwa mtoto wako ? Hilo umbo au uzuri wa sura ?” Masilinde kimya! “Nijibu Masilinde!” “Ushetani tu mke wangu. ” “Kwa hiyo shetani wako wewe ni mpaka kwa mtoto wako ?” “Ni bahati mbaya mke wangu .” “Mh ! Mimi nataka talaka yangu... we unadhani mimi nitaishi vipi na mwanangu kwenye nyumba hii wakati umeshalala naye ?” “Nitafanya kitu mke wangu .” “Kitu cha ?” “Kitu cha kukufanya uishi na amani.” “Kitu gani ?” “Nitampangia chumba huyu Mwaija nje ya hapa nyumbani.” “Ili upate nafasi ya kwenda kila siku kwake, si ndiyo?” “Sina maana hiyo.” “Maana yako ni ipi Masilinde?” Mara, mlango uligongwa, mzee mmoja anaitwa Kimanama aliingia .. . “Karibu mzee wangu ,” alikaribisha Masilinde kutokea chumbani, akatoka na yeye kwenda sebuleni.. . “Bwana mi sikai, nina shida kidogo ,” alisema mzee Kimanama huku akikaa japokuwa alisema hakai. .! “Nakusikiliza, ila hata mimi nafurahi umekuja mzee wangu. Kuna tatizo hapa ... ” “Lipi tena ?” “Aaah ! Mke wangu amenifumania,” alisema Masilinde bila woga , akili haikuwa yake. Moyoni hakuwa tayari kumpoteza mama Mwaija ... “Mke wako amekufumania ?” “Ndiyo.” “Na nani?” “Na mtoto wake !” “Na mtoto wake ?” “Ndiyo.” “Ambaye si wa kumzaa wewe?” “Si wa kumzaa mimi. Nimemkuta naye .” “Sasa ?” “Anadai talaka, yuko ndani chumbani.” “Hebu mwite. ” Masilinde alikwenda kumwita mkewe , akamwita na Mwaija , wote wakajaa sebuleni ... “Mama pole sana ,” mzee Kimanama alimwambia mama Mwaija . “Asante , ila mimi nataka talaka yangu tu kama amekwambia kuhusu kumfumania na mwanangu. ” “Ameniambia lakini unakumbuka mwaka huu , mwezi wa pili na wewe ulifumaniwa kule kwa mzee Bakari na yule mzee wa genge la mwembeni, ulimwambia mumeo ?”itaendeleaa

at 12:35 AM

Bagikan ke

Lintaskan

0 comments:

Copyright © 2025 Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top