Home → ushauri
→ NDANI YA CHUMBA CHA BINTI WA KAZI [house girl]
Baba anavamiwa na pepo wa ngono anajikuta anawaka tamaa kwa binti wa kazi ambaye ni kama mtoto wake wa kumzaa.
Baada ya hiyo hali kumchosha house girl akaona isiwe tabu wacha akae na mama amueleze yote yanayoendelea baina yake na baba ili kunusuru ndoa ya huyu mama.
Ilikuwa ni jioni kama ya saa 9 alasiri
mama akijianda kwenda kwenye ibada,binti akatoka chumbani akamwambia mama
"Samahani mama naweza kuongea nawewe kitu sasa?"
"Ndiyo ondoa shaka japo niko na ratiba ya kwenda ibadani"alijibu mama
"Mama,baba ananitongoza ananitaka kimapenzi,sasa ni kama mwezi mzima sasa,
Siku ya kwanza nilidhani amepitiwa tu lakini inavyoonekana amedhamilia....
naumia nakosa amani hasa nikimwangalia baba na mimi naona kabisa ni kama baba kwangu,au babu yangu kabisa.nisaidie mama nakosa sana amani nikiona SMS zake kwenye simu yangu,
nakuheshimu na namuheshimu sana baba,sitaki tuje kuingia ugonvi na wewe mama mimi nafanya kazi hapa kwa malengo makubwa,sitaki nije nipoteze kazi kwa mambo ya kipumbavu......
na isitoshe pia mimi nina mchumba ambaye nilishamwambia ikiwa yuko sirious aje nyumbani awaone ninyi kama wazazi wangu mnaonilea.....na tangu nipoteze wazazi wangu naona kama majeraha yangu yameshapona kwa sababu Mungu amenipa wazazi wanaonijari na kunitimizia mahitaji yangu muhimu.....
"Binti alimweleza mama kwa hisia kali sana huku akionyesha kulengwa na machozi....."Naomba usinifukuze mama nakuomba!"
Mama alijikuta anampenda sana yule binti
Na yeye akajikuta analengwa na machozi akachukua muda wa kufkir kama dakika 10 pasipo kusema chochote
Binti akamwonyesha kila kitu kwenye simu yake
Mama akaona msg za ajabu na za aibu toka kwa mumewe.....akamhurumia,akajisemea moyoni
" hivi hawa wanaume wanataka nini jamani?"
Ni kitu gani kakikosa kwangu ambacho msichana wangu anavyo?
Nimemkosea nini hasa??
Basi kwa unyonge mama akaona hana hata hamu ya kwenda ibadani, akamjibu yule binti "ntaanzaje kukufukuza Mwanangu! Nakuhakikishia kwamba siwezi kukuondoa,mpaka pale utakapotimiza malengo yako.....
Baada ya muda mama akaona hakuna haja ya kwenda hata ibadani wakati tayari ako na shida moyoni mwake,akaingia chumbani kwake akawa amejipumzisha akifikiria mambo mengi yahusuyo ndoa yake......akajisemea " kwanini shetani anataka tumalize vibaya kwenye ndoa yetu?"
SAA za jioni msichana akapokea message toka kwa mzee:
"usiku nitachelewa kuingia na kabla sijaingia chumbani ntakuja kwako usifunge mlango sawa!"
Ilikuwa ni text iliyoingia kwenye simu ya binti
Moja kwa moja akampelekea mama kumwonyesha ili wajue wanafanyaje maana ni mtihani mzito kwa house girl.......
Lkn mama akamuuliza kama anaweza kumwachia ile simu kwa muda ule akae nayo chumbani kwake, binti akasema hakuna shida na mama akaingia nayo kuchat na mumewe.
Ile SMS iliyotoka kwa mumewe akaijibu akasema
[Hakuna shida]
Mzee akajibu;
{Ngoja nimwandikie wife sms kama ntachelewa,nikuletee zawadi gani mwanangu?}
Mama akijibu;
[Niletee skin tite]
{Size gani?}
[Kama anazovaa mama tunavaa size moja]
{Sifahamu anavaa size gani sijawahi kumnunulia}
[Haaaaaa!baba hujui size ya mkeoooo are you sure?]
Kukawa na ukimya kidogo mzee nafkir akashtuka kuona zile chatting utafkir ni mkewe akaruka hewani ili ajiridhishe.........
mama haraka akamwita binti akamwambia pokea mwambie mama yupo saizi tuendelee kuchat.....akafanya hivyo na mzee akakata.
Akamwendea Whatsap mkewe akamwandikia ujumbe
"Ntachelewa kurudi Leo kuna mpira wa Manchester na arsenal unaisha saa 6:45 mkewe akaijibu haraka akasema"sawa mume wangu"
Akarudi kuchat na house girl fake na hajui kama simu zote ziko na mkewe
{"Ndio sijui size ya mke wangu kwani lazima?}
Mama akamtajia size yake ya tait.
Usiku saa 4 na nusu,jamaa akamwandikia message anaedhani ni msichana wake wa kazi akisema
"Dakika 10 ntakuwa hapo acha mlango wazi"
Mama akajibu "poa" akaenda kufungua mlango akaingia chumbani kwa msichana wake kulala akimsubiri kwa hamu kubwa mumewe akazima taa akaingia ndani ya neti akajifunika shuka........wakati huo binti usiku huo amelala chumba cha wageni.
Saa tano kasoro dakika 20 mzee akafika,akafungua mlango wa nje taratiibuuu akaanza kunyata akiingia chumbani kwa house girl kuvunja amri ya 6 {usizini}
Alipofungua mlango kwa taratibu sana,akaufunga kwà ndani akachojoa nguo zote akitumia mwanga wa simu akaingia ndani ya neti akazima simu yake akaingia ndani ya shuka.....
Haraka haraka akatua mkono wake kwenye kiuno cha mkewe
Mh!ni kama alishtuka kidogo baada ya kuona matuta fulani kiunoni,akaanza kupapasa mkono wake ukatua kwenye maziwa ya mkewe.....hapo ndipo alipochoka.....maana aliona yale maziwa yamelala kabisa kama ya mkewe.......alikuwa ameshajua tayari kwamba amewekewa tego,stim zote zikawa zimekata ni mdogoo kama piliton......
Na mkewe baada ya kuona jamaa kashtukia ishu
Akaanza nae ukorofi wa kumpapasa mumewe huyo halali......jamaa alikuwa ameshanyong'onyea kila kiungo kimelala hakuna ushirikiano wowote!
Sikiliza neno la mzee kwa mkewe "habari za leo mke wangu?
"Salama mume wangu kuwa huru,hapa huibi uko na mkeo halali twende kazi".alijibu mama kwa sauti ya mahaba.....vp mpira umeisha,nani kaibuka kidedea?au ulikuwa unamaanisha mechi ya kitandani?
Hahaaaaa mwandishi anacheeka!!!
Unaambiwa mzee alinyong'onyea akajigeuza akaangalia juu hajui atatoka kwa njia gani,mama akatoa mkono wake nje ya neti akawasha taa akamgeukia mumewe akaanza kumwimbia kwa sauti ya chini
Kabla hajaanza kusema mzee akasema " samahani mke wangu..... Mama akajibu "usijari,bila hata samahani nimekusamehe,lakini naomba kukuuliza mwenzangu;-
Ulikuwa unataka nini kwa msichana ambacho mimi sina?
Najua kitu cha kwanza ulichotambua kama ni mimi mkeo,ni matiti yangu yalivyolala......
lakini umesahau kama na mimi wakati wa ujana wangu nilikuwa kama huyu binti nilikuwa mzuri nilikuwa nang'ang'aniwa na vijana wengi lakini miongoni mwao nikakuchagua wewe uwe mume wangu,
siku hazigandi mwenzangu!
Umri umesogea,kubaliana na hali iliyopo!!
Unataka nini kwa house girl?
Wenzio wakina Ibrahim walikuwa wanataka watoto......Mbona nimekuzalia watoto watano wote unataka nini kwa house girl??
Mwache Mtoto wa watu usimvurugie malengo yake
Nakuomba nakuombea kwa Mungu tuumalize uzee wetu vzur tafadhari.......mzee hakuna na neno lingine zaidi ya samahani mke wangu".
Nimekusamehe, naomba zawadi yangu....akamwonyesha kwa ishara rambo iliyokuwa chini.......mama akafungua akakuta skin title 12 akamwambia asante sana....sasa nimekusamehe tumalizie usingizi hapa hapa si ndio?
Mzee akasema twende kwetu wakatoka kwenda kulala
House girl anasema ilipita miezi mitatu hawakuwahi kuonana na dadii ijapokuwa wako wote ndani na sasa yupo kwake alishaolewa.
Wanaume mpone kwa kweli
By Kuhani Mlawi
NDANI YA CHUMBA CHA BINTI WA KAZI [house girl] Baba anavamiwa na pepo wa ngono anajikuta anawaka tamaa kwa binti wa kazi ambaye ni kama mtoto wake wa kumzaa. Baada ya hiyo hali kumchosha house girl akaona isiwe tabu wacha akae na mama amueleze yote yanayoendelea baina yake na baba ili kunusuru ndoa ya huyu mama. Ilikuwa ni jioni kama ya saa 9 alasiri mama akijianda kwenda kwenye ibada,binti akatoka chumbani akamwambia mama "Samahani mama naweza kuongea nawewe kitu sasa?" "Ndiyo ondoa shaka japo niko na ratiba ya kwenda ibadani"alijibu mama "Mama,baba ananitongoza ananitaka kimapenzi,sasa ni kama mwezi mzima sasa, Siku ya kwanza nilidhani amepitiwa tu lakini inavyoonekana amedhamilia.... naumia nakosa amani hasa nikimwangalia baba na mimi naona kabisa ni kama baba kwangu,au babu yangu kabisa.nisaidie mama nakosa sana amani nikiona SMS zake kwenye simu yangu, nakuheshimu na namuheshimu sana baba,sitaki tuje kuingia ugonvi na wewe mama mimi nafanya kazi hapa kwa malengo makubwa,sitaki nije nipoteze kazi kwa mambo ya kipumbavu...... na isitoshe pia mimi nina mchumba ambaye nilishamwambia ikiwa yuko sirious aje nyumbani awaone ninyi kama wazazi wangu mnaonilea.....na tangu nipoteze wazazi wangu naona kama majeraha yangu yameshapona kwa sababu Mungu amenipa wazazi wanaonijari na kunitimizia mahitaji yangu muhimu..... "Binti alimweleza mama kwa hisia kali sana huku akionyesha kulengwa na machozi....."Naomba usinifukuze mama nakuomba!" Mama alijikuta anampenda sana yule binti Na yeye akajikuta analengwa na machozi akachukua muda wa kufkir kama dakika 10 pasipo kusema chochote Binti akamwonyesha kila kitu kwenye simu yake Mama akaona msg za ajabu na za aibu toka kwa mumewe.....akamhurumia,akajisemea moyoni " hivi hawa wanaume wanataka nini jamani?" Ni kitu gani kakikosa kwangu ambacho msichana wangu anavyo? Nimemkosea nini hasa?? Basi kwa unyonge mama akaona hana hata hamu ya kwenda ibadani, akamjibu yule binti "ntaanzaje kukufukuza Mwanangu! Nakuhakikishia kwamba siwezi kukuondoa,mpaka pale utakapotimiza malengo yako..... Baada ya muda mama akaona hakuna haja ya kwenda hata ibadani wakati tayari ako na shida moyoni mwake,akaingia chumbani kwake akawa amejipumzisha akifikiria mambo mengi yahusuyo ndoa yake......akajisemea " kwanini shetani anataka tumalize vibaya kwenye ndoa yetu?" SAA za jioni msichana akapokea message toka kwa mzee: "usiku nitachelewa kuingia na kabla sijaingia chumbani ntakuja kwako usifunge mlango sawa!" Ilikuwa ni text iliyoingia kwenye simu ya binti Moja kwa moja akampelekea mama kumwonyesha ili wajue wanafanyaje maana ni mtihani mzito kwa house girl....... Lkn mama akamuuliza kama anaweza kumwachia ile simu kwa muda ule akae nayo chumbani kwake, binti akasema hakuna shida na mama akaingia nayo kuchat na mumewe. Ile SMS iliyotoka kwa mumewe akaijibu akasema [Hakuna shida] Mzee akajibu; {Ngoja nimwandikie wife sms kama ntachelewa,nikuletee zawadi gani mwanangu?} Mama akijibu; [Niletee skin tite] {Size gani?} [Kama anazovaa mama tunavaa size moja] {Sifahamu anavaa size gani sijawahi kumnunulia} [Haaaaaa!baba hujui size ya mkeoooo are you sure?] Kukawa na ukimya kidogo mzee nafkir akashtuka kuona zile chatting utafkir ni mkewe akaruka hewani ili ajiridhishe......... mama haraka akamwita binti akamwambia pokea mwambie mama yupo saizi tuendelee kuchat.....akafanya hivyo na mzee akakata. Akamwendea Whatsap mkewe akamwandikia ujumbe "Ntachelewa kurudi Leo kuna mpira wa Manchester na arsenal unaisha saa 6:45 mkewe akaijibu haraka akasema"sawa mume wangu" Akarudi kuchat na house girl fake na hajui kama simu zote ziko na mkewe {"Ndio sijui size ya mke wangu kwani lazima?} Mama akamtajia size yake ya tait. Usiku saa 4 na nusu,jamaa akamwandikia message anaedhani ni msichana wake wa kazi akisema "Dakika 10 ntakuwa hapo acha mlango wazi" Mama akajibu "poa" akaenda kufungua mlango akaingia chumbani kwa msichana wake kulala akimsubiri kwa hamu kubwa mumewe akazima taa akaingia ndani ya neti akajifunika shuka........wakati huo binti usiku huo amelala chumba cha wageni. Saa tano kasoro dakika 20 mzee akafika,akafungua mlango wa nje taratiibuuu akaanza kunyata akiingia chumbani kwa house girl kuvunja amri ya 6 {usizini} Alipofungua mlango kwa taratibu sana,akaufunga kwà ndani akachojoa nguo zote akitumia mwanga wa simu akaingia ndani ya neti akazima simu yake akaingia ndani ya shuka..... Haraka haraka akatua mkono wake kwenye kiuno cha mkewe Mh!ni kama alishtuka kidogo baada ya kuona matuta fulani kiunoni,akaanza kupapasa mkono wake ukatua kwenye maziwa ya mkewe.....hapo ndipo alipochoka.....maana aliona yale maziwa yamelala kabisa kama ya mkewe.......alikuwa ameshajua tayari kwamba amewekewa tego,stim zote zikawa zimekata ni mdogoo kama piliton...... Na mkewe baada ya kuona jamaa kashtukia ishu Akaanza nae ukorofi wa kumpapasa mumewe huyo halali......jamaa alikuwa ameshanyong'onyea kila kiungo kimelala hakuna ushirikiano wowote! Sikiliza neno la mzee kwa mkewe "habari za leo mke wangu? "Salama mume wangu kuwa huru,hapa huibi uko na mkeo halali twende kazi".alijibu mama kwa sauti ya mahaba.....vp mpira umeisha,nani kaibuka kidedea?au ulikuwa unamaanisha mechi ya kitandani? Hahaaaaa mwandishi anacheeka!!! Unaambiwa mzee alinyong'onyea akajigeuza akaangalia juu hajui atatoka kwa njia gani,mama akatoa mkono wake nje ya neti akawasha taa akamgeukia mumewe akaanza kumwimbia kwa sauti ya chini Kabla hajaanza kusema mzee akasema " samahani mke wangu..... Mama akajibu "usijari,bila hata samahani nimekusamehe,lakini naomba kukuuliza mwenzangu;- Ulikuwa unataka nini kwa msichana ambacho mimi sina? Najua kitu cha kwanza ulichotambua kama ni mimi mkeo,ni matiti yangu yalivyolala...... lakini umesahau kama na mimi wakati wa ujana wangu nilikuwa kama huyu binti nilikuwa mzuri nilikuwa nang'ang'aniwa na vijana wengi lakini miongoni mwao nikakuchagua wewe uwe mume wangu, siku hazigandi mwenzangu! Umri umesogea,kubaliana na hali iliyopo!! Unataka nini kwa house girl? Wenzio wakina Ibrahim walikuwa wanataka watoto......Mbona nimekuzalia watoto watano wote unataka nini kwa house girl?? Mwache Mtoto wa watu usimvurugie malengo yake Nakuomba nakuombea kwa Mungu tuumalize uzee wetu vzur tafadhari.......mzee hakuna na neno lingine zaidi ya samahani mke wangu". Nimekusamehe, naomba zawadi yangu....akamwonyesha kwa ishara rambo iliyokuwa chini.......mama akafungua akakuta skin title 12 akamwambia asante sana....sasa nimekusamehe tumalizie usingizi hapa hapa si ndio? Mzee akasema twende kwetu wakatoka kwenda kulala House girl anasema ilipita miezi mitatu hawakuwahi kuonana na dadii ijapokuwa wako wote ndani na sasa yupo kwake alishaolewa. Wanaume mpone kwa kweli By Kuhani Mlawi
Artikel Terkait
UNAJUA KUMWONYESHA MPENZI WAKO KAMA UNAMPENDA????  Kwa upendo wao wote, kwa nguvu zao zote, na uzuri , mahusiano ni kama mmea ambao unahitaji kumwagilia maji na kuwekewa mbolea na kupata jua la kutosha ili uweze kunawiri vizuri Sababu kubwa ambayo watu hukosa kujua kama wanapendwa ni kutohisi upendo. Kwa nini? Kwa sababu hata kama wanasema I love you mwisho wa kuongea kwenye simu au kabla ya kwenda kazini, hayo maneno hayana miujiza bila ya kuwa na mengine yalio rahisi . Kuna vitu vidogo vidogo sana vinavyoonyesha upendo na kumfanya mtu ajisikie kupendwa. 1.Usisahau kumkumbatia kabla ya kusema kwa heri. Uelewa wa kimwili ni wa muhimu kuliko maneno 2.Mwambie jinsi alivyo muhimu kwako. Hii huenda zaidi ya neno i love you. 3.Express understanding panapohitajika kusema. Nimeelewa unachokisema. Kama hujaelewa elezea, kwa kusema hivi , Niambie jinsi unavyojisikia ili nikuelewe. 4.Sema mara nyingi jinsi unavyomkubali anapokuwa amefanya jambo kwako. Husband and wife in park 5.Mwambie jinsi gani unafurahia vipengele vya upekee wake. Kwa mfano , napenda uchangamfu wako, mpongeze. 6.Toka nae siku nzima bila ya kusema kitu chochote zaidi ya kumsifia. 7.Mnunulie chakula anachokipenda bila yeye kusema. 8.Msaidie kupika 9.Kama mna watoto wapeleke kutembea, ili kufurahia michezo ya watoto ili kumwacha awe peke yake kwa utulivu. 10.Tuma ujumbe wa kimapenzi kwa mwenza wako bila sababu . 11.Mtumie email wakati yuko kazini ili kujua anajisikiaje. 12.Mpigie wakati akiwa break kusema tu hujambo 13.Karibia gari, meza, au kochi na umshike mikono yake japo kwa muda kidogo. 14.Mvutie kiti anapotaka kukaa au mfungulie mlango anapotaka kutoka au kuingia. 15.Kumbuka kumpa tabasamu, sio fake, lile ambalo umetunza kwa ajili yake . 16.Badala ya kumweleza jinsi ulivyokuwa na siku mbaya kazini, mwambie kuwa siku hio ulihitaji kuwa na yeye kwa sababu…au nimekuwa na siku mbaya nahitaji unikumbatie. 17.Fanya utani na ucheke nae 18.Nendeni kulala kwa wakati mmoja, ongeeni pamoja au kama kusoma msome pamoja au kama kutulia kwa muda fanyeni pamoja. 19.Kama una watoto mpongeze mwenza wako mbele yao. Watoto watafurahi pia. 20.Mkumbatie mbele za watu, ingawa ataona aibu lakini atafurahia. 21.Tafuta njia nzuri za kuambiana badala ya I love you 22.Muwe na tabia ya kutoka japo mara moja kwa wiki kama mkiweza 23.Mpe zawadi 24.Mpeleke movie 25.mpe massage bila sababu au kwa ajili ya kazi nyingi 26.Mwambie kuwa yeye ni rafiki yako 27.Usiogope kumshirikisha hisia zako, Ni vizuri kufahamu kama una furaha au huna furaha wakati huo na kwa nini 28.Sikiliza anapokuambia jinsi anavyojisikia 29.Kumbuka kila mara unapoweza nunua kitu kidogo kwa ajili yake. 30.Andika ujumbe mdogo wa kimapenzi na kuacha sehemu ambapo atafika 31.Mshike mikono yake mbele za watu 32.Mpate fundisho pamoja, halijalishi ni aina gani 33.Omba msamaha unapokosea 34.Wakati mwingine yeye awe sahihi 35.Mcheze game pamoja 36.Mpe nafasi anapohitaji hivyo.lakini afahamu kuwa upo kama atakuhitaji 37.Mchemshie maji ya kuoga anapokuwa na stress 38.Mwoshee gari yake 39.Jaribu kufanya kitu cha wema kila siku kwa ajili yake 40.Jaribuni kufanya kitu kipya pamoja. Changamoto moja ni bora 41.Mwache alale miguu pako 42.Mtengenezee breakfast, kama inawezekana mpelekee kitandani 43.Mkumbushe kuwa yeye yuko hot au sexy 44.Mkatembee kwenye hewa nzuri pamoja 45.Mnaweza kuvaa nguo za kufanana mnapotoka kupunga upepo 46.Mjitolee pamoja 47.Mtengeneze nywele zake 48.Muweke lengo kama wanandoa, kwa ajili ya fitness, finance, na personal growth 49.Kusafiri pamoja 50.Mpe compani anapoenda mpirani, kwenye game na uwe mmoja wao 51.Chukua muda wa kuwajua rafiki wa mwenza wako 52.Mwache atoke peke yake wakati mwingine 53.Mwekee nyimbo anazozipenda na mcheze pamoja 54.Usiwe serious sana, uwe mcheshi wakati mwingine 55.Mwimbie nyimbo anazopenda 56.Mwambie unampenda zaidi ya jana 57.Kama una siku mbaya , sikiliza kila unachotaka kusema 58.Mwambie kuwa anavutia kuliko wakati mliokutana mara ya kwanza 59.Mwambie unamfikiria kila mara 60.Mwambie kuwa unamsaidia kwa kuwa umemwelewa 61.Mwambie unapenda mwili na akili yake 62.Mwambie unachokifurahia siku hio. Na jinsi gani kinakukumbusha kuhusu yeye. 63.Siku yako imeendaje leo Kila ukiamka mwambie habari za asubuhi kila siku 65.Kila siku ukitaka kulala mwambie usiku mwema 66.Hakikisha anafahamu kuwa yeye ni namba moja kwako 67.Mwonyeshe kuwa unamuheshimu kwa kusikiliza mawazo yake kwenye maamuzi muhimu 68.Onyesha kukubali alichokifikiria na kukiamua hata kama unaona kabisa hukubaliani nacho. 69.Mwambie akuchagulie nguo za kuvaa kazini 70.Nendeni gym pamoja 71.Mnunulie kadi bila sababu , hata kama hakuna sikuku 72.Tamani kumkiss kila mara 73.Mwambie kuwa umepata bahati ya kuwa na yeye na kuwa umebadilika tangu ukiwa nae 74.Kuwa mkweli . mfahamishe makosa uliyoyafanya 75.Kuwa mpole kwake kwa sababu mwanamke ni laini 76.Mwonyeshe kuwa unamwamini ili nae awe wazi kwako 77.Pigeni picha pamoja 78.Fanyeni mambo ya kijinga pamoja 79.Alika familia yake kwenye chakula cha jioni 80.Mwombe mwenza wako mshirikishane ndoto zenu 81.Cheka anapotania,hata kama utani huo hauchekeshi 82.Uwe rahisi ili aweze kukupenda. Utagundua kuwa kumbe ni mkarimu na ana wema. ... Read More
Jinsi Ya Kufanya Mapenzi Na Mwanamke Bikra  Ubikra ni hali ya binadamu kuwa hajafanya mapenzi maishani mwake. Mwanamume au mwanamke ambaye hajawahi fanya ngono wote ni bikra. Imekuwa desturi kwamba wanawake ndio huwa mabikra pekee, ilhali pia wanaume. Umwagaji wa damu mara ya kwanza wa kushiriki ngono hutofaitiana kwa wanawake tofauti. Wanawake wengine huwa hawatoki damu kulingana na umbile la kizinda chao. ufanya mapenzi na mwanamke bikra kunaweza kuwa na matokeo mawili. Kuna wanawake ambao husikia uchungu kwa mara yao ya kwanza kushiriki ngono na kuna wale ambao huwa hawaiskii uchungu. Kupata uchungu ama kukosa kunalingana na mwanamume ambaye huyu mwanamke anatolewa ubikra naye. Mwanamume ambaye ni mtulivu na anazingatia ama anafanya mapenzi na huyu mwanamke kwa utaratibu huwa anamsaidia yule mwanamke kufurahia wakati wake wa kwanza katika ngono na anapotolewa ubikra. Mwanamke pia anajukumu upande wake la kufanya ili asipate maumivu ama yawe madogo wakati wa kutolewa ubikra. Kama unataka kumtoa mwanamke ubikra bila maumivu kuna mambo muhimu unafaa kuzingatia ili kufanya nyote muwe na wakati wenye raha na utamu; Mwanamke lazima ajiamini Hakikisha mwanamke yule bikra anajiamini na ashki yake. Wanawake wengi mabikra huwa hawana maelezo ama elimu ya ngono. Wengi wao huwa wana aibu sana wakati jambo la kujamiiana linapozungumziwa. Kwa sababu hii mwanamke anaweza kuwa na uoga kwa kufikiri vile mara ya kwanza itakuwa. Uoga ni jambo ambalo huchangia kwa mwanamke bikra kupata uchungu wakati wa kwanza. Uoga kumdhuru kisaikolojia na hufanya misuli yake ya uuke kukaza na husababisha uchungu mwingi wakati wa kujamiiana na mwanamume. Kama mwanamume, ni muhimu kumfanya mwanamke yule bikra kujiskia huru na kutulia ili kujamiiana kuwe kwenye raha na utamu. Kuamiiana Kuaminiana ni jambo pia linaloweza kuwasaidia wawili wanaojamiiana kupata raha na utamu katika tendo lile. Fanya hima kujua kama mwanamke yule bikra ako na wasiwasi wowote ama kuna kitu kinachomtatiza. Fanya kujua kama kuna jambo analotaka kufanya wakati mnapohusiana katika ngono. Kujali hisia na matarajio ya mwanamke yule utafanya akuamini na itamsaidia pia kutulia wakati unapomtoa ubikra na hatakuwa na uchungu. Fahamu kwamba nyote mwahitaji kupeana raha mnapojamiiana, kwa hivyo zingatia pia mwanamke anafaa kujifurahisha wakati wa ngono. Papasa mwanamke Mwili wa mwanamke uko na sehemu nyingi ambazo zinaweza kupandisha hamu yake ya ngono. Mwanamume anafaa kufahamu jinsi ya kumtongoza mwanamke kwa kumpapasa. Jaribu kumpiga busu na kumpapasa shingoni, mdomoni, ili kuweza kumtuliza. Kujua sehemu ambayo unaweza kumpapasa mwanamke yule bikra utamsaidia mwanaume wakati wanapofanya mapenzi. Hamu ya mwanamke ya kufanya mapenzi hufanya uuke wake kutulia na mwanamke yule kuwa katika hali ya utulivu. Utulivu huu humsaidia kuwa tayari kwa kufanya mapenzi na pia kwa ubikra wako kutolewa. Pia utulivu huu utamsaidia kwamba hatapata kuskia uchungu wakati wa kujamiiana. Kusisimua uuke Wakati mnapofanya mapenzi na mwanamke bikra, jaribu kusisima uuke wake na mafuta nyororo. Kusisima uuke wake kutakusaidia wakati unapoingiza uume wako kwa uuke wake. Pia hii husaidia kupunguza uchungu wakati unapenya uuke wake. Unataka uzoefu wake wa kwanza uwe kitu ambacho atakumbuka, kwa hivyo kusisima uuke wake husaidia asiwe na uchungu unapompenya uuke wake. Kuwa mpole katika ngono Unapofanya mapenzi na mwanamke bikra, lazima uwe tayari kwenda pole pole na kuwacha kufanya mapenzi mwanamke anaposema hajiskii tena. Ni jambo la busara kutilia maanani kile mwanamke yule anachotaka kufanya. Akisema hayuko tayari, mpe wakati hadi atakapo sema ana hamu ya kufanya mapenzi. Usikasirike mwanamke anapokwambia uwache mnapoendelea kufanya mapenzi. Mwanamke hutaka kujua kwamba wampenda ili aweze kukubali kukupa ubikra wake. Kwa hivyo kutulia anaposema hajiskii kunaweza kuwa jambo linalo weza kumwonyesha kwamba wampenda. Kwa kufanya vile, utakuta mwanamke yule bikra atajitoa kwako kwa moyo wake wote na mnapofanya mapenzi nyote mtapata raha na utamu. Chukua usukani kama mwanamume Kwa vile wewe ndiye mwanamume wa kwanza ambaye unamuingiza kwa ngono kwa mara ya kwanza, unataka kufanya iwe kitu ambacho atakumbuka maishani. Kama mwanamume ni muhimu kuchukuwa usukani wakati mnataka kujamiiana. Mwanamke hupenda mwanamume anayejiamini kitandani. Hata unapochukuwa usukani zingatia anachotaka yeye na umwelekeze pole pole. Usije ukafa moyo kwa vile hana uzoefu lakini mfunze kile anachoweza kufanya ili ukipenya uuke wake aweze kusikia utamu na uchungu usiwe mwingi. Unataka kumfanya awe na nyege ya kufanya mapenzi na awe tayari kwa uume wako. Kinga katika ngono Kulala na mwanamke bikra hakumaanishi kwamba usahau kujikinga na kushika mimba ambao hakukutarajiwa na kueneza kwa magonjwa yanayotokana na kufanya mapenzi. Ni muhimu kama mwanaume kijikinga na kuchukuwa tahathari wakati wote wa kufanya mapenzi. Hakikisha unatumia mipira wakati wa kufanya mapenzi na madawa ya kukinga uzazi. Hii itawasaidia nyote wawili kupunguza majuto baada ya kufanya mapenzi. Kuwa mwepesi kwenye matarajio Kwa mwanamume, usije ukawa na tatumaini makubwa sana wakati wa kujamiiana na mwamake bikra kwa mara ya kwanza. Kitendo hicho kinaweza tokea kinyume na ulivyo tarajia. Unaweza fikiri utapata wakati rahisi kupandisha hamu yake na pia kupata wakati rahisi wakati wa kumpenya uuke wake. Unafaa kuweka matarajio yako wazi kwamba kitu chochote chaweza tokea. Kuweka wazi matarajio kutakusaidia kwa tukio lolote lile. Waweza pata kujifurahisha ama kupata raha unapofanya mapenzi na mwanamke yule bikra na pia unaweza kupata kuwa nyote hamkufurahia wakati ule. Kuwa tayari kwa uhusiano wa kimapenzi Mwanamume lazima awe tiyari kuwa katika mahusiano na yuel mwanamke bikra unayefanya mapenzi naye. Kila mtu hukumbuka wakati wake wa kwanza kufanya mapenzi, kwa hivyo ni muhimu kuifanya iwe ya dhamani. Kumbuka mnaenda kuwa katika uhusiano wa karibu, kuwa tayari kukuwa kwa uhuisano wa kimaisha kwani hisia zake zaweza kubadilika mnapofanya mapenzi. Kwa hivyo kama hutaki kuumiza mpenzi wako usifanye mapenzi naye kama huko tayari kuwa katika uhusiano naye kimaisha. Kufanya mapenzi ni kitu ambacho mwanamume na mwanamke hupenda. Cha muhimu kwanza ni kujikinga kutokana na magonjwa, na mimba ambazo hamkutarajia. Kwa kufanya mapenzi wawili hao huwa wameamua hupeanza uchi wao kwa mahaba. Kwa mwanamke bikra, yataka uwe mtu makini sana. Mwanamke bikra hana uzoefu wa funyanya ngono kwa hivyo unafaa kumpeleka pole pole na ukamfunza anachofaa kufanya wakati mnafanya mapenzi. Mwanamke bikra anafaa kufanywa ajiskie yuko huru na kuwachiwa kusema wanachotaka kufanya kwani ni wakati wao wa kwanza. Mwanamume lazima aweze kumweka mwanamke yule katika hanjam ya kufanya mapenzi naye, kwa kupapasa, kumpiga busu. Asiwe mtu mwenye kuharakisha kumpenya mwanamke bikra ila awe mtulivu. Mwanamke bikra akiona kwamba unazingatia masilahi yake atakuwa huru nawe na atakubali kukupa ubikra wake. Mwanamke aliyetulia na anayejua mwanamume anaujasiri na kujiamini kitandani atafanya tendo la kufanya mapenzi liwe la kufana sana kwa wote wawili. ... Read More
Mbinu za kufufua penzi lenu 1. Badilisha mavazi yako . Ikiwa bidhaa za kampuni unayoipenda zinabadilika baada ya miaka michache ili kupata umaruufu kwa wateja wake,pia wewe badilisha sura yako kwa kubadilisha mavazi na mfumo wa nywele ili umfurahishe mpenzi wako. Hata kama umekuwa ukipendeza kwa mavazi yako, mpenzi wako tayari amekuzoea hivyo. Nunua nguo mpya, chupi mpya, jaribu mtindo mwingine wa kutengeneza nywele ndiposa mpenzi wako akuone kama mgeni vile. 2. Hamia nyumba mpya Ukiwa umekuwa ukiishi katika mtaa mmoja kwa miaka mingi ,badilisha maeneo yako. Gura kwenda kwenye mtaa mpya, hili litakusaidia Kubadilisha mazingira na itaisisismua akili na kufurahia mukiwa pamoja. 3. Badilisha mfumo wa chumba chako cha kulala. Panga vitu upya,ondoa vitu za kitambo,nunua vitu vipya,paka rangi tofauti tofauti kwenye ukuta wako. Chumba cha kulalia kinapaswa kuwa cha kuvutia mno, badilisha mipangilio ya chumba chako mukiwa pamoja na mpenzi wako ndivyo nyiyi wote mumiliki mabadiliko hayo. 4. Omba msamaha nawe umsamehe. Ni vigumu kuwa na urafiki wakati masuala tata kati yenu hayajatatuliwa. Usipuuze maswala ambayo ni kawaida katika uhusianio,upendo wa dhati sio eti kwa sababu hamgombani wewe na mpenzi wako Upendo wa dhati ni uwezo wa kusuluhisha matatizo kati yenu. Omba msamaha wakati umekosea nawe msamehe wakati umekosewa. 5. Endeni mjivinjari kwa tarehe Endeni likizo au tokeni nje pamoja. Mkiwa nyote kwenye kwenye mazingira mapya inaweleta nyote pamoja. 6.Kataeni hamu ya kutizama picha za kujamiana. Watu wengi wanaohusiano hudhani kuwa kuangalia picha hizo za kujamiana ni kitu kizuri ilhali ni jambo hatari sana. Jiulize mbona watu huangalia picha hizi? Kwa ajili ya kusisimua hali yao ya ngono?. Kutegemea picha hizi kusisimua fataki kati yenu inamyang'anya mpenzi wako mamlaka ya kukusisimua mwenyewe. Je inammanisha kuwa mpenzi wako hawezi kukusisimua? Kama ni hivyo picha hizi hazisaidi kutengeneza hali zinaharibu. Picha hizi zinafanya mapenzi yawe duni ilhali ni mmoja wapo wa kuwa na mapenzi. Rudisha mapenzi na uwacha picha hizo mbaya ndiposa mpenzi wako aweze kujisalamisha kwako na ni jukumu lenu kusisimuana hisia kali za mahaba ile umruhusu awe spesheli kwako nawe kwake. 7. Jisalimishe upya Kama fataki katika yenu yamekuwa yakididimia tatizo ni lenu. Je unampenda kama awali? Je unanipenda kweli? Ondoa hofu hizo kwa kumhakikishia penzi lenu. Hii ndiyo sababu wapenzi husherekea penzi lao. 8. Weka mtoto mbali na maswala yenu ya Huba. Ni vizuri kuwa na watoto na kuwa karibu nao lakini wakti mwengine ni vyema watoto kuwa mbali na wazazi ili waweze kuwa na mda wao wa kipekee . Tunza watoto kutokana na penzi lenu, penzi lenu likiingiiliwa kati basi uwezo wenu kama wazazi utaadhirika. 9. Epuka kuumiza mwenzako Punguza visa vya kumuudhi na kumumiza mwenzako. Roho iliyoumizwa ni vigumu kupenda. 10. Mbusu mpenzi wako zaidi. Mabusu huleta watu pamoja. Unavyo mbusu zaidi ndivyo munavyo chochea penzi. 11. Omba Mungu anajali kuhusu penzi lenu na ndoa yenu. Ombeni kwa pamoja kuhusu shida za penzi lenu. 12. Tenga wakati wa Faragha Tenga wakati mahsusi kwa mpenzi wako. Wanandoa wengi huwa na wakati mgumu sana kutenga muda maalum kuwa na wapenzi wao kutokana na majukumu ya maisha kama vile kazi safari watoto na kadhalika lakini Jitahidi uweke kando muda maalum ambao utakaa karibu naye msemezane Mkumbatiane mkumbushane haswa mlikotoka na mnakokwenda . Ni muhimu sana. 13. Usilete majukumu yako ya kikazi nyumbani. Ni vyema kufanya kazi ili kujipatia riziki yako na familia yako lakini kazi hiyo isalie kule afisini wala isiletwe nyumbani kamwe. Usije na kazi yako ndani ya chumba chenyu cha kulala au ufanye mpenzi wako ahisi kuwa unamnyanyasa kwa sababu licha ya kuwa ulimuuowa mpenzi wako lakini umeoleka kwa kazi yako. 14. Weka teknolijia mbali Teknolojia ni nzuri maanake inakupasha yanayojiri papo hapo . Pia inawakutanisha hata mkiwa mbalimbali ,lakini ukiwa na mpenzi wako mbona usiiweke hiyo simu ama Kompyuta mbali ? Mpenzi wako anataka kuongea nawe,kukubusu,kukumbatia kuwa karibu yako anataka kuisikia sauti yako lakini macho yako yanijishughulisha na kuongea kwa simu,mtandao wa kijamii ama unachapisha ujumbe . Je nayeye akianza kuienzi kompyuta yake kuwasabahi jamaa na marafiki kwenye mitandao ya kijamii kutakuwepo na ndoa ? Ukiwa nyumbani na mpenzi wako jiepushe na Teknolojia . 15. Chezeni pamoja Kucheza pamoja kunaimarisha mahaba. Haijalishi kama mpenzi wako anajua kupiga densi zaidi yako au la , Mkiwa pamoja weka mziki anaoupenda kisha mwite aje mpige naye rhumba,salsa Bongo flava, reggae ,hip hop hata Chakacha kama ni mwenyeji wa pwani ! Chezeni miili yenu ikigusana! 16 Kaeni msemezane Mkiwa kitandani na mpenzi wako mnazungumza ? Unamwambia nini kitandani ? Unazungumzia kuhusu madeni yako? Usidhubutu ,mwambie kuhusu mahitaji yenu ya kimahaba ,mwambie unampenda na kuwa haujui ungelikuwa wapi bila yeye . 17. Andikianeni barua za kimapenzi. Mwandikie barua za kimapenzi na uiache kwenye gazeti au kwenye tarakilishi ,kitu ambayo itamfanya afurahie,kutoka kwa mwandiko wako. 18. Puuza watu ambao watakuvuruga amani kati yenu Hao watu wanaokutongoza kupitia kwenye mitandao ya kijamii ima ni Facebook,WhatsApp wazuie wasikutumie ujumbe wa moja kwa moja. Ni mahasidi hao,wala hawakupendi Ng'ooooo!!!! Wao wangalikupenda kweli hawangejaribu kukuletea huzuni kwa kuvunja penzi/ndoa yenu. Kujihusisha nao inapunguza makali ya penzi lenu ukidanganyika kuwa unapendwa ilhali ni Wanafiki tu 19.Nunua marashi mapya Mnunulia mpenzi wako marashi yanayonukia vyema yatakayo fanya mpenzi wako afurahie kuwa nawe. 20.Jiachilie Kuwa na uwazi wa mawazo ukiwa na mpenzio Jaribu njia tofauti za kufanya mapenzi Zungumzeni kama ambao mnaigiza sinema za mahaba Mchezee shere Mtanie mpenzi wako ... Read More
NI JINSI GANI UNAMWOMBA MPENZIO MSAMAHA, JE NI KWA KUMPA ZAWADI? Msamaha una nafasi kubwa sana katika mapenzi. Hamna mtu aliyemkamilifu ndiyo maana neno samahani lipo. Ila neno hili linaweza kutumika sahihi au isiwe sahihi. Hivyo ni vizuri ukawa makini katika matumizi ya neno hili. Kuna baadhi ya watu hawawezi kabisa kutamka hilo neno na badala yake hutumia maneno yafuatayo (mbadala) kama ; yaishe,basi samahani,umeshinda,sorry(kama njia yakupunguza makali na wakati lugha iliyokua ikitumika ni kiswahili). Jinsi yakutumia samahani kiusahihi Unapotoa samahani kutoka katika kilindi cha moyo wako ina maana sana zaidi ya chochote. Samahani itumike tu pale unapotenda kosa moja kwa mara ya kwanza, hapo ni rahisi kusamehewa na kuaminiwa zaidi.Heshima, pendo na mapenzi yatakuwa kama awali na utaheshimika nakuonekana unajali. Hakikisha hauombi samahani zaidi ya mara moja kwa kosa moja ndo mana wanasema, “kosa sio kosa ila ukirudia kosa ndio kosa’’. Kama ulikua haufahamu ni vizuri ujifunze na ikiwezekana rudisha kumbukumbu zako katika matukio yanayohitaji msamaha kwenda kwa mpenzi wako na ulinganishe na hatua ulizozifanya. Kiri kosa ndiyo msamaha wako uweze kukubalika.Usiombe msamaha huku unasema lakinii…… ila……. Siamini kama haya yangetoa……… aina hizi za midokezo inapotumika katika kuomba msamaha ujue unataka kuonesha ulichokifanya sio kosa… Its simple, admit your mistake for the heartest forgiviness .Utapelekea upande wa pili (uliokosewa kukuamini tena na ni rahisi kusamehe na kusahau) tofauti na kuwa na maneno meeengi yakujitetea ilihali umetenda kosa. Sasa nije kwenye suala la zawadi, Jamani zawadi isiwe ndiyo silaha ya kudai msamaha. Zawadi inatumika wakati wowote kuimarisha mapenzi kwa kuonesha unamjali mwenzi wako nakumfanya ahisi faraja wakati wote na uwepo wake katika maisha yako. Epuka tabia ya kutoa sana zawadi wakati unamplease mpenzi wako.Kwa wakati mwingine utamjengea fikra za kosa pindi tu unapomletea zawadi. Hivyo asiifurahie ile zawadi na badala yake atakua na shauku kufahamu msamaha wa siku hiyo ni wa kitu gani au umetenda kosa gani tena. Wakati mwingine zawadi inapotumika katika kuomba msamaha itakua ni kama KUMBUKUMBU YA KOSA ulilomfanyia mwenzi wako, hivyo kumfanya akumbuke mara kwa mara kosa ulilolifanya. Kuwa makini sana katika njia za kuomba msamaha. Njia nzuri ya kuomba msamaha na ukubaliwe kwa upesi Kubali kosa pale ambapo umetenda,(note; Usikiri kosa kwa sababu tu unampenda na hutaki kumpoteza ,au hutaki malumbano. Ukifanya hivo ndo unaweza haribu uhusiano wako kabisa) Badili mazingira ya maongezi yaani tofauti na eneo la nyumbani/mlilozoea kukaa Omba msamaha wakati hasira zimepungua na ukiwa sio mlevi (hasa kwa wale wenye hasira au wanywaji wa pombe) Usilazimishe kusamehewa ,yaani mwenzako anapokua haridhii tumia njia nyingine mfano kumshirikisha mtu wenu wa karibu saana (kwa wote wawili) ila hapa uwe makini kwa sababu sio wote wanapenda siri zao za uhusiano kujulikana na wengine.Hapa itategemea na jinsi mlivyo Anayeomba msamaha ahakikishe sio mtu wa kukumbuka makosa ya mwenzie yaliyofanyika kipindi cha nyuma.Hapa na maanisha wale wenye tabia yakusamehe wenzao ila niwakukumbuka, endapo atakosewa kwa kitu kingine hata kwa bahati mbaya.Mfano akikosewa huwa ni mtu wakusema; ''hiyo ni kawaida yako'' that means anashikilia vitu moyoni.Itamuwia vigumu mwenzako kukubalia msamaha kwa urahisi, kutokana na tabia yakumshikilia bango kwa kumkumbusha yaliyopita endapo yeye atakukosea. Ni vizuri kujitahidi katika kufanya mambo mazuri kwenye uhusiano wako.Usitegemee zawadi kuwa ni kitu kizuri katika kuomba msamaha. Timiza malengo yako,jiheshimu,kuwa mwaminifu na kumthamini mwenzio na kumpenda kwa dhati. Bila kusahau kusikilizana na kufanya maamuzi kwa pamoja. ... Read More
Je Wajua Kwanini Wanawake Hula Vyakula vya Ajabu Ajabu Wakiwa Wajawazito?  Tabia hii inayojulikana kwa Kiingereza kama “Pica” inatokana na mtu kutamani kula vitu vyenye virutubisho kidogo sana au visivyo na virutubisho vya aina yoyote kwa mwili. Tamaa hizi huwa zinawapata watoto au mama mjamzito kutafuna vitu ambavyo kimsingi si chakula – kama udongo au chaki. Jina hili la pica ni aina ya ndege ambaye anajulikana kwakuwa anakula kitu chochote, hana anachochagua. Ni kweli kwamba wajawazito wengi hupata hamu ya kula vitu ambavyo si vyakula walivyozoea kula mara kwa mara wakiwa si wajawazito; wengi wao ni rahisi kuwaelewa kwa sababu hukimbilia mchele, barafu na vinginevyo ambavyo si vitu vibaya kula. Kwa watoto, hii ni tabia iliyozoelekakwakuwa inawatokea watoto wengi ambao ni kati ya asilimia 25 na 30% ya watoto wote; lakini kwa wanawake wajawazito, inatakiwa iwe kwa kiwango cha chini zaidi. Nini kinasababisha tabia hii kwa wajawazito? Sababu ya baadhi ya wanawake kuwa na tabia hii wakati wa ujauzito haijulikani hasa. Kwa sasa hakuna sababu maalumu, lakini kwa mujibu wa Jarida la Chama cha Watu Wanaoishi na Ugonjwa wa Kisukari nchini Marekani, tabia hii yawezekana ikasababishwa na upungufu wa madini ya chuma mwilini. Baadhi wanadai kwamba hali hii inaashiria kwamba mwili unajaribu kupata vitamini na madini mengine yanayokosekana kwenye chakula cha kawaida ambacho mtu anakula. Muda wingine tabia hii yawezaikatokana na kuumwa viungo au akili kwa muda mrefu. Baadhi ya vitu vya ajabu ambavyo wajawazito hupenda kula Vitu vinavyopendwa zaidi na wajawazito wengi ni udongo, uchafu. Vitu vingine ni njiti za kiberiti zilizochomwa, mawe, mkaa, barafu, dawa ya meno, sabuni na mchanga. Mjamzito anapokula vitu hivi hujisikii raha kana kwamba amekula chakula chenye faida kubwa kwake na kwa mtoto aliye tumboni. Kuna hatari yoyote kwa mtoto aliye tumboni? Kula vitu ambavyo si vyakula kimsingi ni jambo linaloweza kusababisha madhara kwa mjamzito mwenyewe na mtoto aliye tumboni. Kula vitu hivi kunaweza kuharibu mfumo wa kawaida wa kunyonya virutubisho kutoka kwenye vyakula na kusababisha mwili wako upungukiwe na madini muhimu unayoyahitaji kwa afya yako na ya ukuaji wa mtoto vilevile. Tabia hii ni hatarishi sana kwakuwa vitu ambavyo si vyakula vinaweza kuwa na viambata ambavyo ni sumu au vyenye vijidudu vinavyoathiri mwili. Kudhibiti tabia hii Usihamaki unapojikuta unatamani vitu vya ajabu ajabu wakati wa ujauzito: inatokea sana na si jambo la kushangaza kwako pia. Jambo la muhimu ni kumjulisha muuguzi wako au wahudumu wa kliniki unayohudhuria kujua maendeleo yako ya mtoto tumboni ili akuelimishe na ahakikishe kwamba una uelewa kuhusu hatari zinazoambatana na tabia hiyo. Baadhi ya mbinu za kutumia kushinda tamaa hizo Mtaarifu mhudumu wako wa afya kwenye kliniki unayohudhuria na muangalie kumbukumbu za ukuaji wa mtoto tumboni pamoja na hali yako ya kiafyaFatilia kiwango chako cha madini ya chuma mwilini pamoja na kiwango cha vitamini na madini mengine unayotakiwa kulaOmba ushauri kuhusu kitu gani uwe unakula ili kubadili ili kuepuka vitu vya ajabu (waweza kumung’unya/ kutafuna vitu kama pipi au ‘big g’ isiyo na sukariMwambie hata rafiki yako mmoja kuhusu hamu hizi na umtake awe anakukataza unapokula vitu vya ajabu ... Read More
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: