🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸🌸 🌱TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA JINSI YA KULITIBU πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’” Wanaume wengi wanasumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, hali inayo afanya washindwe kufurahia tendo la ndoa na wenzi wao wa kike. Hizi ni baadhi ya sababu zinazo sababisha upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume. 1. Msongo wa akili. 2. Ulevi kupita kiasi. 3.Kupooza kwa mwili 4. Presha na ugonjwa wa kisukari. 5.Wasiwasi wa kutekeleza tendo la ndoa 6. Uoga wa kufanya tendo la ndoa. 7.Uzoefu wa kukatisha tamaa wa siku za nyumaa 8. Mazingira yasiyoridhisha wakati wa tendo la ndoa. 10.mahusiano mabaya na mwenza wako Zipo sababu nyingi sana πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ TIBA MBALIMBALI ZA ASILI ZA KUTIBU TATIZO LA NGUVU ZA KIUMEπŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ 1. MLONGE/ NAZI. Chukua nusu kikombe cha unga wa maua ya mlonge, ongeza kijiko kimoja cha chai cha vumbi la machicha ya nazi. Chemsha katika nusu lita ya maji kwa muda wa dakika 15, kutengeneza aina ya supu. Chuja na baada ya kupoa kila jioni kunywa nusu glasi, saa moja kabla ya kwenda kulala. Endelea na tiba hii kwa muda wa mwezi mmoja. πŸ”΅πŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏ 2. KITUNGUU MAJI/ASALI. Ponda ponda kitunguu maji cheupe cha ukubwa wa kati ( gramu 50) . Kaanga ndani ya mafuta ya samli, baada ya kupoa changanya na kijiko kimoja cha asali. Kula nusu saa kabla ya kwenda kulala. Endelea na tiba kwa muda wa mwezi mmoja. πŸ”΄πŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏ 3. ZABIBU NYEUSI ( BLACK RAISINS ). Chukua zabibu kavu nyeusi. Zioshe vizuri na maji ya moto. Kula gramu 40 za zabibu ikifuatiwa na glasi moja ya maziwa. Fanya hivyo mara tatu kwa siku. Endelea na tiba kwa muda wa mwezi mmoja. πŸ”΅πŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏ 4. TANGAWIZI/ ASALI. Chukua nusu kijiko cha chai cha juisi (au unga) ya tangawizi. Changanya vizuri na kijiko kimoja cha asali. Tumia pamoja na nusu yai lililochemshwa kila jioni kabla ya kwenda kulala. Endelea na tiba kwa muda wa mwezi mmoja. πŸ”΄πŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏ 5. KAROTI. Saga au pondaponda gramu 200 za karoti. Weka asali. Changanya kwa pamoja. Kula nusu saa kabla kwenda kulala . Endelea na tiba kwa muda wa mwezi mmoja. πŸ”΅πŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏπŸŒΏ 6. MIZIZI YA BAMIA Chukua gramu kumi za unga wa mizizi ya bamia. Chemsha katika glasi moja ya maziwa kwa muda wa dakika tano. Kunywa asubuhi na jioni saa moja kabla ya kwenda kulala. Endelea na tiba hii kwa mwezi mmoja. Hii ni tiba rahisi ya vyakula kwa wale ambao wana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume 7.MCHELE, MAZIWA, TENDE NA SAMLI Ikiwa utapikwa mchele kwa maji ya tende (yaani tende zilowekwe ndani ya maji), na ikiwa zitalowekwa zikiwa zinapondwapondwa kidogo ni bora zaidi,, tende hizo kiaasi cha robo kilo zilowekwe kwenye maji kiasi cha masaa 12, yachukuliwe maji hayo yachanganywe na maziwa flesh ya ng’ombe jazo sawa na ndio yafanywe maji ya kupikia mchele huo na mafuta yake ni samli, basi chakula hicho kikiliwa kutwa mara moja kwa muda wa siku kumi na tano basi huongeza manii kwa kiwango cha juu kabisa. πŸΎπŸ€πŸΎπŸΎ 8ANISUNI Chemsha Anisuni kiasi cha gram 100 kwa maji lita moja na nusu, hakikisha nusu lita inapotea kwa kuchemsha. Matumizi ni ujazo wa kikombe cha kahawa moja kutwa mara 2 hadi maji hayo yaishe. Inshaaallah hii ni dawa nzuri sana. πŸΎπŸΎπŸ€πŸ€πŸ€ 9.MBEGU ZA TIKITI MAJI Chukua mbegu za tikiti maji kisha zikaushe kwa jua, baada ya kukauka zisage vizuri kabisa hadi upate unga wake, upime una huo upate gwam 100, unga huo uchanganye na asali ya nyuki kiasi cha lita moja. Matumizi ni kijiko kimoja cha chakula asubuhi kimoja, jioni kimoja hadi dawa yote iishe. Inshaallah ni mujarabu. πŸ€πŸΎπŸ€πŸΎ 10.HABBAT THUFA Chukua habbat thufa unga kiasi cha gram 100 changanya na unga wa hina kiasi cha gram 50 kisha changanya na asali kiasi cha lita moja. Dawa hii iache juani ichanganyike vizuri kwa masaa 24 ndipo uitumie. Matumizi: Vijiko viwili vya chakula kutwa mara tatu au mbili hadi iishe, Inshaallani mujarabu. πŸ€πŸΎπŸ€πŸΎ 11UWATU Chukua uwatu kiasi cha gram 100 kisha chemsha kwa maji lita moja na nusu, hakikisha nusu lita inaisha kwa kuchemsha, kisha iondoe kwenye moto, baada ya hapo changanya na asali lita moja na nusu. Matumizi: Vijiko 3 vya chakula asubuhi, mchana na jioni. πŸ€πŸΎπŸ€πŸΎπŸ€πŸΎ 12HIMSWI (AL-HAMZA) Chukua Himswi (al-hamza) kiasi cha gram 100 kisha changanya na maji kiasi cha lita moja na nusu, chemsha hadi nusu lita ipotee kw kuchemsha, kisha toa kwenye moto, changanya na asali lita moja na ziada kidogo. Matumizi: Vijiko vitatu asubuhi na jioni hadi dawa iishe utaona ajabu yake. πŸΎπŸ€πŸΎ 13.KITUNGUU THAUMU Ponda robo kilo ya kitunguu thaumu kisha kichemshe kw litamoja ya maziwa ya kondoo na nusu lita ya mafuta ya samli kisha baada ya kuchemka ondosha kwenye moo kisha utie asali kiasi cha lita moja. Matumizi: Kijiko cha chakul kimoja kutwa mara tatu, Inshaallah dawa hii kwa habari hizo hailinganishwi na dawa zingine. πŸ€πŸŒΏπŸ”΄πŸ€πŸŒΏπŸ€πŸ”·πŸ€πŸŒΏπŸ”΅πŸ€πŸ€πŸ”·πŸ”΅πŸ”΄πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€Mahaba proffesionalπŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸŒΏπŸŒΏπŸ”΄πŸ”΅πŸ€πŸŒΏπŸ€πŸŒΏπŸ€πŸ”΄

at 9:32β€―AM

Bagikan ke

Lintaskan

0 comments:

Copyright Β© 2025 Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top