*_JINSI YA KUKANDA (KU MASSAGE)SEHEMU ZENYE VIPELE VYA KUMNYEGESHA MWANDANI WAKO_* _Vipele vya kumyegesha mwanaume viko vingi na sehemu tofauti na hutegemea zaidi na mwanaume mwenyewe na vilevile jinsi wewe utakavyo vitumia/chezea ili kumfurahisha mwenzi wako au"kumnyegesha" (turn on)._ _Pamoja na utofauti wao wanaume kwa ujumla wanapenda sana kukandwa sehemu zenye vipele vya nyege ambavyo ni juu ya mgongo, kiunoni, makalio yao, miguu(hasa vikanyagio) sehemu ya nyuma ya mapaja, ile sehemu ya ndani ya mapaja bila kusahau Mapumbu na Hogo._ 💋 _Kama mara kwa mara unamkanda a.k.a "massage" mpenzi wako(mwanaume) lakini hata siku moja hajawahi kunyegeka (na wewe ungependa kumnyegesha kwa massage) basi jaribu hii na ninakuhakikishia mambo yatakuwa mazuri kabisa._ 💋 _Mlaze kifudi-fudi.....kisha mkalie kiunoni na anza kufanyia kazi sehemu ya kichwa (pembeni kule karibu na macho) huku ukimpa maneno mazuri yakumfanya asahau matatizo yaliyojitokeza kazini au kwenye shughuli zake nyingine za kuendesha kimaisha na kuhamishia akili yake hapo alipo._ 💋 _Hamishia viganja vyako taratibu sehemu ya shingo...usikae sana hapa.....baadae hamia mabegani na moja kwa moja mgononi tumia muda wa dakika 20 hivi kumkanda mabega na mgongo na wakati huu utapaswa kujiinua kidogo ili uweze kupitisha viganja vyako kiunoni)._ 💋 _Ukimaliza jiondoe hapo juu yake na kisha jiweke katikati ya miguu yake na ipanua miguu hiyo ili upate nafasi ya kufanya shughuli yako. Kwa kutumia mafuta maalum kwa ajili ya "massage" au unaweza kutumia baby oil au lotion yeyote yenye asili ya mafuta (yenye asili ya maji hukauka haraka)._ 💋 _Mwagia kiasi mafuta yao juu ya makalio yake na pitisha viganja vyako kama vile unampaka mtoto (sio kwa nguvu) ukisha eneza sehemu nzima sasa endelea kumkanda makalio yake taratibu na tumia kama dakika 15-20 halafu shuka taratibu kwenye sehemu ya nyuma ya mapaja yake fanyia kazi paja moja baada ya lingine._ 💋 _Hongera kwa kumaliza hatua hiyo.....sasa tumia mikono yako laini yenye mafuta kupenyeza pale yalipo mapumbu (akiwa kalalia tumo utayaona) hivyo yakande taratibu usiyavute ikiwa hayajajitokeza sana kwa nyuma...._ 💋 _Kwa kufanya hivyo kutamfanya mpenzi wako aanza kusikia raha zaidi na hivyo atainua sehemu yake hiyo ya nyuma ili kukupa nafasi wewe kuyafanyia kazi mapumbu yake......wewe endelea kuyakanda taratibu huku ukipitisha viganja vyako sehemu ya ndani ya mapaja yake pia(wakati huu itakuwa rahisi kuyafikia kwa vile atakuwa kajiinua)....._ 💋 _Sasa nenda mpaka kwenye uume na ushike kama vile unavyoshikilia "kitwangio" wengine huita Mchi halafu endelea kumkanda sehemu yote hiyo kisha mgeuze taratibu na uendelee na kazi yako ya mikono mpaka atakapo omba mambo fulani au endelea na mkono mpaka amwage👌hapo utakuwa umegusa vipele muhimu na mwanaume atasikia raha ambazo atakukumbuka kila anapokuona hubby wake_ *_@alhinawy@_*

at 9:30 AM

Bagikan ke

Lintaskan

0 comments:

Copyright © 2025 Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top