Home → ushauri
→ 🌻 KIDUME HIVI UNAJUA MWANAMKE🌻 🌻ANAPENDA NINI ZAIDI! KWENYE MAHUSIANO YENU🌻!
Haya hii ya leo ngoja niwatobolee siri kidogo tu kwenye upande wa mapenzi.
🌻unajua wanawake bwana tupo kama mayai ukiyaminya kidogo tu huwa yanapasuka.. sasa wengi wanaume huwa wanabaki kuropoa “wanawake hawaeleweki” WANATAKA TUWEJE?
🌻Mwanamke huwa anapenda sana kuambiwa ukweli japo wengi wanadai eti bila kudanganywa hatuingiliki,
🌻Wanawake wengi hupenda kuspend muda wake zaidi na mpenzi kuliko na marafiki zake.
🌻Mwanamke hupenda mwanaume anaejali zaidi kuliko mbabaishaji “sasa wewe jifanye gogo tuone kama utapata mrembo”👌🏽👌🏽👌🏽
🌻Jeuri ufanyiapo mwanamke dhahir huwa unamvunja moyo na hukushusha thamani yako pindi umfanyiayo yakawa yale yanayo mdharaulisha zaidi
🌻Mthamini mpenzi wako hata ukiwa na watu wengi, onyesha unajali kuwa nae karibu, hujiona wa pekee
🌻Mwanamke hupenda kusikilizwa japokuwa wanaume hujifanya vichwa na kutuona hatuna la kuongea lakini sio kweli ni fikra zenu tu. Msikilize mpenzi wako uone kama na wewe hatokusikiliza
🌻Mwanamke huthamini sana msg za mpenzi wake kuliko simu apigiwayo na mwenza wake, maana kuona faraja zaidi pindi asomapo msg hizo zaidi ya kupoteza muda kusubiri apigiwe au akupigie.
🌻Msifie mkeo ama mchumba wako pindi apendezapo na kumpa faraja pindi aumizwapo.
🌻Msikilize mchumba wako na usitumie lugha ya ukali akuombapo ushauri bali jaribu kuchunguza zaidi nini atakacho kwako.
🌻Kila lililo dogo usilikuze bali lipe nafasi yake katika kutoa kipingamizi ama makubaliano.lasivyo utasababisha kutokujiamini
🌻Onyesha unajali
Mkumbuke kila wakati hata mara 2 kwa siku
Punguza jeuri na kauli chafu
ukifananya kati ya hayo hutopata misukosuko mingi na kumbuka kujishusha endapo ufanyapo kosa na acha kutumia mabavu zaidi kuliko upole.
🌻Mwanamke anapenda sana maongez ya kimahaba! huwa anapatwa na hamu sana anaposikia kuwa unatamani kumridhisha, Mwambie utamfanyia nini na utamfanyaje na kwamba lengo lako ni kumpa utamu usio elezeka mkiwa kwenye sita kwa sita
🌻Kawaida wanawake huchelewa sana kutosheka kimapenzi zaidi ya wanaume, ni wastani wa dakika 8 zaidi wakati kikawaida wanaume wengi humaliza mapema hata kabla dakika 8 hazijafika! sasa hapa ndio wengi wanafeli inabidi Mwanaume uwe wa mwisho kumaliza ili uwe mshindi maana sio kazi rahisi hadi mwanamke kukwambia.
🌻💔 Hauhitaji kuwa mtanashati ili kumridhisha mwanamke kwenye mahusiano yenu ,unaweza kuwa mtanashati lakini kitandani zero na huyatendei haki mapenzi yenu unapaswa kuwa na udadisi na utundu zaidi.
🌻🌻chuo cha mahaba🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: