Home β Love sms
β πππππππππππ
Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani, nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo, utakuwa wangu siku dear! Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya, naomba unisamehe na ninaahidi kutorudia tena katika penzi letu!
β’Β·.·°¯`Β·.Β·β’*β’Β·.·°¯`Β·.Β·β’
πππππππππππ
πππππππππππ Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani, nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo, utakuwa wangu siku dear! Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya, naomba unisamehe na ninaahidi kutorudia tena katika penzi letu! β’Β·.·°¯`Β·.Β·β’*β’Β·.·°¯`Β·.Β·β’ πππππππππππ
Artikel Terkait
*RANGI ZA UTE NA MAANA ZAKE.* Kuna rangi za ute ambazo hutoka kwenye uke, zipo za kawaida na zisizo za kawaida, kutofahamu ute wa kawaida huongeza hofu kwa wengi lakini ukifahamu ute wa kawaida ni msaada kujua ute upi si wa kawaida na kugundua mapema kwamba upo kwenye tatizo linalohitaji tiba. πΉ Rangi ya ute unaotoka kwenye uke unapaswa kuwa mweupe na wenye kuonekana vyema (clear), ute huo ni sehemu ya mwili kufanya kazi vizuri, unatoka kwaajili ya kusafisha na kuweka uke salama. πΉ Uzito na muonekano wake unategemea zaidi uko katika kipindi gani ndani ya uanguaji mayai au kipindi cha damu ya hedhi kwa ujumla. πΉ Mabadiliko yoyote ya rangi ya ute zikiambatana na dalili tofauti inaweza kuwa ni sehemu ya maambukizi fulani,yanayohitaji uangalizi na umakini ni vyema kwenda hospitali kwa uchunguzi zaidi. πΉ Unapaswa kuangalia zaidi rangi ya ute na harufu yake, ni rahisi kujua tatizo ndani yake, ute wa kawaida hautoi harufu wala haukeri, lakini wenye maambukizi fulani unatoa harufu. UTE MWEUPE.(white)βͺ Huu ni ute wa kawaida kutoka kwa mwanamke hasa katika kipindi cha hedhi lakini utakapokuwa mzito kiasi na wenye kufanana na mtindi,ukiambatana na maumivu ni dalili ya maambukizi (yeast infection) Matibabu baada ya uchunguzi yanahitajika. πΉ UTE WA MAJIMAJI.(clear waterly) Ute wa majimaji ni ute unaohitajika zaidi kwa mwanamke, ute unaofanya uke usiwe mkamvu, ute huu mwanamke anapaswa kuhakikisha anakuwa nao hasa kwenye tendo la ndoa, unasaidia kulinda manii na kuzisafirisha, unaleta uwezekano mkubwa wa mimba kutunga.Ute unaoshiria kwamba upo kwenye kipindi cha kuangua mayai, ukiwa nao wala hauna shida wala tatizo. πΉ UTE WA NJANO.( yellow or greenish) π Ute huu si salama unapomtoka mwanamke, ni ute unaoshiria maambukizi ya bakteria pamoja na magonjwa ya zinaa, hutoa harufu isiyopendeza unaweza ukaambatana na ukijani ndani yake, pindi unapouona nenda hospitali na mwenza wako, magonjwa ya zinaa hutibiwa na wapenzi wote wawili ili kuepusha muendelezo wa maambukizi endapo atatibiwa mmoja. πΉ UTE WA KAHAWIA. (brown) Ute huu humtoka mwanamke pindi anapomaliza hedhi yake, husafisha uke baada ya hedhi, unaweza kuambatana na damu damu kiasi lakini unaweza kutokwa na ute huu katikati ya hedhi yako au kipindi cha mwanzo cha ujauzito. πΉ Wenye mzunguko wa hedhi unaobadilika badilika huweza kusababisha kutokwa na ute huu, pindi unapotokwa zaidi na ute huu inaweza kuwa ni dalili ya kansa ya shingo ya kizazi. ni vyema kufika hospitali kwa uchunguzi zaidi. πΉ Sababu za kutokwa na uchafu ukeni tumeshajifunza kwenye somo lake, ni vyema kusoma yote kwa makini ili uweze kujua zaidi kwanini unatokwa na ute au uchafu ukeni na nini ufanye. AsanteπΉ BEAUTY ZONE 2 ... Read More
πππππππππππππ β₯*_Jinsi Ya Kufanya Mapenzi Na Mwanamke Bikra/namna ya kutoa bikra pasina maumivu_*β₯ Kuwa nami πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫ ππππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππ Ubikra ni hali ya binadamu kuwa hajafanya mapenzi maishani mwake. Mwanamume au mwanamke ambaye hajawahi fanya ngono wote ni bikra. Imekuwa desturi kwamba wanawake ndio huwa mabikra pekee, ilhali pia wanaume. πππππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫ ππππππππππππ Umwagaji wa damu mara ya kwanza wa kushiriki mapenzi hutofaitiana kwa wanawake tofauti. Wanawake wengine huwa hawatoki damu kulingana na umbile la kizinda chao. ππππππππππππππππππππππππππππππππ Kufanya mapenzi na mwanamke bikra kunaweza kuwa na matokeo mawili. Kuna wanawake ambao husikia uchungu kwa mara yao ya kwanza kushiriki mapenzi na kuna wale ambao huwa hawaiskii uchungu. Kupata uchungu ama kukosa kunalingana na mwanamume ambaye huyu mwanamke anatolewa ubikra naye. πππππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫππππππππππππππππ Mwanamume ambaye ni mtulivu na anazingatia ama anafanya mapenzi na huyu mke kwa utaratibu huwa anamsaidia yule mwanamke kufurahia wakati wake wa kwanza katika mapenzi na anapotolewa ubikra. Mwanamke pia anajukumu upande wake la kufanya ili asipate maumivu ama yawe madogo wakati wa kutolewa ubikra. πππππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫππππππππππππππππππ Kama unataka kumtoa mwanamke ubikra bila maumivu kuna mambo muhimu unafaa kuzingatia ili kufanya nyote muwe na wakati wenye raha na utamu; ππππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππ β₯Mwanamke lazima ajiaminiβ₯ Hakikisha mwanamke yule bikra anajiamini na ashki yake. Wanawake wengi mabikra huwa hawana maelezo ama elimu ya mapenzi Wengi wao huwa wana aibu sana wakati jambo la kujamiiana linapo zungumziwa. Kwa sababu hii mwanamke anaweza kuwa na uoga kwa kufikiri vile mara ya kwanza itakuwa. Uoga ni jambo ambalo huchangia kwa mwanamke bikra kupata uchungu wakati wa kwanza. πππππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫππππππππππππππππ Uoga kumdhuru kisaikolojia na hufanya misuli yake ya uuke kukaza na husababisha uchungu mwingi wakati wa kujamiiana na mwanamume. Kama mwanamume, ni muhimu kumfanya mwanamke yule bikra kujiskia huru na kutulia ili kujamiiana kuwe kwenye raha na utamu. ππππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππππ β₯Kuamiianaβ₯ Kuaminiana ni jambo pia linaloweza kuwasaidia wawili wanaojamiiana kupata raha na utamu katika tendo lile. Fanya hima kujua kama mwanamke yule bikra ako na wasiwasi wowote ama kuna kitu kinachomtatiza. Fanya kujua kama kuna jambo analotaka kufanya wakati mnapohusiana katika mapenzi. Kujali hisia na matarajio ya mwanamke yule utafanya akuamini na itamsaidia pia kutulia wakati unapomtoa ubikra na hatakuwa na uchungu. πππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫππππππππππππππππ Fahamu kwamba nyote mwahitaji kupeana raha mnapojamiiana, kwa hivyo zingatia pia mwanamke anafaa kujifurahisha wakati wa mapenzi ππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππππ β₯Papasa mwanamkeβ₯ Mwili wa mwanamke uko na sehemu nyingi ambazo zinaweza kupandisha hamu yake ya mapenzi. Mwanamume anafaa kufahamu jinsi ya kumtongoza mwanamke kwa kumpapasa. πππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫππππππππππππππππ Jaribu kumpiga busu na kumpapasa shingoni, mdomoni, ili kuweza kumtuliza. Kujua sehemu ambayo unaweza kumpapasa mwanamke yule bikra utamsaidia mwanaume wakati wanapofanya mapenzi. Hamu ya mwanamke ya kufanya mapenzi hufanya uuke wake kutulia na mwanamke yule kuwa katika hali ya utulivu. ππππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππ Utulivu huu humsaidia kuwa tayari kwa kufanya mapenzi na pia kwa ubikra wako kutolewa. Pia utulivu huu utamsaidia kwamba hatapata kuskia uchungu wakati wa kujamiiana. ππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππππ β₯Kusisimua uukeβ₯ Wakati mnapofanya mapenzi na mwanamke bikra, jaribu kusisima uuke wake na mafuta nyororo. Kusisima uuke wake kutakusaidia wakati unapoingiza uume wako kwa uuke wake. Pia hii husaidia kupunguza uchungu wakati unapenya uuke wake. Unataka uzoefu wake wa kwanza uwe kitu ambacho atakumbuka, kwa hivyo kusisima uuke wake husaidia asiwe na uchungu unapompenya uuke wake. πππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππππ β₯Kuwa mpole katika mapenziβ₯ Unapofanya mapenzi na mwanamke bikra, lazima uwe tayari kwenda pole pole na kuwacha kufanya mapenzi mwanamke anaposema hajiskii tena. Ni jambo la busara kutilia maanani kile mwanamke yule anachotaka kufanya. Akisema hayuko tayari, mpe wakati hadi atakapo sema ana hamu ya kufanya mapenzi. Usikasirike mwanamke anapokwambia uwache mnapoendelea kufanya mapenzi. ππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππ Mwanamke hutaka kujua kwamba wampenda ili aweze kukubali kukupa ubikra wake. Kwa hivyo kutulia anaposema hajiskii kunaweza kuwa jambo linalo weza kumwonyesha kwamba wampenda. Kwa kufanya vile, utakuta mwanamke yule bikra atajitoa kwako kwa moyo wake wote na mnapofanya mapenzi nyote mtapata raha na utamu. ππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππππ β₯Chukua usukani kama mwanamumeβ₯ Kwa vile wewe ndiye mwanamume wa kwanza ambaye unamuingiza uume kwa mara ya kwanza, unataka kufanya iwe kitu ambacho atakumbuka maishani. Kama mwanamume ni muhimu kuchukuwa usukani wakati mnataka kujamiiana. ππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππ Mwanamke hupenda mwanamume anayejiamini kitandani. Hata unapochukuwa usukani zingatia anachotaka yeye na umwelekeze pole pole. Usije ukafa moyo kwa vile hana uzoefu lakini mfunze kile anachoweza kufanya ili ukipenya uuke wake aweze kusikia utamu na uchungu usiwe mwingi. Unataka kumfanya awe na nyege ya kufanya mapenzi na awe tayari kwa uume wako. ππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππππ β₯Kuwa mwepesi kwenye matarajioβ₯ Kwa mwanamume, usije ukawa na tatumaini makubwa sana wakati wa kujamiiana na mwamake bikra kwa mara ya kwanza. Kitendo hicho kinaweza tokea kinyume na ulivyo tarajia. Unaweza fikiri utapata wakati rahisi kupandisha hamu yake na pia kupata wakati rahisi wakati wa kumpenya uuke wake πππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππ . Unafaa kuweka matarajio yako wazi kwamba kitu chochote chaweza tokea. Kuweka wazi matarajio kutakusaidia kwa tukio lolote lile. Waweza pata kujifurahisha ama kupata raha unapofanya mapenzi na mwanamke yule bikra na pia unaweza kupata kuwa nyote hamkufurahia wakati ule. πππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫππππππππππππππ β₯Kuwa tayari kwa uhusiano wa kimapenzi/kuingia katka ndoaβ₯ Mwanamume lazima awe tiyari kuwa katika mahusiano na yule mwanamke bikra unayefanya mapenzi naye. Kila mtu hukumbuka wakati wake wa kwanza kufanya mapenzi, kwa hivyo ni muhimu kuifanya iwe ya dhamani. Kumbuka mnaenda kuwa katika uhusiano wa karibu, kuwa tayari kukuwa kwa uhuisano wa kimaisha kwani hisia zake zaweza kubadilika mnapofanya mapenzi. πππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππ Kwa hivyo kama hutaki kuumiza mpenzi wako usifanye mapenzi naye kama huko tayari kuwa katika uhusiano naye kimaisha. Kufanya mapenzi ni kitu ambacho mwanamume na mwanamke hupenda. Cha muhimu kwanza ni kujikinga kutokana na magonjwa, na mimba ambazo hamkutarajia. πππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππ Kwa kufanya mapenzi wawili hao huwa wameamua hupeanza uchi wao kwa mahaba. Kwa mwanamke bikra, yataka uwe mtu makini sana. Mwanamke bikra hana uzoefu wa funyanya mapenzi kwa hivyo unafaa kumpeleka pole pole na ukamfunza anachofaa kufanya wakati mnafanya mapenzi. ππππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππππ Mwanamke bikra anafaa kufanywa ajiskie yuko huru na kuwachiwa kusema wanachotaka kufanya kwani ni wakati wao wa kwanza. Mwanamume lazima aweze kumweka mwanamke yule katika hanjam ya kufanya mapenzi naye, kwa kupapasa, kumpiga busu. Asiwe mtu mwenye kuharakisha kumpenya mwanamke bikra ila awe mtulivu. ππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππ Mwanamke bikra akiona kwamba unazingatia masilahi yake atakuwa huru nawe na atakubali kukupa ubikra wake. Mwanamke aliyetulia na anayejua mwanamume anaujasiri na kujiamini kitandani atafanya tendo la kufanya mapenzi liwe la kufana sana kwa wote wawili πππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππ πΉ *_TAHADHARI_* πΉ Kuondosha Bikira - Utando wa bikira unatofautiana kutoka kwa mwanamke mmoja hadi mwingine, baadhi yao bikira zao ni khafifu hukatika na kuachia mara moja kwa kuanguka, na baadhi nyingine ni ngumu. πππππππππππππππ Hivyo basi anatahadharishwa mume katika kufahamu na kujua kuwa ule utando wa bikira wenyewe ndio kipimo cha usafi na utukufu wa mwanamke. Katika ada zilizo mbovu kabisa ni ile hali ya baadhi ya wanaume kuondosha bikira kwa kutumia vidole vyao, na haya ni madhara makubwa kwa mwanamke na humsababishia maudhi mengi. ππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫ ππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫππππππππππππππππ Jambo jingine ambalo ni baya ni zile hila za kisheitani wanazotumia baadhi ya wasichana wasiojitunza na ambao wanawahadaa waume zao siku ya mwanzo ya harusi kwa hila zenye kufahamika na madaktari na makungwi. ππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫπππππππππππππππππππ Jukumu kubwa linaloonekana kwa waume wengi ni kuondosha utando wa bikira siku ile ile ya mwanzo kwa njia yoyote na husubiri mke wake ajisalimishe kwake kwa hilo. Na wakati mwingine msichana al-huyiyya (bado hajamuona mwanamme) anaweza kukataa na baadhi ya wasichana hufikiri kuwa ndoa ni mchezo na matembezi hivyo basi akimuona mwanamme amevua nguo zake na uume wake umesimama akiwa ni mwenye pupa na jambo lake huanza kuogopa na huenda akaupiga ukelele na hujaribu kujizuia na mume wake na hii inarejea na uduni wa uzoefu wa wote wawili mume na mke na kuwa na fikra mbovu kuhusu mapenzi _mwana falsafa wakiroho_ β β₯ *mwisho*β₯ ππππππππππππππ πΉπ₯Ψ§ΩΩΩΩΩΩΩΩΩΩ°ΩΎΩΪΩΪ―ΩΨ£ΩΩΩΩΫ ... Read More
π«π·JINSI YAKUTENGENEZA UDI MWENYEWE UKIWA NYUMBANIπ·π« π·Nunua vijiti vya Oud kilo moja, kwa Zanzibar vijiti vinapatikana kwa Swaleh madawa na kwengine jaribu kuulizia wanauza dawa zakisunnah π·Roweka vijiti vyako kwenye chupa yenye mfuniko alafu roweka kwa muda wa wiki moja, roweka kwa mafuta ya manukato mazuri na makali kwa muda wa wiki moja π·MAFUTA YANAWEZA KUWA AINA HII AU NYENGINEπ· Ward Sheikha Rashiqa Montana Musk Mwenyewe utatizama dukani utakayopenda π·Baada ya Wiki π·Sukari kilo mbili π·Mafuta tola tano( Aina ya mafuta ya manukato makali na mazuri) π·Chemsha Sukari na maji M paka iwe nzito kama ya visheti. Ipua weka chini Tia udi ulouroweka changanya vizuri utandaze kwenye sinia funika vizuri. π· Acha upoe waweza ukaweka tena mafuta yako na kuuroweka tena kwa muda wa angalau siku tano ili uzidi kuwa mzuri π·MWANAMKE UREMBO NI ASILI YAKEπ· ... Read More
ππOPERATIONS TOKOMEZA RAMBOππ πBARAFU kabla ya tendo chukua barafu tumbukiza kumani na uvae pedi Barafu huondoa utoko woote Barafu hukaza misuri ya uke Hii ni njia rahisi pia uwe unafanya mala kwa mala ππππππππ *Brayton official love* 0658247651 ... Read More
*MWANAMKE JUA MAMBO YANAYO HAMASISHA MAHABA KWA MUMEO* (1) *KITANDA* _Mwanamke jitahidi kitanda chako kiwe vizuri NA cha kuvutui kipambe vizuri,kwa mashuka mazuri yenye nakshi,na shuka inyooke vizuri,sio kitanda kinakuwa kama vile stoo ya nguo chafu._ (2) *MANUKATO* _Katika chumba chako jitahidi sana,kiwe kinanuka kila Mara mumeo anapo rudi akiingiq chumbani akutane na harufu nzuri, .sio chumba chanuka jasho._ (3) *USAFI* _Hili ni jambo LA muhimu sana maana utakuta chumbani kuna vyupi vya wiki nzima, hazijafuliwa mataulo chini,masidiria,mumeo akikuta chumba kiko hivo ujue kuna shangingi atamchukua._ (4) *Usafi wa mwili* _PIa Usafi wa mwili mwanaume anavutiwa na utakavokuwa umejipamba na atavutiwa kimapenzi na wewe._ (5) *Mapokezi mazuri* _Wanaume wanapendana sana kupokelewa vizuri,kwa mahaba tele mapokezi utakayo mpa mtu jitahidi yawe ya mahaba,legeza macho, mwili,yaani ili mradi tu umchanganye mwanaume Siyo umeshupaa kma mwanajeshi kwenye paredi._ (6) *CHAKULA* _Jitahidi mwanamke kujua kupika sio tu kupika michakula kama ya jela michukuchuku mibaya,mamchuzi chururu kama watoto wanapika matipwi._ (7) *MITEGO* _Hii ni njia ambayo watakiwa uwe mjanja ukimuona mumeo kakaa sebleni basi vaa hata shumizi jipitishe huku ukijitingisha Mara kwa Mara,ujue lazima atakutizama tu tena kwa mwendo nzuri wa maringo._ (8) *MAPENZI* _Mapenzi si lazima kitandani tu popote ni muhimu maana wengine mpaka mume amwambie cheza basi,kiuno kimekaza ukilala chamende ndo basi hata huyo mende anatikisa miguu loooh._ (9) *UKARIMU NA KUJIPENDEKEZA* _Hata kama kwenu ulizoea kuwa na domo kama bakuli la togwa jitahidi kuchunga mdomo ukiona huwezi mumeo ngoja aondoke ufunge mlango ubwatuke peke yako kaa chizi,akirudi funga upuuzi wako zungumza maneno mazuri mnyenyekee._ (10) *MAKELELE* _WANAUME wengi huwa hawapendi makelele wanapenda wakirudi nyumbani kuwe kumetulia isiwe kma choo cha umma,WANAUME wanapenda ukimya mahala panapokuwa kimya huzidisha mapenzi._ (11) *ZAWADI* _Jitahidi kumnunulia vizawadi pindi unapokwenda sokoni au dukani mwanaume hujisikia faraja pale ukimpatia zawadi._ (12) *MAVAZI* _Pendelea kumchagulia mavazi TIZAMA rangi ya mwili wake kisha mchagulie nguo inayoendana na rangi yake ya mwili siyo mume mweusi waende kumvisha nguo nyekundu kma anaenda kupunga madogoli mamaa._ *MTUNZE MUMEO MAMA USIPOMTUNZA WAPO WATAKAO KUTUNZIA* ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: