MATUMIZI YA UKWAJU KATIKA KUBORESHA MAPENZI.. Ukwaju ni tunda ambalo kila mmoja wetu analifahamu...na linatumika sana katika majumbani kwetu kama tunda la kawaida au katika kutengenezea juice..... .....Ukwaju huo huo unaweza kutumika kama kinogesho katika mapenzi yako....kivipi.. Makungwi wetu wa zamani wanasema kuwa ukichukua vipande vyako vya ukwaju vichache...ukavimenya vizuri kisha ukachanganya na asali yako vijiko 3..mdalasini vijiko vitatu...na tangawizi vijiko vyako vitatu...kisha changanya na maji glass moja...then acha hapo huo mchanganyiko kwa dk 45...,halafu ukachuja na kunywa.....hakikisha mnakunywa wote wewe na baba chanja wako....hii huongeza handasi yaani muda wa mechi huongezeka...yaani hata kama boy wako anatatizo la kuwahi kumaliza mapema yaani dk 5 nyingi kashamwaga.....hii itamsaidia aweze kupiga mechi kwa muda mrefu kidogo....na kusaidia woote muweze kuenjoy katika game......na pia huongeza joto mwilini na kuongeza mukari katika majambozi. Pia ukwaju ni dawa nzuri sana ya kulainisha ngozi na kutoa chunusi. Chukua ukwaju wako...loweka ktk maji...ukisha lainika..changanya na asali...then paka usoni....ni dawa nzuri sana na utaona ngozi yako inabadilika kwa kipindi kifupi sana......mambo ya ukwaju hayo.. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

at 2:49 AM

Bagikan ke

0 comments:

Copyright © Braytonofficiallove
Designed by Siyamdezign | Edited By braytonofficiallove
braytonofficiallove | braytonofficiallove | braytonofficiallove
Powered By Blogger
Back to Top